Tetesi: Siri imefichuka CUF

Mapinduzi ya mamluki wa chadema cuf imegoma
 
Siri zaidi ya huyu mwenye radio call ya polisi akimtia kwa nguvu lipumba ukumbini
Mchezo mchafu umevuja na lipumba bai bai siasa
 
Kama hana mke anawezaje michepuko?
 


Lipumba hana lolote ni sawa na askari aliyekimbia vita wakati wa amani hawezi kuaminika tena.
 
Lipumba aliingia na mabaunsa 50 haaa haaa hizo fedha za kuwalipa kazitoa wapi.
 
Hivi hadithi za vijiweni zinaweza kuwa tetesi au uzushi?
 

Tetesi zilizopatikana usiku huu zinadai Julius Mtatiro anajiaandaa kuhamia CHADEMA baada ya mapinduzi yake dhidi ya Lipumba kushindwa kufanikiwa jambo ambalo linamweka ktk wkt mgumu kisiasa ktk chama hicho na uwenda akatimuliwa uanachama ndani ya CUF. SIJUI UMEKOSEA AU NDYO UNAVYOMAANISHA??
 
Unaijua katiba ya CUF mkuu au unamtaka babu Duni agombee tu
 
Story za kutunga hizi.
Lipumba out officially kapata kura 14 tu kati ya kura mia nne na ushee.
wanaomuunga mkono Prof Lipumba ndio walikuja juu mkutanoni hali iliyopelekea mkutano kuvurugika na hatimae kuahirishwa,haiingii akilini kwamba watu 14 tu walitosha kuuvuruga na kuutikisa mkutano mkubwa kama ule....TIME WILL TELL kama kweli Lipumba anaungwa mkono na watu 14 tu huko CUF.
 

Atampinduaje kiongozi aliyejiuzulu maana hana madaraka yoyote ndani ya CUF!! Frey, Ebu fafanua kidogo hapo.
 


Kama kweli CUF hamwezi kumkubali Mtatiro kuwa Chairman kwa uhai wachama chenu kweli kuna wajumbe wanaobeba kichwa kwa kufugia nywele tu.
Mtatiro ni mtu sahihi kwa ustawi wa CUF kwa sasa.
 
ndiyo wahuni 14 ndiyo walileta fujo tumeshapiga kura huyo Lipumba msajilini huko CCM.
 

Hama kweli hii ni siri kutoka jumba la mang'ombe wenye mikia.
Kutunga na kuzusha ni TUNU katika chama chenu cha zamani.
Tatizo lenu hata mtoto mdogo ananga'mua mapema uzushi wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…