Tetesi: Siri imefichuka CUF

Tetesi: Siri imefichuka CUF

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
1,984
Reaction score
1,405
Kisa cha Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutaka kurejelea kiti chake CUF imefichuka. Maalim Seif alipanga kumfuta kabisa uanachama wa chama hicho. Ikumbukwe kuwa Prof Ibrahim Lipumba alitangaza kujiuzulu uwenyekiti wa CUF mwaka Jana 2015 lkn aliamua kubaki mwanachama wa kawaida lakini gafla CHADEMA wakashtuka baada ya kugundua kuwa Lipumba bado ana nguvu ndani ya chama icho kitendo ambacho kitawazuia kukitumia chama hicho

Ndipo walipomuuzia wazo Maalim Seif kumtimua ktk chama hicho Prof Lipumba na Maalim Seif kiafiki wazo hilo ndipo mpango ukaanza kusukwa na ustadi mkubwa na kukabidhiwa kijana machachari wa chama hicho Julius Sunday Mtatiro kuwashawishi wanachama wa CUF bara huku akihadiwa kusaidiwa kifedha kuukwaa uenyekiti CUF na kuna tetesi kuwa alipewa gari na kiongozi mpya wa CHADEMA.

Baada ya Prof Lipumba kunasa mkakati huo ndipo alipoamua kutaka kurejea ktk nafasi yake ili kupimana na nguvu na Maalim Seif. Tetesi zilizopatikana usiku huu zinadai Julius Mtatiro anajiaandaa kuhamia CHADEMA baada ya mapinduzi yake dhidi ya Lipumba kushindwa kufanikiwa jambo ambalo linamweka ktk wkt mgumu kisiasa ktk chama hicho na uwenda akatimuliwa uanachama ndani ya CUF.
 
Kisa cha Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutaka kurejelea kiti chake cuf imefichuka. Maalim Seif alipanga kumfuta kabisa uanachama wa chama icho. Ikumbukwe kuwa Prof Ibrahim Lipumba alitangaza kujiuzulu uwenyekiti wa cuf mwaka Jana 2015 lkn aliamua kubaki mwanachama wa kawaida lakini gafla chadema wakashtuka baada ya kugundua kuwa Lipumba bado ananguvu ndani ya chama icho kitendo ambacho kitawazuia kukitumia chama icho ndipo walipomuuzia wazo Maalim Seif kumtimua ktk chama icho Prof Lipumba na Maalim Seif kiafiki wazo hilo ndipo mpango ukaanza kusukwa na ustadi mkubwa na kukabidhiwa kijana machachari wa chama icho Julius Sunday Mtatiro kuwashawishi wanachama wa Cuf bara huku akihadiwa kusaidiwa kifedha kuukwaa uenyekiti cuf na kuna tetesi kuwa alipewa gari na kiongozi mpya wa Cdm. Baada ya Prof Lipumba kunasa mkakati huo ndipo alipoamua kutaka kurejea ktk nafasi yake ili kupimana na nguvu na Maalim Seif. Tetesi zilizopatikana usiku huu zinadai Julius Mtatiro anajiaandaa kuhamia Cdm baada ya mapinduzi yake dhidi ya Lipumba kushindwa kufanikiwa jambo ambalo linamweka ktk wkt mgumu kisiasa ktk chama icho na uwenda akatimuliwa uanachama ndani ya Cuf.

hilo wala sina wasiwasi nalo maana ukifuatilia mada za mtatiro kuanzia 2014.. kuelekea 2016 .utadhani ni watu wawili tofauti
 
Lipumba katumwa na CCM. Na hilo linajulikana.

Lakini kwakuwa inasemekana kuwa IQ zetu watz zipo chini ya kiwango, basi wapo watakao amini unachozusha wewe.
Amuamini nani huyo anahangaikia buku7 tu huyo na yupo shift ya usiku maana nasikia wameambiwa shift ziwe usiku na mchana ili kuipunguza nguvu harakati ya Ukuta
 
Demokrasia ambayo Seif alikuwa anazunguka dunia zima kuwaaminisha wazungu juu ya Znz bdo hiyo anaikanyaga Bila kuangalia madhara yake ndani ya Chama.
ukiangalia kwa ndani kitendo cha Babu Duni kukataa nafasi ya uongozi siku moja kabla ya uchaguzi kina maana sana kwenye siasa. Ila kwa nchi kama zetu, watu wanaona ni kawaida.
Mtatiro fedha alizopewa na Lowassa arudishe ndo aondoke ndani ya Chama. Maana anajifanya kujua mengi na kupambana na maovu wakati anapigia debe uovu. Ndo maana sijahi ona kafanya uchambuzi juu ya ufisadi zaidi ya utawala bora ambao anafundishwa na Mbowe.

Siku itafika hivi vyama vitakufa. Havina sera wala viongozi. Havijui kesho zaidi ya kuangalia CCM na Magufuli kafanya nini.
Wanatakiwa wajifunze siasa.
 
Kisa cha Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutaka kurejelea kiti chake cuf imefichuka. Maalim Seif alipanga kumfuta kabisa uanachama wa chama icho. Ikumbukwe kuwa Prof Ibrahim Lipumba alitangaza kujiuzulu uwenyekiti wa cuf mwaka Jana 2015 lkn aliamua kubaki mwanachama wa kawaida lakini gafla chadema wakashtuka baada ya kugundua kuwa Lipumba bado ananguvu ndani ya chama icho kitendo ambacho kitawazuia kukitumia chama icho ndipo walipomuuzia wazo Maalim Seif kumtimua ktk chama icho Prof Lipumba na Maalim Seif kiafiki wazo hilo ndipo mpango ukaanza kusukwa na ustadi mkubwa na kukabidhiwa kijana machachari wa chama icho Julius Sunday Mtatiro kuwashawishi wanachama wa Cuf bara huku akihadiwa kusaidiwa kifedha kuukwaa uenyekiti cuf na kuna tetesi kuwa alipewa gari na kiongozi mpya wa Cdm. Baada ya Prof Lipumba kunasa mkakati huo ndipo alipoamua kutaka kurejea ktk nafasi yake ili kupimana na nguvu na Maalim Seif. Tetesi zilizopatikana usiku huu zinadai Julius Mtatiro anajiaandaa kuhamia Cdm baada ya mapinduzi yake dhidi ya Lipumba kushindwa kufanikiwa jambo ambalo linamweka ktk wkt mgumu kisiasa ktk chama icho na uwenda akatimuliwa uanachama ndani ya Cuf.
Ungeiweka kama tetesi ningekuelewa....
Kichwa cha habari ni kama una uhakika lakini humo ndani... inasemekana... zipo kibao...
 
Demokrasia ambayo Seif alikuwa anazunguka dunia zima kuwaaminisha wazungu juu ya Znz bdo hiyo anaikanyaga Bila kuangalia madhara yake ndani ya Chama.
ukiangalia kwa ndani kitendo cha Babu Duni kukataa nafasi ya uongozi siku moja kabla ya uchaguzi kina maana sana kwenye siasa. Ila kwa nchi kama zetu, watu wanaona ni kawaida.
Mtatiro fedha alizopewa na Lowassa arudishe ndo aondoke ndani ya Chama. Maana anajifanya kujua mengi na kupambana na maovu wakati anapigia debe uovu. Ndo maana sijahi ona kafanya uchambuzi juu ya ufisadi zaidi ya utawala bora ambao anafundishwa na Mbowe.

Siku itafika hivi vyama vitakufa. Havina sera wala viongozi. Havijui kesho zaidi ya kuangalia CCM na Magufuli kafanya nini.
Wanatakiwa wajifunze siasa.

bro tumia kidogo akili yako vizuri unajua katiba ya CUF inavyosema?

mwanachama akihama chama ,ili apate wadhifa ndani ya chama anatakiwa akae kwa muda wa miaka miwili ndipo apate/agombee wadhifa wowote vile

kwa maana hiyo babu duni ana disqualify kugombea nyazifa yoyote
 
Demokrasia ambayo Seif alikuwa anazunguka dunia zima kuwaaminisha wazungu juu ya Znz bdo hiyo anaikanyaga Bila kuangalia madhara yake ndani ya Chama.
ukiangalia kwa ndani kitendo cha Babu Duni kukataa nafasi ya uongozi siku moja kabla ya uchaguzi kina maana sana kwenye siasa. Ila kwa nchi kama zetu, watu wanaona ni kawaida.
Mtatiro fedha alizopewa na Lowassa arudishe ndo aondoke ndani ya Chama. Maana anajifanya kujua mengi na kupambana na maovu wakati anapigia debe uovu. Ndo maana sijahi ona kafanya uchambuzi juu ya ufisadi zaidi ya utawala bora ambao anafundishwa na Mbowe.

Siku itafika hivi vyama vitakufa. Havina sera wala viongozi. Havijui kesho zaidi ya kuangalia CCM na Magufuli kafanya nini.
Wanatakiwa wajifunze siasa.

MTATIRO aligombea UENYEKITI au alikua mwendesha kipindi
 
sasa ww ulitaka Demokrasia ipi??
Kura zimepigwa live Wanaotaka Prof abaki kuwa Mwenyekiti ni 14tu na waliomkataa ni zaidi ya 400!!
 
Demokrasia ambayo Seif alikuwa anazunguka dunia zima kuwaaminisha wazungu juu ya Znz bdo hiyo anaikanyaga Bila kuangalia madhara yake ndani ya Chama.
ukiangalia kwa ndani kitendo cha Babu Duni kukataa nafasi ya uongozi siku moja kabla ya uchaguzi kina maana sana kwenye siasa. Ila kwa nchi kama zetu, watu wanaona ni kawaida.
Mtatiro fedha alizopewa na Lowassa arudishe ndo aondoke ndani ya Chama. Maana anajifanya kujua mengi na kupambana na maovu wakati anapigia debe uovu. Ndo maana sijahi ona kafanya uchambuzi juu ya ufisadi zaidi ya utawala bora ambao anafundishwa na Mbowe.

Siku itafika hivi vyama vitakufa. Havina sera wala viongozi. Havijui kesho zaidi ya kuangalia CCM na Magufuli kafanya nini.
Wanatakiwa wajifunze siasa.
CCM IMARISHENI CHAMA CHENU, MAANA HUKU NINAKOISHI, KILOMITA 600 TOKA DSM,MIKUTANO YA CUF, NGAZI YA WILAYA, INAHUDHURIWA NA WATU WASIOPUNGUA MIA TANO, WAKATI ILE YA CCM INAKUWA NA WATU WASIOZIDI MIA MOJA.
TOFAUTI NYINGINE NI KUWA HAO MIA MOJA WA CCM WANALETWA TOKA VIJIJINI KWA MAGARI ( labda kwa kuwa CCM ni matajiri) WAKATI WALE WA CUF WANAFIKA KWA MIGUU.
Chama cha siasa hakiwezi kuvutia watu kwa kutegemea Jeshi la Polisi na mbinu za kumpandikiza Profesa Lipumba katika nafasi ya uongozi.
 
Demokrasia ambayo Seif alikuwa anazunguka dunia zima kuwaaminisha wazungu juu ya Znz bdo hiyo anaikanyaga Bila kuangalia madhara yake ndani ya Chama.
ukiangalia kwa ndani kitendo cha Babu Duni kukataa nafasi ya uongozi siku moja kabla ya uchaguzi kina maana sana kwenye siasa. Ila kwa nchi kama zetu, watu wanaona ni kawaida.
Mtatiro fedha alizopewa na Lowassa arudishe ndo aondoke ndani ya Chama. Maana anajifanya kujua mengi na kupambana na maovu wakati anapigia debe uovu. Ndo maana sijahi ona kafanya uchambuzi juu ya ufisadi zaidi ya utawala bora ambao anafundishwa na Mbowe.

Siku itafika hivi vyama vitakufa. Havina sera wala viongozi. Havijui kesho zaidi ya kuangalia CCM na Magufuli kafanya nini.
Wanatakiwa wajifunze siasa.
Mkuu baada ya kuandika umerudia kusoma kabla ya kusend au kuna mtu anatumia acc yako ambaye ana tatizo la akili?
 
Yaani 98% kwa 2% bado tunaleta majungu tena? 446 kwa 14 bado haitoshi tunendekeza majungu
 
Back
Top Bottom