Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwani uliambiwa ni kosa la jinai admin kujulikana ? Acha ushamba mdogo wangu
Matututusa Wawili wa kwanza hawa hapa.Wewe ndo una utoto
Kama anajulikana kitambo tutajie majina yake, Uraia wake na utueleze tangu lini Admin akawaambia timu Fulani kesho nawapost nyinyi?Anajulikana kitambo
Endelea kula mtori Nyama ziko chini.Ni Mtanzania?
Ni kawaida kichaa kujiona ana akili kuliko watu woteMatututusa Wawili wa kwanza hawa hapa.
Kwani Ahmedy Ally si anajiita msemaji wa CAF? Kwani akimuita admin wa Simba kuwa ni admin wa CAF, hapo kuna siri gani imefichuka? Au kuwa admin ni siri? Mbona humu JF kuna ma admin kibao na wanajulikana, akina Payge, Bridger, Active na wengineo wengi tu?Watu wa Simba kuweni makini na huyu mtoto Ahmed Ally atakuja kuwagharimu, tunza hii thread mtakuja kuthibitisha ninachowaambia Leo.
Mwenye macho na aone ugomvi wa Barbara na Manara ni kuvujisha siri, ila Kwa huyu Ahmed Ally Kwa utoto wake msiruhusu ashiriki vikao vyenu nyeti mmekwisha, mtafungwa na Yanga hata miaka 10 mfululizo.
Kwa akili hii nitashangaa ukiniambia umeajiriwa au umejiajiri na una familia. Kwa uandishi huo unapaswa kuwa sebuleni kwa shemeji yako.Kama anajurikana kitambo tutajie majina yake, Uraia wake na utueleze tangu lini Admin akawaambia timu Fulani kesho nawapost nyinyi?
Ina maana hizi bahasha hadi kwenye kupostiwa CAF?
Kweli Wabongo ni watu wa ajabu kuliko maajabu yenyewe.
Kifupi kakurupukaHuyo ni Admin wa page na accounts za Simba.