OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kimenuka!mtu kataitiwa huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyetaitiwa ni huyu aliyekimbia pumba zake.Kimenuka!mtu kataitiwa huku
Huna akili. Angalia hizi screenshot Kwa makini.
Mleta una funza kichwani na SIO ubongo. Kwanini vijana mnakurupuka kuandika bila kujihakikishia kwanza???
Halafu utakuta mleta mada nae ana mpenzi[emoji23][emoji15]
Na nyie WANAWAKE MAMBO YENU. SASA HILO NALO LIMEKULETA HUJAVAA HATA KHANGA WALA NINI UKAONA NI ISSUE. KWANI KUWA ADMIN WA CAF NI SIRI? Fanyeni mambo ya maana aisee...Watu wa Simba kuweni makini na huyu mtoto Ahmed Ally atakuja kuwagharimu, tunza hii thread mtakuja kuthibitisha ninachowaambia Leo.
Mwenye macho na aone ugomvi wa Barbara na Manara ni kuvujisha siri, ila Kwa huyu Ahmed Ally Kwa utoto wake msiruhusu ashiriki vikao vyenu nyeti mmekwisha, mtafungwa na Yanga hata miaka 10 mfululizo.
Kichaa kingine hiki hapa wajameni!Kama anajulikana kitambo tutajie majina yake, Uraia wake na utueleze tangu lini Admin akawaambia timu Fulani kesho nawapost nyinyi?
Ina maana hizi bahasha hadi kwenye kupostiwa CAF?
Kweli Wabongo ni watu wa ajabu kuliko maajabu yenyewe.
Mmh hiz commnts kama humjui mtu ni bora ukakaa kimya tuu...Kwa akili hii nitashangaa ukiniambia umeajiriwa au umejiajiri na una familia. Kwa uandishi huo unapaswa kuwa sebuleni kwa shemeji yako.
Hivi ukiajiri vijana wa aina hiyo mkuu kama watano tu na kampuni yenyewe si inakufaInawezekana nchi hii swala la afya ya akili ni tatizo kubwa sana.
Halafu aina ya mleta mada ndo vijana wanaolalamika hakuna ajira!
Uwe na kazi yako umwajiri kijana maamdazi kama huyu kweli?