Siri imefichuka, hatimaye Admin wa CAF amejulikana kutokana na utoto wa Ahmed Ally

Siri imefichuka, hatimaye Admin wa CAF amejulikana kutokana na utoto wa Ahmed Ally

Leo GENTAMYCINE naambiwa ndiyo huyo huyo Matola na huyu Mpuuzi. Kazi ipo hakyanani.

Tafadhali acha Kunifananisha huyu Tapeli, Mdaiwa na mkimbia Madeni ya Watu Wanaomdai Matola sawa?
Nimeamini yale uliyopost kwenye Uzi wako kweli Matola sio mzima.
 
Mkuu umezingua sana wakati mwingine ni vyema kukaa kimya kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizi,ina maana hujui alichopost Ahmed ni kama utani kwa yanga kwa kile wanachodai ni kwanini page ya caf mara nyingi wanapenda kuipost simba! Ndio akachomekea kwamba basi admin wa huo ukurasi ni huyo mpiga picha wa simba.
 
Nakushauri ujifiche kwanza upepo itulie. Ndio tunavyofanya tukivuna aibu
 
Mkuu umezingua sana wakati mwingine ni vyema kukaa kimya kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizi,ina maana hujui alichopost Ahmed ni kama utani kwa yanga kwa kile wanachodai ni kwanini page ya caf mara nyingi wanapenda kuipost simba! Ndio akachomekea kwamba basi admin wa huo ukurasi ni huyo mpiga picha wa simba.
Huna akili. Angalia hizi screenshot Kwa makini.
 
Attachments

  • Screenshot_2022-09-21-07-21-18-65.png
    Screenshot_2022-09-21-07-21-18-65.png
    250 KB · Views: 3
  • Screenshot_2022-09-21-09-50-28-72.png
    Screenshot_2022-09-21-09-50-28-72.png
    146.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_2022-09-21-07-21-45-35.png
    Screenshot_2022-09-21-07-21-45-35.png
    183.1 KB · Views: 3
Sikuwah kujua kama una akili ndogo kiwango hiki

Kabla ya kupost mambo mengine humu uliza hata hao wadada unaoshinda nao hapo salon wanaweza kuwa wanajua kuliko wewe

Huyo ni mpiga picha wa SIMBA SC unataka nikupe na jina lake.
Mkuu, kwani manara alisemaje kuhusu aina hii ya watu? huwa hawana muda wa kufikiri hawa. ni hamnazo tu.
 
Back
Top Bottom