Siri imefichuka, hatimaye Admin wa CAF amejulikana kutokana na utoto wa Ahmed Ally

Siri imefichuka, hatimaye Admin wa CAF amejulikana kutokana na utoto wa Ahmed Ally

Mimi mwenyewe ni admin wa system fulani huku ofisini, lakini wala huwa sio siri kujulikana kuwa mtu fulani ni admin, siri ni password ya system. Ndugu Matola sijajua admin wa Simba aka admin la CAF unachukuliaje kama akijulikana hadharani, kwamba eti siri imevuja? 🤣 🤣 🤣
Tatzo uto wengi wanaona hatua wanayopiga simba kama haramu kwao na wamejaa chuki tupu lakini na wao wakitaka kupiga hatua kisiri siri wanaiga njia za simba
Mleta mada atakuwa kundi moja la yanga whatsapp makao makuu mule ndani wamejaa vilaza watupu
 
Rage alipowaita mbumbumbu hakukosea hata kidogo.
Unaumizwa na admin wa simba kupost content za simba kwenye page ya CAF?
 
Attachments

  • IMG_20220919_133456.jpg
    IMG_20220919_133456.jpg
    26.6 KB · Views: 5
Unaumizwa na admin wa simba kupost content za simba kwenye page ya CAF?
Naumizwa na admin wa Simba kumpost Mayele na kushangaa hat trick mbili.
 
Attachments

  • IMG-20220920-WA0004.jpg
    IMG-20220920-WA0004.jpg
    56.5 KB · Views: 4
Naumizwa na admin wa Simba kumpost Mayele na kushangaa hat trick mbili.
Mbona hatukufungua nyuzi za kuuliza aliepost ni nan

Shida nini ndugu yangu uto au bado mna wenge la luc eymael tangu alipowaita manyani mambwa mnabweka bwek hovyo ?
 
Kimuhemuhe cha kukutana na Ibenge hicho amechanganyikiwa..tumsamehe tu
 
Mbona hatukufungua nyuzi za kuuliza aliepost ni nan

Shida nini ndugu yangu uto au bado mna wenge la luc eymael tangu alipowaita manyani mambwa mnabweka bwek hovyo ?
Kwa mambumbumbu aliyoyasema Rage siyo rahisi kuelewa hoja iliyopo kwenye screenshot hizi mbili mpaka yule demu wa Mwamedi Barbara aje kuwafafanulia.

Endeleeni kujitowa akili.
 
Attachments

  • Screenshot_2022-09-21-07-21-18-65.png
    Screenshot_2022-09-21-07-21-18-65.png
    250 KB · Views: 4
  • Screenshot_2022-09-21-09-50-28-72.png
    Screenshot_2022-09-21-09-50-28-72.png
    146.2 KB · Views: 5
Rage alipowaita mbumbumbu hakukosea hata B

Rage alipowaita mbumbumbu hakukosea hata kidogo.
Ni bora sisi alisema Rage tu ambaye wanachama walimpinga mule mule kwa kauli yake hadi wanausalama wakaingilia kati

Na nadhani unajua nini kilitokea ndio mkutano ukaendelea baadae

Ila nyie Lucy kocha wenu yule,Manara,Zahera n.k wamewahi kuwapa majina ya kila namna

Na ili kuonesha mnakubaliana na hayo wanayoyasema mmemchukua aliewaambia kuwa wenye akili ni wawili tu baba yake na Mh.mstaafu.
 
Hujui admin wa uefa ni Jamaa yupo Barcelona pale ulishaona Madrid wanalalamika
 
Yani daah mpk najisikia vibaya lol. Yani kweli unashindwa kujua Ahmed Ally anamaanisha nini hapa? Khaa yani huna akili ya kuchanganua mambo?. Hata kama ndio admin shida iko wapi?
Kwa mambumbumbu aliyoyasema Rage siyo rahisi kuelewa hoja iliyopo kwenye screenshot hizi mbili mpaka yule demu wa Mwamedi Barbara aje kuwafafanulia.

Endeleeni kujitowa akili.
 
Yani daah mpk najisikia vibaya lol. Yani kweli unashindwa kujua Ahmed Ally anamaanisha nini hapa? Khaa yani huna akili ya kuchanganua mambo?. Hata kama ndio admin shida iko wapi?
Wewe huna akili, ungekuwa na akili ungeelewa hili kiurahisi tu.
 
Attachments

  • Screenshot_2022-09-21-07-21-18-65.png
    Screenshot_2022-09-21-07-21-18-65.png
    250 KB · Views: 5
  • Screenshot_2022-09-21-07-21-45-35.png
    Screenshot_2022-09-21-07-21-45-35.png
    183.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_2022-09-21-09-50-28-72.png
    Screenshot_2022-09-21-09-50-28-72.png
    146.2 KB · Views: 5
Kwanza hiyo sio page official ya CAF kwa hiyo wala haitusumbui, page official haina muda wa kupost huu uwendawazimu
Ni page official ya caf,na ni ujinga tu wa kitanzania kufurahia kupostiwa huko kwangu sioni maana yoyote zaidi ya kucheza mpira uwanjani,hivi wydad,mamelodi au al ahly wanaweza kujisifu kwa kitu kama iko,TZ tuandae timu zetu zicheze mpira na sio hizi propaganda za nje ya uwanja,Yanga yangu chini ya eng hersi tucheze mpira haya mambo mengine tuwaachie makolo hata wapostie page ya fifa shauri yao sie tucheze mpira basi
 
Mimi mwenyewe ni admin wa system fulani huku ofisini, lakini wala huwa sio siri kujulikana kuwa mtu fulani ni admin, siri ni password ya system. Ndugu Matola sijajua admin wa Simba aka admin la CAF unachukuliaje kama akijulikana hadharani, kwamba eti siri imevuja? 🤣 🤣 🤣
Natamani Mods wamfichie hii aibu
 
Sikuwah kujua kama una akili ndogo kiwango hiki

Kabla ya kupost mambo mengine humu uliza hata hao wadada unaoshinda nao hapo salon wanaweza kuwa wanajua kuliko wewe

Huyo ni mpiga picha wa SIMBA SC unataka nikupe na jina lake.
Wadada tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom