Tatzo uto wengi wanaona hatua wanayopiga simba kama haramu kwao na wamejaa chuki tupu lakini na wao wakitaka kupiga hatua kisiri siri wanaiga njia za simbaMimi mwenyewe ni admin wa system fulani huku ofisini, lakini wala huwa sio siri kujulikana kuwa mtu fulani ni admin, siri ni password ya system. Ndugu Matola sijajua admin wa Simba aka admin la CAF unachukuliaje kama akijulikana hadharani, kwamba eti siri imevuja? 🤣 🤣 🤣
Unaumizwa na admin wa simba kupost content za simba kwenye page ya CAF?Rage alipowaita mbumbumbu hakukosea hata kidogo.
Naumizwa na admin wa Simba kumpost Mayele na kushangaa hat trick mbili.Unaumizwa na admin wa simba kupost content za simba kwenye page ya CAF?
Muungwana ukivuliwa nguo chutama. Kaza shingo tuamini zile tuhuma za Gentamycine kwenye uzi ulee aliokunyonyoa.Rage alipowaita mbumbumbu hakukosea hata kidogo.
Mbona hatukufungua nyuzi za kuuliza aliepost ni nanNaumizwa na admin wa Simba kumpost Mayele na kushangaa hat trick mbili.
Kwa mambumbumbu aliyoyasema Rage siyo rahisi kuelewa hoja iliyopo kwenye screenshot hizi mbili mpaka yule demu wa Mwamedi Barbara aje kuwafafanulia.Mbona hatukufungua nyuzi za kuuliza aliepost ni nan
Shida nini ndugu yangu uto au bado mna wenge la luc eymael tangu alipowaita manyani mambwa mnabweka bwek hovyo ?
Wewe na Genta ni pipa na mfuniko, mnahitaji matibabu.Muungwana ukivuliwa nguo chutama. Kaza shingo tuamini zile tuhuma za Gentamycine kwenye uzi ulee aliokunyonyoa.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Nyingne hii utalala wa moto leoKwa mambumbumbu aliyoyasema Rage siyo rahisi kuelewa hoja iliyopo kwenye screenshot hizi mbili mpaka yule demu wa Mwamedi Barbara aje kuwafafanulia.
Endeleeni kujitowa akili.
Rage alipowaita mbumbumbu hakukosea hata B
Ni bora sisi alisema Rage tu ambaye wanachama walimpinga mule mule kwa kauli yake hadi wanausalama wakaingilia katiRage alipowaita mbumbumbu hakukosea hata kidogo.
Kwa mambumbumbu aliyoyasema Rage siyo rahisi kuelewa hoja iliyopo kwenye screenshot hizi mbili mpaka yule demu wa Mwamedi Barbara aje kuwafafanulia.
Endeleeni kujitowa akili.
Wewe huna akili, ungekuwa na akili ungeelewa hili kiurahisi tu.Yani daah mpk najisikia vibaya lol. Yani kweli unashindwa kujua Ahmed Ally anamaanisha nini hapa? Khaa yani huna akili ya kuchanganua mambo?. Hata kama ndio admin shida iko wapi?
Ni page official ya caf,na ni ujinga tu wa kitanzania kufurahia kupostiwa huko kwangu sioni maana yoyote zaidi ya kucheza mpira uwanjani,hivi wydad,mamelodi au al ahly wanaweza kujisifu kwa kitu kama iko,TZ tuandae timu zetu zicheze mpira na sio hizi propaganda za nje ya uwanja,Yanga yangu chini ya eng hersi tucheze mpira haya mambo mengine tuwaachie makolo hata wapostie page ya fifa shauri yao sie tucheze mpira basiKwanza hiyo sio page official ya CAF kwa hiyo wala haitusumbui, page official haina muda wa kupost huu uwendawazimu
Natamani Mods wamfichie hii aibuMimi mwenyewe ni admin wa system fulani huku ofisini, lakini wala huwa sio siri kujulikana kuwa mtu fulani ni admin, siri ni password ya system. Ndugu Matola sijajua admin wa Simba aka admin la CAF unachukuliaje kama akijulikana hadharani, kwamba eti siri imevuja? 🤣 🤣 🤣
Wadada tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikuwah kujua kama una akili ndogo kiwango hiki
Kabla ya kupost mambo mengine humu uliza hata hao wadada unaoshinda nao hapo salon wanaweza kuwa wanajua kuliko wewe
Huyo ni mpiga picha wa SIMBA SC unataka nikupe na jina lake.
Kwahiyo kwa akili yako hiyo ndio admin hii nchi Ina vituko