Siri imefichuka, hatimaye Admin wa CAF amejulikana kutokana na utoto wa Ahmed Ally

Na nyie WANAWAKE MAMBO YENU. SASA HILO NALO LIMEKULETA HUJAVAA HATA KHANGA WALA NINI UKAONA NI ISSUE. KWANI KUWA ADMIN WA CAF NI SIRI? Fanyeni mambo ya maana aisee...
 
Aiseeh kwenye huu uzi Matola kanyewa haswa, watu wamemnyea kiasi kwamba hana guts hata za kuufungua uzi, haya ndo madhara ya kutaka kuonekana unajua kumbe hujui[emoji1].

Matola wewe ni BUMUNDA.
 
Kama anajulikana kitambo tutajie majina yake, Uraia wake na utueleze tangu lini Admin akawaambia timu Fulani kesho nawapost nyinyi?

Ina maana hizi bahasha hadi kwenye kupostiwa CAF?

Kweli Wabongo ni watu wa ajabu kuliko maajabu yenyewe.
Kichaa kingine hiki hapa wajameni!
 
Kwa akili hii nitashangaa ukiniambia umeajiriwa au umejiajiri na una familia. Kwa uandishi huo unapaswa kuwa sebuleni kwa shemeji yako.
Mmh hiz commnts kama humjui mtu ni bora ukakaa kimya tuu...
 
Au mimi ndio sijaelewa ?
Huyo Admin wa Caf ina maana anajihusisha na biashara za magendo kiasi cha watu kuona ajabu picha yake kupostiwa ama shida ipo wapi mleta mada??
 
Inawezekana nchi hii swala la afya ya akili ni tatizo kubwa sana.

Halafu aina ya mleta mada ndo vijana wanaolalamika hakuna ajira!

Uwe na kazi yako umwajiri kijana maamdazi kama huyu kweli?
Hivi ukiajiri vijana wa aina hiyo mkuu kama watano tu na kampuni yenyewe si inakufa
Mtu hata reasoning zake ni za kijinga jinga tu
 
mleta post Wewe wa kipiga viboko popote pale utakapoonekana maana una ujinga unaokutuma kupost vitu vya ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…