Siri imefichuka kumbe Transit Camp waliombwa wafungwe Goli nyingi jana ili 'Kushawishi' Mashabiki wajae 'Watu Day' tarehe 6 August, 2022!!!

Siri imefichuka kumbe Transit Camp waliombwa wafungwe Goli nyingi jana ili 'Kushawishi' Mashabiki wajae 'Watu Day' tarehe 6 August, 2022!!!

Yanga haitaji kumuhonga mtu Ili aje kuitazama

kwa rekodi tu msimu jana ikiwa mbovu iliongoza kwa kutazamwa uwanjani pia msimu huu sasa izi stori za kibwege bwege unatoa wap?

Ukitazama kwA jicho la wivu utaishia jifariji kuwa jezi mbovu ila toka moyoni una kili ni jezi kali mno

Subiri ufunguzi wa ligi tupige nyau goli za kutosha uje na stori za walihujumu mechi
Hizo ni record za bakhresa na team yake za propaganda ili simba apewe pesa ndogo kutoka azam maana waligomea ku sign azam ni kama ilivyokuwa kwa sportpesa pesa propaganda za soka la bongo huzijui ww pia sikulazimishi ukubali nilichosema.
 
Unaambia hao transit camp msimu ulioisha hawajapoteza hata mechi moja halafu walifika final CAF champion's league ila utopolo ndo maana yule zeru zeru anaona aibu hata kupost huo utumbo maana kuna tofauti kubwa sana kati ya anayecheza na dereva taxi na watu wa camp.
Kwa akili kama hizi Mtu aje aniambie Pierre Liquid hawezi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania?
 
Tunasubiri tarehe 13
Screenshot_20220723-202246.png
 
All in all tunawashukuru MACHOKO A.K.A MAKOLO MIKIA MWIJAKU FC Kwa kutufuatilia waume zenu YANGA kwa kila hatua tunayopiga... Na msimu huu tunaendelea kuwakojolea hadi bleed yenu ikate... Mkilala mkiamka mnaiwaza Yanga tu au ndio mnajisahaulisha utam wa bao la Mayele na Feisal walilowatia...
 
Iyo Trans imecheza tena Ndondo cup wamepigwa 3 bila sijui na ka timu gan hukoooo
 
Back
Top Bottom