pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Hizo ni record za bakhresa na team yake za propaganda ili simba apewe pesa ndogo kutoka azam maana waligomea ku sign azam ni kama ilivyokuwa kwa sportpesa pesa propaganda za soka la bongo huzijui ww pia sikulazimishi ukubali nilichosema.Yanga haitaji kumuhonga mtu Ili aje kuitazama
kwa rekodi tu msimu jana ikiwa mbovu iliongoza kwa kutazamwa uwanjani pia msimu huu sasa izi stori za kibwege bwege unatoa wap?
Ukitazama kwA jicho la wivu utaishia jifariji kuwa jezi mbovu ila toka moyoni una kili ni jezi kali mno
Subiri ufunguzi wa ligi tupige nyau goli za kutosha uje na stori za walihujumu mechi