Tetesi: SIRI IMEVUJA: CHADEMA mikononi mwa kampuni ya BELG Sea International

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
SIRI IMEVUJA

Wapatiwa malipo makubwa ya Kupinga Mkataba wa Uwekezaji katika Bandari. Taarifa zinasema Kampuni kutoka Ubelgiji inayojulikana Kwa Jina la BELG SEA INTERNATIONAL ambao walikuwa washindani wakubwa wa DP WORLD inaitumia CHADEMA chini ya Tundu Lissu kuvuruga uwekezaji.

Kamati kuu ya CHADEMA imekubali kiasi Kikubwa cha malipo ya Kupinga Mkataba wa Uwekezaji katika Bandari. Taarifa zinasema Kampuni kutoka Ubelgiji inayojulikana Kwa Jina la BELG SEA INTERNATIONAL ambao wanafanya shughuli za kupakia na kupakua mizigo katika Bandari mbali mbali Duniani walikuwa washindani wakubwa wa DP WORLD katika kupata tender ya kuwekeza katika Bandari za Tanzania.

Kampuni ya BELG SEA INTERNATIONAL imeingia makubaliano na CHADEMA chini ya wakala wake Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti kuvuruga uwekezaji wa maboresho ya ufanisi wa bandari Tanzania.

Hata hivyo baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu wamegoma kuingia katika makubaliano hayo sababu Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu kutaka fedha hizo ziingie Kupitia akaunti zake zilizopo Nchini na nje ya Nchi.

Hata hivyo kofia ya Mwenyekiti imetoa baraka hizo na hadi jana Julai 26, 2023 kiasi cha Bilioni 5.4 zimeingia katika akaunti za Tundu Lissu Kwa ajili ya Mpango huo na uzinduzi rasmi utafanyika Bukoba Julai 28, 2023.

Wajumbe wameonesha hofu yao kuwa pesa hizo zikiingia kwenye akaunti binafsi zitapigwa kama fedha za +255KatibaMpya zilivyopigwa na Freeman Mbowe alipotoka Gerezani.

 


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Shida huweki vielelezo, umejaza maneno mengi mwishowe huto aminika.
 
Hamna kitu kama hicho. Huu ni utumbo tu, peleka kwa nguruwe wakale
 
 
Domo kubwa chapati hukunji!
 
ndio muuze bandari kwa mkataba wa kimangungo?
 

Watu kama wewe mlizaliwa mkiwa wehu tena na waliokuzaa ni wehu na vichaa, hiyo tenda ilishindaniwa wapi? Wakati ccm inasema iliwaona DP world kwenye maonesho wakaridhishwa nao moja kwa moja,
 
mpumbavu wewe
 
TUNATAKA BANDARI ZETU!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…