Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu Russia anacho kinamtisha USA.Kuna watu humu wanaongea utadhani ndio wapanga mikakati wa marekani au Urusi.
Mambo haypo kama wengi wanavyofikiria na ingekuwa hivyo leo hii tungeona kama alivyofanya Nancy Pelosi alikuwa anaenda China.
Fire power aliyonayo mrusi ni kubwa aidha kuizidi US au at per. Ndio maana always US hata maneno anayosema dhidi ya Urusi anachagua.
Tuongee simba na yanga labda tunazo taarifa sahihi zaidi kuliko haya ya Urusi na marekani
👍👍👍 🤝💯. Pia humu JF ni siasa za ndani tu international hamna kitu watu hawajui chochote ni snitch ass au fake ass.Kuna watu humu wanaongea utadhani ndio wapanga mikakati wa marekani au Urusi.
Mambo haypo kama wengi wanavyofikiria na ingekuwa hivyo leo hii tungeona kama alivyofanya Nancy Pelosi alikuwa anaenda China.
Fire power aliyonayo mrusi ni kubwa aidha kuizidi US au at per. Ndio maana always US hata maneno anayosema dhidi ya Urusi anachagua.
Tuongee simba na yanga labda tunazo taarifa sahihi zaidi kuliko haya ya Urusi na marekani
Mifumo si mawe bali ni watu wamejiwekea taratibu!Hivi Mfumo wa nchi kubwa kama US unaruhusu mtu mmoja kuwa na maamuzi juu ya nchi? Au raisi anakua mwakilishi tu wa maamuzi ya wafanya maamuzi akiwemo yeye?
Ndo hao watu nauliza wanaweza ruhusu hali ya mtu mmoja kuwa na maamuzi?Mifumo si mawe bali ni watu wamejiwekea taratibu!
Sasa unatuambia tuongee ya Simba na Yanga wakati wewe unaongelea ya Urusi na US?Kuna watu humu wanaongea utadhani ndio wapanga mikakati wa marekani au Urusi.
Mambo haypo kama wengi wanavyofikiria na ingekuwa hivyo leo hii tungeona kama alivyofanya Nancy Pelosi alikuwa anaenda China.
Fire power aliyonayo mrusi ni kubwa aidha kuizidi US au at per. Ndio maana always US hata maneno anayosema dhidi ya Urusi anachagua.
Tuongee simba na yanga labda tunazo taarifa sahihi zaidi kuliko haya ya Urusi na marekani
Mada hapa ni US vs Russia,hayo ya Yemen yaanzishie Thread yake waru watakuja kuchangiaMbona huongelei silaha za kimarekani zilizo shindwa vibaya sana na silaha za kiiran kwenye medani ya kivita huko Yemen na Syria?
Kama ana haki ya kuziona silaha za Urusi hazina ubora kwa sababu ya kushindwa ndani Ukraine kama anavyo dai?Mada hapa ni US vs Russia,hayo ya Yemen yaanzishie Thread yake waru watakuja kuchangia
Urusi wamepoteana na badoKwamba siku akitumia nyuklia ndio atakutana na anachokitafuta. Wazimu mwenye haraka ya kubonyeza vitufe vya nyuklia, hataruhusiwa dunia hii.
======
View attachment 2366311The U.S. has privately been warning the Kremlin for months of consequences if they use a nuclear weapon in their conflict with Ukraine, according to officials.
Anonymous officials told The Washington Post that the White House has publicly been purposefully vague about what those consequences would be in an attempt to build concern among Russian leaders, a method of nuclear deterrence called “trategic ambiguity.”
President Biden underlined his opposition to Russian President Vladimir Putin’s threat to use nuclear weapons in an interview with CBS’s “60 minutes” on Sunday, where he warned the Russian leader not to “change the face of war.”
“Don’t. Don’t. Don’t. You will change the face of war unlike anything since World War II,” Biden said when host Scott Pelley asked for a message to Putin concerning weapons of mass destruction.
Biden added that the U.S. response to Russian use of nuclear weapons would depend on “the extent of what they do.”
MSN
Kwa hiyo tuseme,Urusi akizidiwa ataomba ruhusa ya Marekani kutumia nyukilia?Vita huwa vipo tu,hata marekani anapigana vita vyake,lakini vita vina sheria zake.Anachofanya Biden ni kumuonya Putin asivunje sheria za vita kwa kutumia silaha zisizotakiwa.
Hakuna kitu kibaya kama kukalili.Hakuna kitu Russia anacho kinamtisha USA.
It's a matter of time before the collapse of Russia.
Hayo ni maamuzi yake,ila ujue kila vita inapotokea kunakuwa na watu wanafuatilia,Mashirika ya haki za binadamu,umoja wa mataifa na mataifa makubwa.Haya yanahakikisha sheria za vita zinafuatwa,ukikiuka ni hiyari yako lakini ujue utashughulikiwa.Kwa hiyo tuseme,Urusi akizidiwa ataomba ruhusa ya Marekani kutumia nyukilia?
Yaani wewe mzibua vyoo WA Tandale ndio unajua internal politics na strategic advantages za Marekani sio ?Wakati wa uchaguzi wa Hillary dhidi ya Donald, nilisema Donald ataiua US taratibu lakini Hillary ataiua haraka sana. Sasa ninaanza kuamini kuwa adui wa Wamarekani ni chama Cha democrat. Wamemuweka Joe madarakani naye anaelekea kuiua US haraka zaidi ya nilivyokuwa nimebashiri wakati ule wa Hillary dhidi ya Donald.
Wewe mpumbavu Marekani kapigana lini vita Syria au Yemen , hivi unafikiri humu unajadiliana na ngumbaru wenzako sio ?Mbona huongelei silaha za kimarekani zilizo shindwa vibaya sana na silaha za kiiran kwenye medani ya kivita huko Yemen na Syria?
Alianza na wanajeshi wake na mamluki WA Wagner wakachinjwa kama kuku kwenye battle fronts Amekusanya convicts toka magerezani Anaona wanavgochinjwa kila siku na Himars huko Ukraine sasa hivi kavamia Kwa raia naona nao wanamtosa wanakimbilia Georgia ,Finland ,Poland ,convoy za magari kuikimbia forceful recruitment ya mpuuz mwendawazimu Putin ni kubwaMwambieni aitumie hiyo firepower, amelemewa mpaka anakusanya wanywa gongo...
Wakati wa uchaguzi wa Hillary dhidi ya Donald, nilisema Donald ataiua US taratibu lakini Hillary ataiua haraka sana. Sasa ninaanza kuamini kuwa adui wa Wamarekani ni chama Cha democrat. Wamemuweka Joe madarakani naye anaelekea kuiua US haraka zaidi ya nilivyokuwa nimebashiri wakati ule wa Hillary dhidi ya Donald.