Naona mnavyo lishana pumba tu.
Mtu yeyote anaye fikiria kuwa Marekani yupo tiyari kupigana vita vya kinyukilia na Urusi kwa sababu ya Ukraine kama sio kichaa basi akili yake imejaa mihemko ya kipuuzi.
Yaan Urusi idondoshe atomic Kiev na kuiangamiza alafu Marekani ajibu kwa kudondosha atomic kwenye jiji la sochi au Moscow haaa kama una fikira za namna hiyo basi kuanzia sasa jitambue kuwa kichwa chako kina tatizo kubwa sana.
Iwapo Urusi ikiamuwa kutumia silaha za nyukilia dhidi ya Ukraine hakuna kitu Marekani ataweza fanya zaidi ya kubweka na kulaani , narudia Tena Marekani hawezi thubutu kufanya upuuzi wa aina hiyo.
Ila taadhari kwa Urusi ikifanya hivyo ijiandae kulipa gharama kubwa kisiasa na kidpromasia.