Siri imevuja namna Marekani alivyoionya Urusi kuhusu matumizi ya nyuklia Ukraine

Siri imevuja namna Marekani alivyoionya Urusi kuhusu matumizi ya nyuklia Ukraine

Naona mnavyo lishana pumba tu.

Mtu yeyote anaye fikiria kuwa Marekani yupo tiyari kupigana vita vya kinyukilia na Urusi kwa sababu ya Ukraine kama sio kichaa basi akili yake imejaa mihemko ya kipuuzi.

Yaan Urusi idondoshe atomic Kiev na kuiangamiza alafu Marekani ajibu kwa kudondosha atomic kwenye jiji la sochi au Moscow haaa kama una fikira za namna hiyo basi kuanzia sasa jitambue kuwa kichwa chako kina tatizo kubwa sana.

Iwapo Urusi ikiamuwa kutumia silaha za nyukilia dhidi ya Ukraine hakuna kitu Marekani ataweza fanya zaidi ya kubweka na kulaani , narudia Tena Marekani hawezi thubutu kufanya upuuzi wa aina hiyo.

Ila taadhari kwa Urusi ikifanya hivyo ijiandae kulipa gharama kubwa kisiasa na kidpromasia.
Story za mghahawani kimanzichana hizi!
 
Kama ana haki ya kuziona silaha za Urusi hazina ubora kwa sababu ya kushindwa ndani Ukraine kama anavyo dai?

Basi na mm nina haki ya kuziona silaha za kimarekani ni takataka kutokana na kushindwa vibaya kwenye medani ya kivita ndani Yemen na Syria tena zilishindwa na silaha kutoka kwenye nchi ambayo bado ni changa kitekinorojia.
Akili za kutia aibu hizi!
 
Israel haijawahi shambulia pasipo sababu,huwa wana retaliate pale wanaposhambuliwa unataka wawachekee waarabu ili iweje,ni kitu gani kinachokufanya usione hili?vipi kuhusu vita vya urus na chechnya ulikuwa upande gani?
Hakuna taifa linashambulia taifa lingine bila sababu, tofauti zilizopo ni kukubaliana na hizo sababu, by the way sijaongelea kuhusu kushambulia. Nilichokuwa naongelea ni huwalibifu wa kivita/war crimes
 
Back
Top Bottom