Nlimekuelewa shahidi WA Yehova WA zamani now a so called non believer😄Mungu wa kweli🚮🚮🚮🚮
Humo kanisani mnajazanaga ujinga bila hata uelewa wa jambo , yoga ni mazoezi ya kawaida tu , ila kunawatu wanayafanya wanaongezea na imani zao ,jambo ambalo ni haki yao tu.Nlimekuelewa shahidi WA Yehova WA zamani now a so called non believer😄
I expected this🤣Humo kanisani mnajazanaga ujinga bila hata uelewa wa jambo , yoga ni mazoezi ya kawaida tu , ila kunawatu wanayafanya wanaongezea na imani zao ,jambo ambalo ni haki yao tu.
Hizo mambo za kwako za Mungu wa kweli ni ego zenu za kiimani tu.