Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?

Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?

Huna tofauti na wanaobisha uwepo wa Mungu.

Yaani imani inayoelekeana na uhalisia unabisha wakari huna maelezo juu ya uhalisia uliopo asili yake ni ipi.

Unafikiri pyramid zitakuwa zilijengwa na nani???kwa vifaa gani??Kwa malengo yapi??
Kutokujulikana kwa pyramid kuwa zilijengwa na nani, hakutoi evidence za kuwa zilijengwa na imaginary people wanaoitwa Anunaki
 
Alikuwa yuko kwenye past kabla hajarudi duniani na baada ya kurudi akawa amehama tena kutoka kwenye past kuja kwenye present. Wakati anasafiri, alikuwa anarudi kwenye past na wakati huo huo alikuwa anaibdilsha present ya pacha wake aliyemwacha duniani kuwa future yake yeye
Mimi fikiri kuwa nadharia ya Einstein inaweza kuelezeka vyema Kwa concept ya time dilation.
 
Hoja nzuri sana hii ila ungeiweka J. Intelligence kule
 
Space and time are fundamental concepts in physics that are intimately connected, and together they form the fabric of the universe as described by Einstein's theory of relativity. Here's a brief explanation of each:

1. Space:
  • Space, in physics, refers to the three-dimensional expanse in which all physical objects exist and events occur. It provides a framework for describing the positions and distances between objects in the universe.
  • In classical physics, space was considered as absolute and separate from time. However, Einstein's theory of relativity revolutionized this view, suggesting that space and time are interconnected in what's known as spacetime.

2. Time:
  • Time is the dimension in which events occur and is often measured in seconds, minutes, hours, and so on. It allows us to order events, measure their duration, and understand the evolution of the universe.
  • In classical physics, time was considered as an independent and absolute quantity. But Einstein's theory of relativity showed that time is relative and can be affected by the motion and gravitational fields of objects.

Einstein's theory of special relativity, published in 1905, introduced the concept of spacetime, where space and time are not separate entities but interconnected. This theory explained how the laws of physics are the same for all observers, regardless of their motion, and introduced the idea of time dilation and length contraction.

The theory of general relativity, published by Einstein in 1915, expanded on these ideas and described how gravity is a curvature of spacetime caused by massive objects. This theory has been confirmed by various experiments and observations and is now a fundamental framework for understanding the structure of the universe.

In summary, space and time are intertwined in the concept of spacetime, and they play a crucial role in our understanding of the physical laws that govern the universe.
 
Time travel is a fascinating concept that has captured the imagination of scientists, writers, and the general public for a long time. It involves the idea of moving between different points in time, either to the past or the future. While time travel is a popular topic in science fiction, there are various theories and hypothetical mechanisms that have been proposed:

1. Special Relativity: According to Einstein's theory of special relativity, time is relative, and it can be dilated or contracted depending on an object's velocity. This means that if you were to travel at speeds approaching the speed of light, you could experience time passing more slowly relative to someone who is stationary. This has led to the idea of "time dilation" but doesn't allow for traveling backward in time.

2. General Relativity: Einstein's theory of general relativity suggests that massive objects can warp space-time. In extreme cases, such as black holes, time can become so distorted that it could theoretically allow for closed time-like curves, but these situations are highly speculative and not practical for human time travel.

3. Wormholes: Wormholes are hypothetical shortcuts through space-time that could, in theory, connect different points in time and space. However, the existence of wormholes is purely theoretical, and no evidence or practical means of creating or using them currently exists.

4. Quantum Mechanics: Some interpretations of quantum mechanics suggest the existence of multiple parallel universes or alternate timelines. Traveling between these universes could be seen as a form of time travel, although it remains a highly speculative and unproven concept.

It's important to note that while time travel is a popular and intriguing concept in science fiction, there is currently no scientific evidence or practical method that allows for time travel as commonly depicted in movies and books. Many of the proposed mechanisms for time travel involve theoretical constructs or situations that are not yet supported by empirical evidence.

Time travel remains a subject of ongoing scientific exploration and debate, but for now, it remains firmly in the realm of fiction and theoretical physics.
 
Kutokujulikana kwa pyramid kuwa zilijengwa na nani, hakutoi evidence za kuwa zilijengwa na imaginary people wanaoitwa Anunaki

Ila kunatoa evidence gani??

Wenzako wanafanya tafiti wanaoanisha na mazingira yanayoshabihiana wewe hata sample huna,unakaza fuvu
 
Mkuu hauwezi kurudi kwa past labda usafiri zaidi ya spidi ya mwanga.

Na hakuna kitu chenye mass kinaweza kusafiri kwa spidi ya mwanga.

Hakuna kitu chochote kinaweza kuvuka spidi ya mwanga

Ukisafiri kwa spidi ya mwanga, muda unasimama.

Yani mfano wewe ukisafiri kwa spidi ya mwanga kwa miaka billioni moja halafu ukasimama...Wewe utaona ni kufumba na kufumbua haijachukua hata sekunde.
Hapana mkuu hata ukitumia speed ya mwanga na ukarudi nyuma bado hutaweza tekeleza azimio lako kwakuwa kuna kitu knaitwa paradoxes kinawasumbua sana watu vichwa chukua mfano huu
1.Unazaliwa
2.Baba yako anakufa kwa ajali ya gari
3.Unakuwa na unatengeneza mashine ya time travel then unarudi nyuma mpaka ile siku ya ajali unamuokoa baba yako
4. Kwahiyo inakuwa baba yako hatakufa kwahiyo hutakuwa na haja tena ya kutengeneza hiyo device ya time travel na baba yako atakufa tu😂😂Hapo ndo unajua Mungu fundi
 
Hivi umeshawahi kusafiri kwa gari speed ya 160km/saa, kigonga kitu kizito na kusimama ghafula, wote mliomo ndani mtatokea kioo Cha mbele. Sasa dunia inasafiri zaidi ya km 100,000/saa. Fikiria ikipiga break ghafula. Kila mtu atapaa Kuelekea nje ya dunia
 
Hivi umeshawahi kusafiri kwa gari speed ya 160km/saa, kigonga kitu kizito na kusimama ghafula, wote mliomo ndani mtatokea kioo Cha mbele. Sasa dunia inasafiri zaidi ya km 100,000/saa. Fikiria ikipiga break ghafula. Kila mtu atapaa Kuelekea nje ya dunia
Dunia haina break wewe 😆😆
 
Back
Top Bottom