Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Tunatumia theory na/ hypothesis kwa kuzingatia facts zingine za kisayansi ambazo tayari zipo!Mkuu napenda sayansi ila hii story nadhani iko uku bongo tu alienda wap akat mwanadanu hajawai safiri zaid ya 2second of speed of light ambao ni umbali wa dunian na kwenye mwezi uyo alienda wapi na kwa chombo gani? Hii ni nadhalia tu
Kwa mfano, tutakapokuwa tumeweza kutengeneza gari zenye uwezo wa kukimbia km 1000 kwa saa, gari hizo zitakuwa zina uwezo wa kusafiri kutok Dar es Salaam kwenda Mwanza chini ya muda wa saa moja na nusu. Hiki ndicho tunachokiongelea hapa