Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
- Thread starter
- #21
Itafika mda time itakua slowmpak itamantain past mkuu katk speed hiyo na zaidi kwahy ikizid apo tunarudi nyuma mfano 1961 Tanganyika inapata Uhuru.Hakuwa kwenye past. Time kwake ilikuwa inamove slowly lakini sio kurudi nyuma.
Kwenda past ni pale time inarudi nyuma, yani miaka inarudi nyuma.