Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?

Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?

Siku wanasayansi watakapoweza kuunda chombo kinachoweza kusafiri kwa kasi ya mwanga, na wakaweza kusafiri kwenye chombo hicho, mengi muno yatawezekana na mengine mengi tu ambayo kwa sasa hata theory zake hazipo; bado hazijawa developed!
Iko swala ambalo haliwezekani kabisa mzee
 
Kwa theory inawezekana ila kiuhalisia itachukua mda
Mzee emu projectile iyo process inaweza kuwaje yaani body yenye mass isafiri zaidi ya mwanga embu nipe formation inayoweza kutuma kuitoa body point A to point be with a speed faster than a light
 
"Kufa" tu ndiyo njia pekee ya mtu kubakia past na siyo kurudi past, ila kama itatokea akafufuka basi tutasema kaja present ila ni kitu bado haipo hiyo.
 
Mzee emu projectile iyo process inaweza kuwaje yaani body yenye mass isafiri zaidi ya mwanga embu nipe formation inayoweza kutuma kuitoa body point A to point be with a speed faster than a light
Wakati wanasema Kuna X rays, gamma ray and beta particles mtu kama wew ungeamini kwamba tutaweza kuzicontrol?
 
Hii Mada ngumu mualike Pascal Mayalla
Mkuu HAYA LAND , asante kunialika, mimi ni mtu wa arts, haya mambo ni watu wa science, tena hii ni quantum physics, mimi kwa upande wangu nimefundisha humu kitu kinachoitwa PSI Powers za psychic ambazo application yake haina mass, distance and time, ambazo they can't be proved scientifically, na kuonekana kama magic.

Wana sayansi kwa sasa wamekwenda mbali kwenye AI (artificial inteligence) sasa sayansi inafanya kazi kuliko human brain.
P
 
Iko swala ambalo haliwezekani kabisa mzee
Hadi leo kuna vitu vingi tu ambavyo ni man made na ambavyo bnadamu tunaoishi sasa hatujui vilitengenezwaje; ila uhakika ni kwamba tunajua kuwa vilitengenezwa na binadamu. Upe muda nafasi yake inayostahili
 
Kama universe ina expand within space,what is beyond the universe within space?

Nachouliza hiyo expansion ya universe mpaka iweze kuexpand,ni nini hasa kinacho onyesha kuwa hapa ni limit,maana kwa upeo wangu sidhani kama kuna space nje ya cosmos / universe maana space ndo imebeba cosmos,je ina expand in relative to what?
 
Hadi leo kuna vitu vingi tu ambavyo ni man made na ambavyo bnadamu tunaoishi sasa hatujui vilitengenezwaje; ila uhakika ni kwamba tunajua kuwa vilitengenezwa na binadamu. Upe muda nafasi yake inayostahili
Mfano Pyramid zilijengwa na Jamii ya Anunaki kwa dhumuni ambalo bado ni kitendawili
 
Kiuhalisia hakuna Past wala future na haviwezi kudhibitika kilichopo Ni present peke yake. Na pia hakuna time bila matukio matukio ndio hubeba muda.
 
Time travel ni cha mtoto,kuna kitu kinaitwa teleportation kwenye quantum mechanics ni balaa tupu.
 
Anunaki ulishawahi kuwaona? Nani aliwahi kuwaona?

Huna tofauti na wanaobisha uwepo wa Mungu.

Yaani imani inayoelekeana na uhalisia unabisha wakari huna maelezo juu ya uhalisia uliopo asili yake ni ipi.

Unafikiri pyramid zitakuwa zilijengwa na nani???kwa vifaa gani??Kwa malengo yapi??
 
Back
Top Bottom