Globers ndiyo hawawezi kuelezea hiyo situation,...kama unabisha niulize kwanini.
1. Hili swali nimelijibu zaidi ya mara moja Kwamba kikanuni ukiruka utarudi chini ili usirudi itakubidi upae,...Na ili upae unahitaji mechanism ambayo itakuwezesha ku generate lift,. binadamu miili yetu haipo designed kutuwezesha ku generate lift na kutufanya tusirudi chini kama swali lako linavyouliza.......
2. Shida unataka maelezo yangu yawe in alignment na kile ambacho tayari akili yako imekariri...Mimi nitarudia kukujibu simple kwamba,. Eclipses hazihusishi kabisa Dunia Kwasababu Dunia ipo stationary.... Kimsingi ni kwamba tukiwa Duniani tunachokiona ni effects za objects ambazo zinaogelea kwenye anga ku intercept due to the fact that zinapita kwenye njia moja hivyo kupelekea lunar &Sun Eclipses...
Unatakiwa u question the narrative sio kuamini 100%,. kwasababu sio kwamba idea za hao uliofundishwa ukiwa Shule zipo correct 100%,. Kwa mfano tumefundishwa kwamba kipenyo(diameter ) cha Mwezi ni 2,159 miles lakini kwenye eclipse kivuli cha Mwezi(umbra) ni 170 miles tu, kitu ambacho ni absolutely impossible kama kweli mwezi una diameter ya 2,159...ukiwa mtu wa kudadisi na kuamini intuitives zako ndiyo utaweza kufikiria critically.
Regarding moon phases,hapa pia umbo la Dunia halihusiki.... Moon phases zinatokana na jinsi Mwezi unavyofanya movement kwenye anga....ambapo phase ya kwanza inaonyesha visibility ambapo Mwezi huonekana ncha yake Tu 🌙 ....na phase ya mwisho kabisa ni full moon ambapo mwezi huwa visible fully as viewed kutoka hapa Duniani.....so kimsingi Dunia na umbo lake halihusiki kwenye movement ya Jua na Mwezi Kwa kuwa Dunia ipo stationary & flat..We only observe the results of the movement of celestial bodies in the sky.,The Earth doesn't block the moon/ sun in any way.
4. Yes naamini kwenye ramani tunazotumia.... though hiyo hai guarantee Kama zipo 100% perfect,kwa mfano kuna ishu ilikua raised kwamba size ya bara la Asia imekua exaggerated Kwa kiasi fulani..yani limefanywa kubwa kwenye ramani kuliko uhalisia wake.
5. Mkuu,. Hiyo effect ya refraction inatokea Kwa hilo hilo Jua moja....au unaposema 👉🏼 "hatujawah kuona Jua lingne Kwa maana ya kwamba real one na hiyo refracted at once.".....unamaanisha nini?
Refraction ndiyo inafanya hilo Jua(moja) kuonekana linazama during sunset na linachomoza during sunrise....na refraction ndiyo inafanya Jua kuonekana kubwa kuliko uhalisia wake during vipindi vyote viwili.

Kwanza samahani, Kuna maelezo kabla ya hayo maneno uliyoquote, kwahy toa ufafanuzi kama umekubaliana nayo au la! Kama jinsi nilivyokiri kwako.Sawa,.naomba nikuulize swali
Wote tunaambiwa kwamba we can't feel the earth's rotation kwa milango yetu ya fahamu,.. kwa kuwa Dunia ina move kwenye constant speed....
Sasa je, wewe binafsi anthony_art umetumia kipimo au mechanism gani kujua na kuthibitisha kama kweli Dunia ina spin?
Kwanza wanakudanganya ili usiamini vitabu vitakatifu further more usiamini uwepo wa mwenyezimungu (huo ni mpango wa shetani kuwaweka waja mbali na mola muumba). Faida yao kwa duniani ni pesa tu ila after death ni majuto tu1.Enhe,haya kwanini watudanganye, Haya wakitudanganya Luna faida ipi kwao...?
2.So huko kwenye cha ya dunia, ukifika ukajirusha utaanguka...
3.Kwahiyo ni dunia tu ndiyo tambarare, celestial bodies nyingine zote kama nyota na Sayari ni tambarare.
Jibu la msingi ni kwamba,. unarudi chini kwa kuwa huna mechanism ya kukufanya uende juu.1. Swali la msingi ni kwanini unarudi chini? Kipi usichoelewa? Wewe umetoa mechanism ya kufanya usirudi chini ila hujajibu kwann unarudi. Msingi wa swali ubaki pale pale, Kwa sababu nitakuuliza hii Dunia chapati yako imeshikiliwa na nini.
So,.umesoma maelezo lakini hujaona ni ipi sababu inayopelekea Eclipses? Sidhani kama unasoma wewe2. Yaani wewe unakwepa sana msingi wa swali. Easy question tu kuwa ni nini kinasababisha eclipses lakin unaruka ruka tu hapa hakuna kuruka, majibu yako ya Dunia haihusiki nan kasema inahusika? Jibu Kwa uelewa wako usijishitukie.
Tatizo lako unajishitukia nimekupa nafasi ya kunielimisha kuhusu unavyoelewa wewe sasa unaanza ooh tatizo nimekariri, we Kwa akili yako tu unaona umejibu swali langu?Jibu la msingi ni kwamba,. unarudi chini kwa kuwa huna mechanism ya kukufanya uende juu.
Kinachokuzuia kuelewa hii ni Kwasababu ushakariri kwamba unarudi chini kisa gravity...kitu ambacho sio kweli.
Nadhani unachanganya mambo... Refraction kwenye context ya kulifanya Jua lionekane large & as if linazama,. It's just an Illusionary perspective of The Sun(Only one sun) na sio kama unavyodai kwamba real one na Jua unaloliona.......5. Refraction ni kupinda Kwa mwanga, so elezea refraction kivipi inasababisha tuone tunachokiona sio kusema tu ni refraction na mwingne anaweza kuja hapa akasema ni relative density Kwa tunahitaji maelezo yako hapa,
Nimesema Jua lingne Kwa maana refraction inahusisha incident ray( real sun) na refracted ray (Jua unalolisema ww tunaliona). Au Kuna refraction nyingne tena?
Swali lako halina mantiki,..ushaambiwa huwezi kwenda juu bila kuwa na mechanism ya kukuwezesha uende,.kisha unauliza tena ni kwanini mpaka uhitaji hiyo mechanism?Tatizo lako unajishitukia nimekupa nafasi ya kunielimisha kuhusu unavyoelewa wewe sasa unaanza ooh tatizo nimekariri, we Kwa akili yako tu unaona umejibu swali langu?
Swali litabaki pale pale ni kwann mpaka uhitaji hiyo mechanism Ili uende juu bila kurudi chini?
Nimekuuliza tu wewe Kwa uelewa wako unaona hayo maelezo yako yanamake sense?So,.umesoma maelezo lakini hujaona ni ipi sababu inayopelekea Eclipses? Sidhani kama unasoma wewe
Narudia hapa kuiweka simple kabisa..... Eclipses zinasababishwa na objects ambazo zipo kwenye movements within the sky Ku intercept,..kitu ambacho kinapelekea mwanga wa object ambayo imepatwa kuwa blocked!
Sasa kama unataka upate majibu sawa na ulichokariri,.sina cha kukusaidia.
,."kisha unauliza tena ni kwanini mpaka uhitaji hiyo mechanism?"Swali lako halina mantiki,..ushaambiwa huwezi kwenda juu bila kuwa na mechanism ya kukuwezesha uende,.kisha unauliza tena ni kwanini mpaka uhitaji hiyo mechanism?
Ni Kwasababu kwenda juu kunahitaji mechanism hiyo, ndiyo maana ukiwa hauna utarudi chini,
Simple!
Yani hapo ni sawa na kuuliza kwamba kwanini bila mafuta Gari haiwezi kufanya safari.
Bado hujasema exactly ni njia gani ya kitafiti uliyotumia na kukufanya ugundue without doubts kwamba Dunia ni spinning impossi-ball.Mimi kama Mimi, nimetumia observational method Kwa ku-observe celestial bodies kama stars na Sun across the sky.
Lakini pia Kuna experiments na observations mbali mbali zimeshafanyika jaribu kuzipitia uelewe zaidi kama Curiolis effect ambayo inasababisha moving object on the Earth's surface kuwa deflected, na experiment ya Foucault pendulum demonstration.
So, Kwa mfano NASA wangeishia kusema Jua linakua blocked na Mwezi kwenye Solar eclipse, usingeelewa?Nimekuuliza tu wewe Kwa uelewa wako unaona hayo maelezo yako yanamake sense?
Ni object Gani hizo? Hazijulikani? Na kivipi zina intersect?
Labda nikueleweshe tu, nitumie mfano wa solar eclipse kama NASA wanavyoelezea, wao wanasema ni pale jua kinapokuwa blocked na mwezi, je wangeishia kusema hivyo tu bila maelezo yoyote tungewaelewa? Na ndio maana wameelezea vzr tu. Wewe majibu yako Bado yanaacha maswali mengine tafadhali jibu accordingly.
Alafu usijishtukie... Mimi sijakariri na ndio maana nakusikiliza hapa Ili unipe majibu yako.
Na swala lingne je hayo maelezo yako umeyatoa wapi? Ulifanya utafiti mwenyewe? Ulisoma mahali? Au umetumia reference Gani kusema hivyo? Maana tunahitaji Assurance ya majibu unayotoa sio kujitungia tu.
Njia ya kitafiti unamaana Gani?Bado hujasema exactly ni njia gani ya kitafiti uliyotumia na kukufanya ugundue without doubts kwamba Dunia ni spinning impossi-ball.
Maana ukisema umefanya observation,.unamaanisha unaweza kumpa Mtu maelekezo juu ya method uliyotumia kujua kama Dunia ina spin ili na yeye ai apply kupata hitimisho?
Face ya Dunia inahama?Njia ya kitafiti unamaana Gani?
Nimekwambia njia niliyotumia Mimi kama Mimi ni observations, nimeobserve celestial bodies kama Jua mwezi na nyota, angalia angani position ya Jua au nyota inahama as time goes, hii inamaanisha kwamba face ya Dunia inahama.
Lakini ukiunganisha dots, nimekupa other observations and experiments made scientifically Ili kusupport hiki kitu sijui umezisoma au umepuuza?
So, Kwa mfano NASA wangeishia kusema Jua linakua blocked na Mwezi kwenye Solar eclipse, usingeelewa?So, Kwa mfano NASA wangeishia kusema Jua linakua blocked na Mwezi kwenye Solar eclipse, usingeelewa?
Kitu ambacho you can easily observe with your own eyes.
Kimsingi ni kwamba Mimi sitokupa maelezo zaidi ya hayo,.. as that's all what I know labda kama unataka nitunge uongo sasa.
Maelezo yangu yanatokana na observations nilizofanya Mimi mwenyewe....hayapo influenced na taasisi yoyote.,
1. Gravity nimelijibu ✔️hateeb10 haujibu maswali accordingly, Kwabab unataka kukwepa msingi wa swali.
1. Issue ya gravity unajibu simple sana, unasema sio gravity sawa tufanye kukubaliana sio gravity then what, unasema ni hakuna mechanism inayofanya mtu apae, swali litabaki ni kwann mpaka upae it means Kuna kitu behind ambacho kina hinder ndo maana tunahitaji mechanism.
2. Swala la eclipse huwezi unajibu simple tu eti Kuna object zinablock Jua, ukiulizwa how? Unakuwa mkali,
Moon phases unakwepa hata majibu unayotoa sidhan hata ww unayaelewa.
3. Ni nini kinafanya Jua na mwezi vizunguke? Na nini kimeshikilia Dunia ambayo ni tambarare? Je inaelea? Au la! Na Kwa kivipi?
Sio Mimi pekee, watu wengi pamoja na maelezo mengine niliyosoma yanasupport hicho,Face ya Dunia inahama?
Wewe ndiyo mtu pekee uliye observe scenario hiyo?
Mbona Mimi sioni uso wa Dunia ukihama? Kwa mfano sasa hivi saa 12:10,..uso wa Dunia umeelekea wapi?Sio Mimi pekee, watu wengi pamoja na maelezo mengine niliyosoma yanasupport hicho,
Hujajibu swali langu pia ni njia Gani uliyofanya ukaamini Jua Linazunguka pamoja na mwezi kwenye realm Moja?