Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Nimemuuliza pia, ngoja tuone, tatizo lake anashindana ila hafungui ubongo wake.
Sishindani,..Kwa mfano ungeleta evidence yoyote isiyo na shaka kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka,..na ikaingia akilini basi kila mtu angekuamini humu.
 
Kwamba kuna sehemu nimesema kinacho block Jua ni other objects rather than moon?

Huu ni uongo sasa,..
Kwahiyo haya maelezo ulikuwa unatetea nini?
Kimsingi ni kwamba tukiwa Duniani tunachokiona ni effects za objects ambazo zinaogelea kwenye anga ku intercept due to the fact that zinapita kwenye njia moja hivyo kupelekea lunar &Sun Eclipses...

Unatakiwa u question the narrative sio kuamini 100%,. kwasababu sio kwamba idea za hao uliofundishwa ukiwa Shule zipo correct 100%,. Kwa mfano tumefundishwa kwamba kipenyo(diameter ) cha Mwezi ni 2,159 miles lakini kwenye eclipse kivuli cha Mwezi(umbra) ni 170 miles tu, kitu ambacho ni absolutely impossible kama kweli mwezi una diameter ya 2,159...ukiwa mtu wa kudadisi na kuamini intuitives zako ndiyo utaweza kufikiria critically.

Ok tuseme ni moon, Aya elezea nI kivipi moon inablock Jua kwenye flat earth?😄
 
Sishindani,..Kwa mfano ungeleta evidence yoyote isiyo na shaka kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka,..na ikaingia akilini basi kila mtu angekuamini humu.
Ni evidence Gani nimeleta na inashaka ndugu? Na wewe umeleta evidence Gani isiyo na shaka? Au unatuona ni watoto humu?
 
Sio Mimi pekee, watu wengi pamoja na maelezo mengine niliyosoma yanasupport hicho,
Hujajibu swali langu pia ni njia Gani uliyofanya ukaamini Jua Linazunguka pamoja na mwezi kwenye realm Moja?
Face ya Dunia haihami na haijawahi kuhama....

Dunia ni stationary flat plane hata utoke hapa Tanzania mpaka Brazil huko...... jiulize Tu swali dogo kwamba Je unaamini hapo ulipoweka miguu yako ukichimba mpaka to the other side of Tufe,... utakukutana na nchi nyingine watu wanaishi? Au jiulize ukichimba utakutana na water bodies zenye maji yaliyoshikiliwa na gravity?
Obvious,.jibu ni hapana Kwasababu Dunia nzima tunaishi kwenye same side of earth's surface which Is mostly flattened with mabonde, miinuko na milima mikubwa.
 
Kwahiyo haya maelezo ulikuwa unatetea nini?
Kimsingi ni kwamba tukiwa Duniani tunachokiona ni effects za objects ambazo zinaogelea kwenye anga ku intercept due to the fact that zinapita kwenye njia moja hivyo kupelekea lunar &Sun Eclipses...

Unatakiwa u question the narrative sio kuamini 100%,. kwasababu sio kwamba idea za hao uliofundishwa ukiwa Shule zipo correct 100%,. Kwa mfano tumefundishwa kwamba kipenyo(diameter ) cha Mwezi ni 2,159 miles lakini kwenye eclipse kivuli cha Mwezi(umbra) ni 170 miles tu, kitu ambacho ni absolutely impossible kama kweli mwezi una diameter ya 2,159...ukiwa mtu wa kudadisi na kuamini intuitives zako ndiyo utaweza kufikiria critically.

Ok tuseme ni moon, Aya elezea nI kivipi moon inablock Jua kwenye flat earth?😄
So hapo, kuna sehemu nimesema mwanga wa Jua unakua blocked na other objects rather than sun?
 
Ni evidence Gani nimeleta na inashaka ndugu? Na wewe umeleta evidence Gani isiyo na shaka? Au unatuona ni watoto humu?
No,.haujaleta evidence yenye shaka wala evidence isiyo na shaka kuhusu Dunia Tufe 👉🏼 🌍 linalozunguka bali umeleta maneno tu.

Mimi evidence nimekupa ambayo ipo clear,. just do an observation with your own eyes usipoona flattened earth njoo utuambie hapa. Huo ndiyo uthibitisho wangu usio na shaka yoyote.
 
Sishindani,..Kwa mfano ungeleta evidence yoyote isiyo na shaka kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka,..na ikaingia akilini basi kila mtu angekuamini humu.
Hizo evidence zipo sema hujapenda kuzielewa
Ila dunia tambalare hakuna evidence yenye mashiko
 
Kama unataka evidence kuhusu Dunia tambarare toka nje hapo kisha Tazama na tembea kadri ya umbali utakaoweza,....kama ukiona Dunia Tufe linalozunguka njoo useme humu ili wote tufike kushuhudia na mada iishie hapa.

Wewe huna ushahidi wowote wa Dunia Tufe,. instead umeamua kuamini Kwa kuwa wengi wameaminishwa hivyo.....hata videos unazoonyeshwa unajua kabisa sio real,.lakini ndiyo hivyo tena indoctrination of the mind is a very heavy burden.🙌🏼
 
Hilo swali nadhani ulipaswa uli adress Kwa NASA wenyewe..
Wao ndiyo wanajua ni njia gani wanatumia.
Hapa umeshindwa kuelewa msingi wa swali tena na ndio tatizo lako,
Simple logic tu, kama wao wanaweza kupredict hivyo vitu na wanakuambia how vinahappen wewe unakataa huoni kama unashida?
 
NDUGU GLOBERS AND FANS OF THE IMPOSSI-BALL,..MNAKUMBUSHWA KUZINGATIA MZIZI WA MADA HUSIKA,...WENGI WENU MNATOKA KABISA KWENYE LENGO LA MADA........

Ahsanteni.
 
Kwahiyo haya maelezo ulikuwa unatetea nini?
Kimsingi ni kwamba tukiwa Duniani tunachokiona ni effects za objects ambazo zinaogelea kwenye anga ku intercept due to the fact that zinapita kwenye njia moja hivyo kupelekea lunar &Sun Eclipses...

Unatakiwa u question the narrative sio kuamini 100%,. kwasababu sio kwamba idea za hao uliofundishwa ukiwa Shule zipo correct 100%,. Kwa mfano tumefundishwa kwamba kipenyo(diameter ) cha Mwezi ni 2,159 miles lakini kwenye eclipse kivuli cha Mwezi(umbra) ni 170 miles tu, kitu ambacho ni absolutely impossible kama kweli mwezi una diameter ya 2,159...ukiwa mtu wa kudadisi na kuamini intuitives zako ndiyo utaweza kufikiria critically.

Ok tuseme ni moon, Aya elezea nI kivipi moon inablock Jua kwenye flat earth?😄
Mweupe kichwani wewe hujui geometry na behavior of lights
 
Sishindani,..Kwa mfano ungeleta evidence yoyote isiyo na shaka kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka,..na ikaingia akilini basi kila mtu angekuamini humu.
Na Kwa kudhihirisha unaongea vitu Kwa kutudanganya mfano kama hapa👇👇 haya maelezo ulitoa mwenyewe

Regarding moon phases,hapa pia umbo la Dunia halihusiki.... Moon phases zinatokana na jinsi Mwezi unavyofanya movement kwenye anga....ambapo phase ya kwanza inaonyesha visibility ambapo Mwezi huonekana ncha yake Tu 🌙 ....na phase ya mwisho kabisa ni full moon ambapo mwezi huwa visible fully as viewed kutoka hapa Duniani.....so kimsingi Dunia na umbo lake halihusiki kwenye movement ya Jua na Mwezi Kwa kuwa Dunia ipo stationary & flat..We only observe the results of the movement of celestial bodies in the sky.,The Earth doesn't block the moon/ sun in any way.

Halafu mara paaaap!👇👇😄😄

. Eclipse✔️ & moon phase ⌛(Ni kweli moon phases sina details zaidi kuhusu, even though moon phases hai support by any means the idea kwamba Dunia ni Tufe.

Mwanzo nimekuuliza kuhusu moon phases ukajibu kabisa😄😄 alafu baadae unasema huna details😄😄 hizi ni akili au matope? Unatuona watoto? Na umetudanganya mangapi hapa?
 
NDUGU GLOBERS AND FANS OF THE IMPOSSI-BALL,..MNAKUMBUSHWA KUZINGATIA MZIZI WA MADA HUSIKA,...WENGI WENU MNATOKA KABISA KWENYE LENGO LA MADA........

Ahsanteni.
Ni sehemu Gani tumetoka nje ya mada? Tunaongelea gravity hapa unayoipinga au?
 
Na Kwa kudhihirisha unaongea vitu Kwa kutudanganya mfano kama hapa👇👇 haya maelezo ulitoa mwenyewe

Regarding moon phases,hapa pia umbo la Dunia halihusiki.... Moon phases zinatokana na jinsi Mwezi unavyofanya movement kwenye anga....ambapo phase ya kwanza inaonyesha visibility ambapo Mwezi huonekana ncha yake Tu 🌙 ....na phase ya mwisho kabisa ni full moon ambapo mwezi huwa visible fully as viewed kutoka hapa Duniani.....so kimsingi Dunia na umbo lake halihusiki kwenye movement ya Jua na Mwezi Kwa kuwa Dunia ipo stationary & flat..We only observe the results of the movement of celestial bodies in the sky.,The Earth doesn't block the moon/ sun in any way.

Halafu mara paaaap!👇👇😄😄

. Eclipse✔️ & moon phase ⌛(Ni kweli moon phases sina details zaidi kuhusu, even though moon phases hai support by any means the idea kwamba Dunia ni Tufe.

Mwanzo nimekuuliza kuhusu moon phases ukajibu kabisa😄😄 alafu baadae unasema huna details😄😄 hizi ni akili au matope? Unatuona watoto? Na umetudanganya mangapi hapa?
Okay..nionyeshe uongo kwenye maelezo yangu ya juu.... nasubiri hapa.

Mwanzo, nimeelezea Kwa uchache kadri ya ninavyofahamu,.ukataka maelezo zaidi nikakujibu kwamba "Ni kweli moon phases sina details zaidi kuhusu, even though moon phases hai support by any means the idea kwamba Dunia ni Tufe."

So, What's wrong kwenye maelezo yangu....Hahhh🙌🏼🙌🏼
 
Face ya Dunia haihami na haijawahi kuhama....

Dunia ni stationary flat plane hata utoke hapa Tanzania mpaka Brazil huko...... jiulize Tu swali dogo kwamba Je unaamini hapo ulipoweka miguu yako ukichimba mpaka to the other side of Tufe,... utakukutana na nchi nyingine watu wanaishi? Au jiulize ukichimba utakutana na water bodies zenye maji yaliyoshikiliwa na gravity?
Obvious,.jibu ni hapana Kwasababu Dunia nzima tunaishi kwenye same side of earth's surface which Is mostly flattened with mabonde, miinuko na milima mikubwa.
Wewe ulishawah kuchimba? Namm nikikuuliza same question Kwa utambarare wa Dunia yako, je utakutana na nn?

Kama kutakuwa na nchi ntakuta nchi kama kutakuwa na water body ntaikuta
Shida uko wapi hapo?
 
Kama unataka evidence kuhusu Dunia tambarare toka nje hapo kisha Tazama na tembea kadri ya umbali utakaoweza,....kama ukiona Dunia Tufe linalozunguka njoo useme humu ili wote tufike kushuhudia na mada iishie hapa.

Wewe huna ushahidi wowote wa Dunia Tufe,. instead umeamua kuamini Kwa kuwa wengi wameaminishwa hivyo.....hata videos unazoonyeshwa unajua kabisa sio real,.lakini ndiyo hivyo tena indoctrination of the mind is a very heavy burden.🙌🏼
Please refute that nimeaminishwa!
Nilisoma nikaelewa unaongelea kufeel narotate? Hapo siwezi kufeel because natembea na speed of the earth
Ukikaa kwenye gari ukarusha coin juu inaangukia mkononi kwako kwa Nini? Hiyo coin inakimbia sawa na gari!
 
So hapo, kuna sehemu nimesema mwanga wa Jua unakua blocked na other objects rather than sun?

Ulisema objects tu, ingekuwa unamaanisha moon naimani ungetaja moon,
By the way, nimesema tuassume ni moon sasa, Aya elezea 😄😄
 
Wewe ulishawah kuchimba? Namm nikikuuliza same question Kwa utambarare wa Dunia yako, je utakutana na nn?

Kama kutakuwa na nchi ntakuta nchi kama kutakuwa na water body ntaikuta
Shida uko wapi hapo?
Kwa Dunia Tufe ni lazima unajua utakutana na nini Kati ya options mbili....
(i) Water bodies zilizoshikiliwa na gravity
(ii) Nchi na watu wakifanya shughuli zao kama kawaida,...

Unfortunately,.ukichimba chini hutokuta nchi wala water bodies zinazoshiliwa na maji,...na unajua kabisa hai make sense ila unakaza kichwa tu kutetea Imani yako ya Tufe.
 
Please refute that nimeaminishwa!
Nilisoma nikaelewa unaongelea kufeel narotate? Hapo siwezi kufeel because natembea na speed of the earth
Ukikaa kwenye gari ukarusha coin juu inaangukia mkononi kwako kwa Nini? Hiyo coin inakimbia sawa na gari!
Unaambiwa ulete ushahidi usio na shaka kuhusu Dunia Tufe linalozunguka,...unaleta habari za kurusha coin?

Haupo serious Mkuu...
 
No,.haujaleta evidence yenye shaka wala evidence isiyo na shaka kuhusu Dunia Tufe 👉🏼 🌍 linalozunguka bali umeleta maneno tu.

Mimi evidence nimekupa ambayo ipo clear,. just do an observation with your own eyes usipoona flattened earth njoo utuambie hapa. Huo ndiyo uthibitisho wangu usio na shaka yoyote.

Hivi unaumwa wewe?
Wewe hujaleta maneno? Kwahy hapa JF ulitaka niwasilishe vipi hoja? Utakuwa unaumwa wewe?
Wewe hujaleta maneno? Basi tungewasiliana vipi mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom