hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Sasa wewe apart from TV na cartoons,.ni wapi ume observe Dunia Tufe.Mfano wa chumba chenye tiles nimekupa nikimaanisha unachokiona ni small portion ya Dunia isikufanye u-conclude Dunia ni flat, nimekuuliza swali we unavyoona saivi Dunia ni flat? Huoni milima mabonde na slopes?
Au flat ya namna Gani? Au ni flat rectangular?
Ungejua kama hata kwenye circle Kuna flatness btn points.
Au unafanya assumption kwamba Dunia ni Tufe kisha ndiyo unasema Tufe Lina flatness btn points.?