Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Mfano wa chumba chenye tiles nimekupa nikimaanisha unachokiona ni small portion ya Dunia isikufanye u-conclude Dunia ni flat, nimekuuliza swali we unavyoona saivi Dunia ni flat? Huoni milima mabonde na slopes?
Au flat ya namna Gani? Au ni flat rectangular?

Ungejua kama hata kwenye circle Kuna flatness btn points.
Sasa wewe apart from TV na cartoons,.ni wapi ume observe Dunia Tufe.

Au unafanya assumption kwamba Dunia ni Tufe kisha ndiyo unasema Tufe Lina flatness btn points.?
 
Hoja kama hizi unakimbia😄😄😄👆👆
Nimekupa applications za gravity na Dunia kuwa Duara tunavyotumia katika engineering lakin umeruka Nduukiiii kama huonii.

Unataka nini tena? Kuna hoja za kujibu hapa umeruka Nduukiiii kama huoni. Mzee wa nduukiiii 😄😄😄.

Muungwana hujibu hoja sio kukimbia, na kuchagua Cha kujibuna Cha kutokujibu.

Kama Kuna mahali kunacontradiction hapo juu sema😄😄 kama hakuna kiri sio vibaya.
Hayo maswali unayosema nimeyakimbia,...nimejibu zaidi ya mara moja humu.

Huo muda wa kukaa na kurudia rudia Mtu unautolea wapi?
 
Observational gani umetoa za kuthibitisha Dunia Tufe?

Kuna vifungu vya biblia na Qur'an nimeweka hapa.? Ushaanza uzushi sasa.
We jamaa unasahau mpka uongo wako😄😄, uliposema biblia na Qur'an zinasema ulikuwa na maana Gani? 👇👇

"Jua na Mwezi through observation zinaonyesha kabisa zinafanya movement.... kuhusu kuzunguka kwenye realm moja scientific na religious texts kama Qur'an, Jua na Mwezi zinatajwa kuzunguka kwenye realm/orbit moja."

Nikakwambia lete hapa, ulileta???😄😄
 
Unauhakika Gani watu hawaamini nilichosema?

Nimekupa evidence za kutosha lakini unashinda tu Aya umeshinda tupe hoja zako mara huna details, mara bible na Qur'an zinasema hivi Aya leta vifungu nduukiiii😄😄.
Sijaona sehemu unayotaka nikuletee Aya,..kama unataka sema...nakuletea hiyo Aya, just in a blink of an eye.

Although sijui hata lengo lako la kutaka Aya ni nini..
 
Sasa wewe apart from TV na cartoons,.ni wapi ume observe Dunia Tufe.

Au unafanya assumption kwamba Dunia ni Tufe kisha ndiyo unasema Tufe Lina flatness btn points.?

Observations zipo na nimeshakwambia
Kama vile:
1. Lunar phases inacast shadow ya Dunia kwenye moon ndo maana inaonekana circle.
2. Ship visibility
3. Sun set and sunrise.
 
We jamaa unasahau mpka uongo wako😄😄, uliposema biblia na Qur'an zinasema ulikuwa na maana Gani? 👇👇

"Jua na Mwezi through observation zinaonyesha kabisa zinafanya movement.... kuhusu kuzunguka kwenye realm moja scientific na religious texts kama Qur'an, Jua na Mwezi zinatajwa kuzunguka kwenye realm/orbit moja."

Nikakwambia lete hapa, ulileta???😄😄
Kuna sehemu nimesema bible na Qur'an?,...We ushachanganyikiwa

The only thing nime mention ni Qur'an verse regarding Mwezi na Jua Ku sail kwenye anga....sasa sijui huo uzushi unaleta wa nini hapa.
 
Observations zipo na nimeshakwambia
Kama vile:
1. Lunar phases inacast shadow ya Dunia kwenye moon ndo maana inaonekana circle.
2. Ship visibility
3. Sun set and sunrise.
Wewe una ushahidi gani kama Ile shadow unayoona kwenye mwezi ni Dunia?

Au Kwa kuwa umeambiwa na NASA?
 
Kuna sehemu nimesema bible na Qur'an?,...We ushachanganyikiwa

The only thing nime mention ni Qur'an verse regarding Mwezi na Jua Ku sail kwenye anga....sasa sijui huo uzushi unaleta wa nini hapa.
😄😄😄 Okay isiwe kesi, basi leta hayo maneno ya Qur'an. Kwan shida iko wapi?
 
Observations zipo na nimeshakwambia
Kama vile:
1. Lunar phases inacast shadow ya Dunia kwenye moon ndo maana inaonekana circle.
2. Ship visibility
3. Sun set and sunrise.
Yaani Mtu unaambiwa ulete ushahidi wowote usio na shaka kuhusu Dunia Tufe,...unaleta hizo hadithi hapo juu ambazo sihakua debunked mara nyingi humu.

Hizi bangi sasa...
 
Wewe una ushahidi gani kama Ile shadow unayoona kwenye mwezi ni Dunia?

Au Kwa kuwa umeambiwa na NASA?
Nimeona Kwa macho yangu wakati huo Jua halipo lipo upande wa pili, kwahy logically tu unaona ni shadow ya Dunia.

Then NASA wakakazia kabisa na Hadi tarehe na mwezi wa umbo Fulani la moon litakavyokuwa wanatoa.
Je wewe Kwa maelezo yako ya flat earth unamaelezo Gani kuhusu Hilo?
 
😄😄😄 Okay isiwe kesi, basi leta hayo maneno ya Qur'an. Kwan shida iko wapi?

Okay,..hizi hapa ni baadhi Tu,....
Surah Yasin, verse 40: "It is not for the sun to overtake the moon, nor does the night outstrip the day. They all float, each in an orbit." (Qur'an,36:40)

Surah Ya-Sin, verse 38:
"And the sun runs [on course] toward its stopping point. That is the determination of the Exalted in Might, the Knowing
 
Yaani Mtu unaambiwa ulete ushahidi wowote usio na shaka kuhusu Dunia Tufe,...unaleta hizo hadithi hapo juu ambazo sihakua debunked mara nyingi humu.

Hizi bangi sasa...
Sema mashaka yake wewe?
Kila kitu kipo explained.
Naww maelezo yako yameeleweka? Si atleast niamini NASA kuliko wewe usiekuwa na maelezo yoyote.
 
Nimeona Kwa macho yangu wakati huo Jua halipo lipo upande wa pili, kwahy logically tu unaona ni shadow ya Dunia.

Then NASA wakakazia kabisa na Hadi tarehe na mwezi wa umbo Fulani la moon litakavyokuwa wanatoa.
Je wewe Kwa maelezo yako ya flat earth unamaelezo Gani kuhusu Hilo?
Jua lipo upande wa pili wa nini?
 
Haya hizi hapa ni baadhi Tu,....
Surah Yasin, verse 40: "It is not for the sun to overtake the moon, nor does the night outstrip the day. They all float, each in an orbit." (Qur'an,36:40)

Surah Ya-Sin, verse 38:
"And the sun runs [on course] toward its stopping point. That is the determination of the Exalted in Might, the Knowing
Kwahy Qur'an inacontradict?
Vipi kuhusu hii,👇👇

And the earth, moreover, Hath He made egg shaped.” [Al-Qur’aan 79:30]
 
Kwahy Qur'an inacontradict?
Vipi kuhusu hii,👇👇

And the earth, moreover, Hath He made egg shaped.” [Al-Qur’aan 79:30]
Ime contradict kivipi sasa hapo?

Kwanza neno lililotumika kwenye hiyo Aya hapo ni "Dahaha'" ambalo maana yake ni hii hapa chini 👇🏼

The word "Dahaha'" in Arabic refers to the action of spreading or stretching something out. It can also mean to make something flat or to expand it.
 
Upande wa pili wa Dunia haupo,..can you prove upande wa pili wa Dunia by any means possible?
Yaani we jamaa una illogical questions,
Sasa nikuprovie nini tena? The only proof ni kuwa upande mmoja ukiwa usiku upande mwingne ni mchana.
 
Yaani huku unaambiwa movements za Jua na Mwezi,..kisha Aya nyingine inakuambia kuhusu ardhi kuwa spread-out/flattened,....then unasema eti ni contradiction.

Inaonekana hata maswali ya kuoanisha yalikupa shida. anthony_art
 
Back
Top Bottom