The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Kwani we unadhani tukisema tufe akili yako inafikria tufe Gani?Hahh kwahiyo tukiamua kukutana physically na kufanya real observation utaweza Ku prove Dunia Tufe?
Kwanza Dunia Tufe mwenzako anthony_art tayari ame confirm kwamba Dunia sio tufe la namna hii ➡️🌍,..
Always the earth is sphere which is flattened at its poles. Nadhani hili linafahamika vizuri hakuna Cha kuconfirm,
Kwahy kama sio perfect sphere unakubaliana nasi?