Kwahiyo haya maelezo ulikuwa unatetea nini?
Kimsingi ni kwamba tukiwa Duniani tunachokiona ni effects za objects ambazo zinaogelea kwenye anga ku intercept due to the fact that zinapita kwenye njia moja hivyo kupelekea lunar &Sun Eclipses...
Unatakiwa u question the narrative sio kuamini 100%,. kwasababu sio kwamba idea za hao uliofundishwa ukiwa Shule zipo correct 100%,. Kwa mfano tumefundishwa kwamba kipenyo(diameter ) cha Mwezi ni 2,159 miles lakini kwenye eclipse kivuli cha Mwezi(umbra) ni 170 miles tu, kitu ambacho ni absolutely impossible kama kweli mwezi una diameter ya 2,159...ukiwa mtu wa kudadisi na kuamini intuitives zako ndiyo utaweza kufikiria critically.
Ok tuseme ni moon, Aya elezea nI kivipi moon inablock Jua kwenye flat earth?😄