Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Haya maelezo ni Kwa case mpira ukiwa unaenda upward, ndo maana ukasema air resistance Ina oppose motion yake, sawa.

Sasa Kwa case mpira unarudi chini unasema air resistance inakuwa down πŸ‘‡ tena? Daah.

Ndo maana nilikuuliza air resistance ni nn? Ukaniona nakukejeli.
 
Au haya maneno alisema nani?

"Ila sio kesi acha nijibu..."Ina affect in the opposite direction of the motion body". ⬆️⬇️"
Hayo maneno wewe umeyaelewaje?

Tena nimekuwekea hadi description πŸ‘‰πŸΌβ¬†οΈβ¬‡οΈ lakini bado umeshindwa kuelewa?

Ngoja nijaribu tena,. huenda ukaelewa:-

Scenario 1:- Mpira umerushwa juu ⬆️, Kwa force iliyotumika kupeleka mpira huo juu.

Scenario 2:- Ultimately air resistance inaanza kuchukua nafasi na Ku slow down motion ya mpira kwenda juu...na kuufanya urudi chini downward ⬇️.

Hayo maelezo yapo clear...sasa shida yako unakuja tena unauliza wakati mpira upo kwenye motion ya kushuka chini kwanini air resistance isiurudishe tena juu? Hapo inaonyesha jinsi unavyo complicate mambo.
 
Sijasema air resistance inakua down,.mpira unapokua umeanza kushuka,...bali effect ya air resistance inafanya muelekeo wa mpira kuwa downward,.sasa kipi kisichoeleweka hapo?
 
.

Scenario 2:- Ultimately air resistance inaanza kuchukua nafasi na Ku slow down motion ya mpira kwenda juu...na kuufanya urudi chini downward ⬇️.
Kwanza nilikuambia air resistance haisababishi object kumove, ni sawa na brake za gari. Kamwe haziwez kufanya gari irudi nyuma Bali kuzuia na punguza Kasi.
 
Kwanza nilikuambia air resistance haisababishi object kumove, ni sawa na brake za gari. Kamwe haziwez kufanya gari irudi nyuma Bali kuzuia na punguza Kasi.
Yes upo sahihi kabisa..., ipo hivyoπŸ’―
 
Kwani si tumekubaliana kuwa air resistance Ina affect objects ambazo zipo kwenye motion?

Sasa kwani mpira ukiwa unashuka chini hauwi kwenye motion?
 
Sijasema air resistance inakua down,.mpira unapokua umeanza kushuka,...bali effect ya air resistance inafanya muelekeo wa mpira kuwa downward,.sasa kipi kisichoeleweka hapo?
Sawa, nimejifanya nimekubali kuwa effect ya air resistance ndo inafanya mpira ufanye downward motion.

Sasa nimekuuliza tena je mpira ukiwa unafanya downward motion si kutakuwa na air resistance pia ambayo Ina oppose motion ya mpira upward au nakosea?
 
Kwani si tumekubaliana kuwa air resistance Ina affect objects ambazo zipo kwenye motion?

Sasa kwani mpira ukiwa unashuka chini hauwi kwenye motion?
In the first place,..ni kitu gani kilichofanya mpaka hiyo motion ya mpira kubadilika na kurudi chini, instead ya kwenda juu?

Tuanzie hapa.
 
Yes upo sahihi kabisa..., ipo hivyoπŸ’―
Sasa kama nipo sahihi haya maelezo yako hayamake sense.,πŸ‘‡πŸ‘‡

,...bali effect ya air resistance inafanya muelekeo wa mpira kuwa downward,.

Kwa sababu air restance haiwezi kufanya uelekeo wa mpira kuwa downward
 
Kwamba haya make sense,.. una uhakika?

Kitendo tu cha air resistance kuizuia object kwenda juu,. automatically kinafanya mpira kurudi ulipotoka which is downward ⬇️.

Sasa ni kitu gani huelewi hapo?
 
In the first place,..ni kitu gani kilichofanya mpaka hiyo motion ya mpira kubadilika na kurudi chini, instead ya kwenda juu?

Tuanzie hapa.
Tufanye Mimi sijui maana nikielezea nita include gravity. Kitu ambacho hukikubali ndo maana nataka maelezo yako kwanza.

Hilo swali ndo nalitaka kutoka kwako, maana umesema Mpira kipindi unaenda juu unakuwa opposed na air resistance ambayo inafanya mpka force iliyourusha iishe.

Sasa je ni nn, kinachofanya Mpira uanze kurudi chini?

Kumbuka tumekubaliana air resistance haisababishi kitu kimove.
 
Kwamba haya make sense,.. una uhakika?

Kitendo tu cha air resistance kuizuia object kwenda juu,. automatically kinafanya mpira kurudi ulipotoka which is downward ⬇️.

Sasa ni kitu gani huelewi hapo?

Kaka, kuzuia kitu haimaniishi inafanya kitu hicho kurudi.

Nimekupa mfano wa break ya gari inazuia gari ipunguze mwendo au isimame haimaanishi itafanya gari irudi nyuma hata ukipiga break kiasi Gani.
 
Kwamba haya make sense,.. una uhakika?

Kitendo tu cha air resistance kuizuia object kwenda juu,. automatically kinafanya mpira kurudi ulipotoka which is downward ⬇️.

Sasa ni kitu gani huelewi hapo?
Kwenye sayansi hakuna kitu automatically lazima kuwe na kitu behind that.
 
Okay,. relax sasa
1. Kinachofanya mpira uanze kurudi chini ni combination of factors.
(a) Air resistance,..nimeshasema kwamba mpira ukiurusha juu utakua opposed na mgandamizo wa hewa,..na kikanuni "Air resistance acts in the opposite direction of its motion, slowing it down." So,. ultimately mpira unaporushwa juu utakutana resistance from air,.ambapo resistance hiyo itafanya mpira urudi kwenye opposite motion (which is down)

(a) kitu kingine ambacho naweza kukiweka kama sababu ya mpira kushuka chini ni density ya mpira na hewa...mpira ni dense than air hivyo automatically hautoweza kufloat kwenye air,.utashuka chini.

Najua unaelewa vizuri sana,.sema unataka kuforce ionekana kuna something kina miss ili ukiongezee,.... I'm telling you hakipo hicho unachofikiria mtaalamu 🀝🏼.
 
Hii sentence inakuua πŸ‘‡
ambapo resistance hiyo itafanya mpira urudi kwenye opposite motion (which is down).

Nimeshakwambia na nakwambia tena kuzuia kitu au kuoppose kitu haimaanishi itafanya kitu kirudi opposite direction.

Mfano tu break ya gari.
 
Kwanini hujazingatia (b),..au ilimradi ubishe tu
 
Kuhusu hiki kitu nilikuuliza hapo nyuma,

Je density ni force ukasema hamna. Sasa unasemaje tena density isababishe kitu kimove?
Au hujui maana ya force ? Au hujui maana ya inertia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…