The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Haya maelezo ni Kwa case mpira ukiwa unaenda upward, ndo maana ukasema air resistance Ina oppose motion yake, sawa.Ngoja nikusaidie sasa maana sijui una tatizo gani.
Scenario NI hii 👉🏼. Mpira uliokua unaenda juu(upward)⬆️,.ukakutana na air resistance,.na kuufanya Mpira huo urudi chini (downward)⬇️.
Ninaposema downward direction namaanisha direction ambayo air resistance ina push object kwenda huko at the moment,...sasa ulitaka niseme air resistance wakati huo ipo na upward direction?,
Sasa Kwa case mpira unarudi chini unasema air resistance inakuwa down 👇 tena? Daah.
Ndo maana nilikuuliza air resistance ni nn? Ukaniona nakukejeli.