The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
We jamaa umeanza kutoka kwenye principles za physics Sasa, au una physics yako mwenyewe?Kwamba unaniuliza Mimi kama naelewa ninachoongea?! Ningekua sielewi ninachoandika hapa basi nisingeandika,.In the first place!
Ndiyo narudia tena kusema kwamba Mass kuna sehemu inakua force na kuna sehemu Inakua sio force....... simply kwasababu Mass itself does not exert a force; rather, it resists changes in motion when an external force is applied to it.
Kwa mfano Jiwe lina Mass...lakini huwezi ukalikuta Jiwe lipo at rest kisha useme Mass ya hilo Jiwe ni force at the moment.... Mass ya Jiwe itakua force endapo kutatokea some interactions... Kwa mfano Ukilikuta Jiwe kubwa lipo at rest kisha ukalisukuma Jiwe hilo basi Mass ya jiwe hilo ita determine Kwa kiasi kikubwa magnitude ambayo Jiwe litashuka nayo as a result of msukumo ambao umeufanya towards hilo jiwe..so, kwenye situation kama hiyo Mass tunaweza kusema ni force.
Unachanganya mass na weight. Au unataka kusema mass ni weight,
By the way, nambie tu weight ni nn? Na inact in which direction?
Huwezi kunambia mass ni force, mass sio vector ni scalar quantity. Sijui physics yako ulisomea wapi?