Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kwamba unaniuliza Mimi kama naelewa ninachoongea?! Ningekua sielewi ninachoandika hapa basi nisingeandika,.In the first place!

Ndiyo narudia tena kusema kwamba Mass kuna sehemu inakua force na kuna sehemu Inakua sio force....... simply kwasababu Mass itself does not exert a force; rather, it resists changes in motion when an external force is applied to it.

Kwa mfano Jiwe lina Mass...lakini huwezi ukalikuta Jiwe lipo at rest kisha useme Mass ya hilo Jiwe ni force at the moment.... Mass ya Jiwe itakua force endapo kutatokea some interactions... Kwa mfano Ukilikuta Jiwe kubwa lipo at rest kisha ukalisukuma Jiwe hilo basi Mass ya jiwe hilo ita determine Kwa kiasi kikubwa magnitude ambayo Jiwe litashuka nayo as a result of msukumo ambao umeufanya towards hilo jiwe..so, kwenye situation kama hiyo Mass tunaweza kusema ni force.
We jamaa umeanza kutoka kwenye principles za physics Sasa, au una physics yako mwenyewe?

Unachanganya mass na weight. Au unataka kusema mass ni weight,

By the way, nambie tu weight ni nn? Na inact in which direction?

Huwezi kunambia mass ni force, mass sio vector ni scalar quantity. Sijui physics yako ulisomea wapi?
 
Kwamba unaniuliza Mimi kama naelewa ninachoongea?! Ningekua sielewi ninachoandika hapa basi nisingeandika,.In the first place!

Ndiyo narudia tena kusema kwamba Mass kuna sehemu inakua force na kuna sehemu Inakua sio force....... simply kwasababu Mass itself does not exert a force; rather, it resists changes in motion when an external force is applied to it.

Kwa mfano Jiwe lina Mass...lakini huwezi ukalikuta Jiwe lipo at rest kisha useme Mass ya hilo Jiwe ni force at the moment.... Mass ya Jiwe itakua force endapo kutatokea some interactions... Kwa mfano Ukilikuta Jiwe kubwa lipo at rest kisha ukalisukuma Jiwe hilo basi Mass ya jiwe hilo ita determine Kwa kiasi kikubwa magnitude ambayo Jiwe litashuka nayo as a result of msukumo ambao umeufanya towards hilo jiwe..so, kwenye situation kama hiyo Mass tunaweza kusema ni force.
Sasa ndugu,
Hapo umesema mpk ulisukume, kwenye mfano wetu wa mpira ambao ni free fall, haujasukumwa umehusisha vp sasa?
 
Hizo picha zote kama alivyosema ni animation hata yeye hana uhakika, ila Jua linazunguka Dunia toka kuumbwa kwa hii Dunia na haliko 93m km kama tunavyodanganywa. Nina amini katika bible sababu ndo kitabu cha kale na ndo kimeelezea ukweli juu ya uumbaji wa hii Dunia.

Zaburi 19:1​

Mbingu zatangaza utukufu wa Mungu; anga ladhihirisha kazi ya mikono yake. Mchana waupasha habari mchana ufuatao, usiku waufahamisha usiku ufuatao. Hamna msemo au maneno yanayotumika; wala hakuna sauti inayosikika; hata hivyo, sauti yao yaenea duniani kote, na maneno yao yafika kingo za ulimwengu. Mungu ameliwekea jua makao yake angani; nalo hutoka kama bwana arusi chumbani mwake, lafurahi kama shujaa aliye tayari kushindana. Lachomoza toka upande mmoja, na kuzunguka hadi upande mwingine; hakuna kiwezacho kuliepa joto lake.

Bible inaprove Jua linazunguka Dunia na lina orbit yake, hata ukisoma kitabu cha Joshua unaona Mungu alisimamisha Jua na sio Dunia, sababu jua ndo linazunguka Dunia.

Director wa NASA wernher van braun baada ya kufa kwenye kaburi yake ameandika PSLAM 19:1 amefikisha ujumbe hapo ila ndo hivyo hatuelewi.
Kwa namna moja ama nyingine unaweza nishawishi. Uko na pointi kiongozi.
 
Nimekuuliza gravity ni nn? Unaruka ruka tu😀.

Kuwa serious hata kidg
Inaonekana hata swali ulilouliza umelisahau....

Nakukumbusha kwamba nilisema objects zina fall kutokana na combinations of factors ikiwemo air resistance, density na kadhalika.......hapo kwenye kadhalika ukataka nikutajie ni nini kipo kwenye kadhalika....

Ndiyo hapo nimejibu kwamba...hata kwenye kadhalika "Gravity haihusiki"
 
Okay, sorry weight ni nn?
 
Mass & Weight vyote ni sawa tu. Uzito wa kitu.

Najua unataka useme weight inapimwa Kwa kuzingatia gravity ya object kitu ambacho Mimi naona ni hadithi tu.
Mbona unajishtukiaa😀😀, Relax.

How both are measured?
And are they scalar quantity or vector quantity?
 
Mass & Weight vyote ni sawa tu. Uzito wa kitu.

Najua unataka useme weight inapimwa Kwa kuzingatia gravity ya object kitu ambacho Mimi naona ni hadithi tu.
Ukipima mass na weight magnitude zake zitafanana? If not what cause the differences?
 
Nimeona mtu anapinga wazungu kwenda mwezi na sayari ya mars ila hapo hapo unakubali kuna sayari ya mars. Inabidi ukatae pia hakuna hiyo sayari.

Kama wameweza tenegeneza kitu mtu yupo Marekani anakupigia simu wewe wa Tanzania na muda huo huo mnaona na kuongea kwanini washindwe kwenda huko mwezini na wakati teknolojia wanayo?
 
Jitahidi ufikirie zaidi,..bado hujafikiria.
 
Machweo na mawio ya jua inakuaje mzee? Na vipi kuhusu misimu (seasons) ya dunia, winter, autumn, spring, summer? Hivyo havi kwambii kwamba dunia duara?
Ukiwa northpole au southpole hupati jua la utosi.
Ukipanda ndege kwenda nchi za nje kuna kitu kinaitwa "jet lag", ni ugonjwa wa kuumwa na kichwa kwa sababu ya kubadili/kupishana na muda/majira ya jua. mfano unapanda ndege hapa saa tatu asubuhi unaenda marekani unafika saa tatu asubuhi siku hiyo hiyo. (lazima kichwa kikuume)

Saa hivi asubuhi TZ, Marekani wanakoroma saa hii na China saa hivi saa kumi na moja ishaingia jioni. Hivyo havikwambii kuwa dunia ni duara?

Mwezi unaoangaliwa na waislamu kufungia ukoje? Sio duara/tufe?
Jitahidi ufikirie zaidi...hiyo haitoshi.
 
ila kuna watu maandazi sana jamani,ndio madhara unafundishwa periodic table elements,wewe unaimba "hallow helena lile beberu bora chinja na ondoa figo nene"🤣🤣🤣🤣.yaani ni mwendo wa kumeza,hakuna muda wa kusoma vitu na kuvielewa.

yaani mtu anaambiwa dunia ni tufe anahoji kwanini maji ya habari hayamwagiki,kwanini wanatumia michoro ya flat earth kwenye ndege kusafiria(hapa kasahau hatuwezi kutumia picha kusafiria ni lazima ramani ambayo huwa ni flat ktk karatasi siku zote.

maswali anayouliza mtu yanakupa picha kwamba amefanikiwa kurefuka tu ila akili zake ni za mtoto wa standard one,ndiye akipata wasaa huuliza hivi kwa wazazi wake.View attachment 2927229
Kwahyo kuuliza kwanini mali haymwagiki ww unaona swali la kijinga??
 
Back
Top Bottom