George Charles007
JF-Expert Member
- Mar 10, 2024
- 217
- 337
Skia mkuu dunia ni duara/tufe na hii dunia ina nguvu ya mvutano ndo maana mimi na wewe na maji na kila kilichomo humu hatuangukii nje ya dunia, ila sasa nje ya dunia HAKUNA NGUVU YA MVUTANO MZEE! Ndo maana wanasayansi wakiwa nje ya dunia kwenye roketi wanaelea wao na roketi zao pia. Satelaiti zilizopo nje ya dunia zinaelea, Nje ya dunia hakuna nguvu ya mvutano, ya kuvuta vitu vilivyopo kwenye sayari vitoke nje. Natumaii umenipata.Kwahyo kuuliza kwanini mali haymwagiki ww unaona swali la kijinga??
Nilishasema kwamba Mass & Weight ni uzito tu...Ukipima mass na weight magnitude zake zitafanana? If not what cause the differences?
Mimi ukileta uthibitisho usio na shaka kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka 👉🏼🌍,..nguvu ya kubisha nitaitoa wapi?Wewe nimegundua umeshaamua uamini unachotaka kwa hiyo hata ukioneshwa vithibisho bado utapinga.
Unaumwa ww😀😀😀 labda uite Kwa jina lako ila watu sio wajinga kuita mass na weight na kuvitofautisha.Nilishasema kwamba Mass & Weight ni uzito tu...
Yaani hapo sawa na useme,..ukipima uzito & uzito magnitude zake zitafanana?
Jibu ni ndiyo,...hizo nyingine ni nadharia tu Mass & weight are synonyms.
The understanding of weight before Newtown's idea:-
Heaviness of an object: This fundamental concept was well established. People observed that some objects required more effort to lift or move compared to others. This was the practical understanding of weight!
Hahh eti Propaganda.....Propaganda ni kuambiwa Dunia ni Tufe linalozunguka bila kuwa na ushahidi wowote.Nimekwambiaje, Hana maelezo ya kukupa zaidi ya propaganda
Jibu swali kwanini maji hayamwagiki kwenye dunia Tufe linalozunguka 👉🏼🌍?Mpaka unauliza kwann maji hayamwagiki kwenye Duara je unajua kwann imekuwa Duara?
Umeulizwa swali mpe majibu sio naww kuuliza tena maswali yakoHahh eti Propaganda.....Propaganda ni kuambiwa Dunia ni Tufe linalozunguka bila kuwa na ushahidi wowote.
Yaani kwa mfano unajua kabisa kama Ndege(Aeroplane) zinafanya flight huku ziki maintain flight level,. Na kuhakikisha constant altitude, flying in a straight line parallel to the earth's surface.
LAKINI HIYO HAIKUFANYI UFIKIRIE??!
Fikiria zaidi... Fikiria zaidi!
Kwamba nje ya Dunia hakuna nguvu ya mvutano ya kuvuta vitu?Nje ya dunia hakuna nguvu ya mvutano, ya kuvuta vitu vilivyopo kwenye sayari vitoke nje. Natumaii umenipata.
Sa nikikwambia utanielewa kweli? Wakati akili yako inaforce mass iwe force na unaforce weight na mass ni kitu kile kile.Jibu swali kwanini maji hayamwagiki kwenye dunia Tufe linalozunguka 👉🏼🌍?
Mimi kimsingi sipo hapa kutaka kushinda it's just kujadili vitu ambavyo vina utata na Jamii Kwa ukubwa wake imekua brainwashed...Sa nikikwambia utanielewa kweli? Wakati akili yako inaforce mass iwe force na unaforce weight na mass ni kitu kile kile.
Au umechanganyikiwa? Unit ya weight ni Newton's, unit ya mass ni kg. Lakin unaforce ujinga.
Awali nilisema naendelea kujadiriana naww Kwa sabab ulikuwa hutoki kwenye principle za physics lakn saiv nakupuuza coz naona kabisa unashindana, na tufanye umeshinda lakn moyon kwako unajua majibu mpk hapo.
Sasa kama haupo kushindana, niambie ni wapi ulifundishwa au kusoma au kufanya utafiti na kupata majibu ya kuwa mass ni force? Na weight na mass ni kitu kimoja? Na zinapomwaje? Kuwa mkweli acha propaganda.Mimi kimsingi sipo hapa kutaka kushinda it's just kujadili vitu ambavyo vina utata na Jamii Kwa ukubwa wake imekua brainwashed...
Nipo hapa kujaribu kuamsha akili zilizo lala.
Sema ni wapi hivi vihoja umetoa?Sasa kama haupo kushindana, niambie ni wapi ulifundishwa au kusoma au kufanya utafiti na kupata majibu ya kuwa mass ni force? Na weight na mass ni kitu kimoja? Na zinapomwaje? Kuwa mkweli acha propaganda.
Kujua maana halisi ya uzito wa kitu na kujua kwamba In some situations uzito una determine force ya object husika.....hakuhitaji usome sana bali Kwa kupitia simple Observational Research hata layman atagundua hilo.Sasa kama haupo kushindana, niambie ni wapi ulifundishwa au kusoma au kufanya utafiti na kupata majibu ya kuwa mass ni force? Na weight na mass ni kitu kimoja? Na zinapomwaje? Kuwa mkweli acha propaganda.
Unaandika maelezo mengiii, nimekuomba tu nipe source ya maelezo yako, kwani kwe neno weight uliliumba wewe? Kama sio basi ulilitoa wapi? Niletee ulipolitoa likiwa na maelezo hayo.Kujua maana halisi ya uzito wa kitu na kujua kwamba In some situations uzito una determine force ya object husika.....hakuhitaji usome sana bali Kwa kupitia simple Observational Research hata layman atagundua hilo.
Kwa mfano layman ukimuuliza Kati ya object 1 & 2 ipi ina uzito mkubwa atakuambia simply Kwa kulift object hizo.
Namalizia Kwa kusema kwamba,.sio lazima wote tukubaliane na hiyo hoja ya kutofautisha mass & weight... Kwasababu miongoni mwetu kuna wale wanaoamini elimu ni Ile tu wanayopokea kutoka kwa secondary source,. wengine tunaamini elimu inaanzia primary source then secondary inafuata.,lakini pia wengine tunaamini no matter how much someone is regarded by society as a genius, with seemingly no room for questioning, we will still criticize and question their narratives. This is because everyone is prone to making mistakes.
Kwani neno weight alitunga Newton?Unaandika maelezo mengiii, nimekuomba tu nipe source ya maelezo yako, kwani kwe neno weight uliliumba wewe? Kama sio basi ulilitoa wapi? Niletee ulipolitoa likiwa na maelezo hayo.
Sio kukimbilia kwamba sio lazima wote tukibaliane. Science sio propaganda kama unazoleta ww.
Unaijua equator? Basi nchi zilizo karibu na equator zinapata direct sunlight from the sun.Dunia ni Tufe linalozunguka,... lakini Most of African countries hazijawahi Ku experience msimu wa winter yenye kuangusha barafu Kali.....hii haitufanyi tufikirie?
anthony_art
Nijibu swali langu acha propaganda, we umetoa wapi hayo maelezo unayonambia, maana mwisho wa siku namm naweza kujiongezea tu vitu visivyo vya kweli.Kwani neno weight alitunga Newton?
Lilitumikaje na Kwa maana ipi,..kabla Newton hajazaliwa?
Yaani kwamba pamoja na mzunguko wa Tufe kuathiri Dunia nzima lakini nchi zilizo karibu na Equator hazioni mabadiliko yoyote?Unaijua equator? Basi nchi zilizo karibu na equator zinapata direct sunlight from the sun.
Na hii inathibitisha zaidi kuwa Dunia ni tufe, kama unabisha elezea Kwa Dunia flat.
Unaijua equator? Basi nchi zilizo karibu na equator zinapata direct sunlight from the sun.
Na hii inathibitisha zaidi kuwa Dunia ni tufe, kama unabisha elezea Kwa Dunia flat.
Kuona mabadiriko yoyote kivipi?Yaani kwamba pamoja na mzunguko wa Tufe kuathiri Dunia nzima lakini nchi zilizo karibu na Equator hazioni mabadiliko yoyote?