Kujua maana halisi ya uzito wa kitu na kujua kwamba In some situations uzito una determine force ya object husika.....hakuhitaji usome sana bali Kwa kupitia simple Observational Research hata layman atagundua hilo.
Kwa mfano layman ukimuuliza Kati ya object 1 & 2 ipi ina uzito mkubwa atakuambia simply Kwa kulift object hizo.
Namalizia Kwa kusema kwamba,.sio lazima wote tukubaliane na hiyo hoja ya kutofautisha mass & weight... Kwasababu miongoni mwetu kuna wale wanaoamini elimu ni Ile tu wanayopokea kutoka kwa secondary source,. wengine tunaamini elimu inaanzia primary source then secondary inafuata.,lakini pia wengine tunaamini no matter how much someone is regarded by society as a genius, with seemingly no room for questioning, we will still criticize and question their narratives. This is because everyone is prone to making mistakes.