Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Kwamba nchi zilizopo karibu na Equator zina receive direct sun....how zina receive direct sun at the same time milele na milele constantly nchi hizo zina experience day & night?
Dunia iki rotate ndo unapata usiku na mchana,
Dunia iki revolve ndo tunapata seasons of the year, ni nn huelewi?

Ndo maana nikakuuliza ni nn hukuelewa kwenye maelezo niliyokupa, lkn HOLA!!
 
Kwanza tukubaliane 24hrs Sun haiwezekani kwenye Tufe linalozunguka....kisha tutaendelea.

Tufute uongo Kwanza...ili ukweli upate nafasi.
Ndo maana nasema unahoja dhaifu!! Kwasabab wewe mwenyewe huwezi kuelezea

Sasa nakuelezea Kwa mara ya mwisho!!



Kama nilivyokwambia awali kuwa the earth’s axis is angled approximately 23.5° from its orbit - so that means at one point of the year North pole inakuwa pointed towards the Sun (kama unavyoona Dunia kushoto) and then at the opposite end of the year the South Pole is pointed towards the Sun (kama unavyoona kulia).

Kwahy hii inamaana kuwa for a while during the year there is an area of the planet where the sun is always above the horizon, and similarly there is a period during the year where the sun will never come above the horizon.

Hii pia inatokea at the other pole - but at opposite times of the year.This ring around the pole to 66.5 ∘ latitude is either the Arctic or Antarctic circle (depending on which pole you consider).So in the Arctic circle for a around three months around the Northern Summer Solstice (21st June) the sun will never set, and for the same period in the Antarctic circle the sun will never rise.

kama Kuna sehemu hujaelewa sema.
 
Kwanza tukubaliane 24hrs Sun haiwezekani kwenye Tufe linalozunguka....kisha tutaendelea.

Tufute uongo Kwanza...ili ukweli upate nafasi.
Tukibaliane vipi wakat nilishawah kukuelezea vzr tu na hukusema wapi panashida. Na Bado nimeshakuelezea soma tena.

Alafu kama huwezi kuelezea sema 😄
 
hateeb10

Kwahy mpka sasa Bado unahoja dhaifu na tambarare yako. Umeshindwa kuelezea vitu vingi tu ambavyo kwenye Dunia tufe vinaelezeka.

1. Dunia flat imeshikiliwa na nn? Je inaelea?
2. Jua na mwezi vimeshikiliwa na nn? Na zinawezaje kuzunguka kwenye orbit?
3.lunar/solar eclipses na moon phases.
4. Why things fall, ulisema density nikakuuliza kwann more dense ishuke chini na wakat ilikuwa na option nne, ukasema air resistance nayo ikakushinda, ukaja kusema mass ni force au weight.
5. Seasons of the year
6. Why some country zina experience day 24 hrs.
NA vingne vingi tu
 
hateeb10

Watu wanao amini flat earth hawana sio tu concrete, Bali hata simple explanations kuhusu vitu hivi👇👇 ambavyo vinaelezeka.

1.) Lunar Eclipses don’t occur only at midnight.
Take a look at the shape of the Earth’s shadow during a lunar eclipse, particularly during a partial phase.

Do you notice how the Earth’s shadow always appears to be a piece of a near-perfect circle? If the Earth were a flat disk, that means there’s only one possible orientation that the Sun-Earth-Moon alignment can take place in to create a circular (rather than elliptical) shadow: with the Earth’s “disk” perpendicular to the Sun-Moon plane.

This means the Sun would need to be at the “midnight” position relative to the night side of Earth, and yet lunar eclipses occur at all different times depending on where you are on Earth. The flat Earth can’t explain that.

2.) Different locations on Earth experience seasons at different times.
Ever notice how the summer in the United States corresponds to winter in Australia? Or how winter in Italy lines up with summer in Argentina? This is because the Sun’s rays, which are almost perfectly parallel, strike Earth at different angles during different parts of the year. If the Earth were flat, the Sun’s rays would always come in at the same angle, meaning that the USA, Australia, Italy, and Argentina would all experience the seasons the same exact way. The flat Earth idea can’t explain this.

3.) Different stars are visible from different latitudes.
Look up at the night sky from a very high (northern) latitude location, and you’ll see the Big and Little Dippers, the bright orange giant Arcturus, and the Pleiades, among other sights. Yet if you head to the south pole, none of these celestial sights are visible, but you can see Alpha Centauri, the Magellanic Clouds, and the Southern Cross, all of which are never visible to most northern hemisphere skywatchers. If the Earth were flat, everyone on the night side of the Earth would see the same sky; this is another observation that the flat Earth can’t account for.

4.) Sunsets and sunrises happen at different times depending on your longitude.
If the Earth were flat, then someone in New York and someone in Los Angeles would see the sun rise and set at exactly the same time as one another. But in practice, the difference is approximately three hours. Not only that, but at every point in between, the Sun rises/sets at a different time, something that could not happen if the Earth were flat. The fact that it can be evening in New York and late afternoon in Los Angeles, or morning in New York while it’s still before dawn in Los Angeles, is something that a flat Earth can’t account for

Wahenga walisema you can’t reason someone out of a position they didn’t reason themselves into.
 
We jamaa ni unaubishi wa kishamba sana.😂😂😂
Sio ubishi.,,ni reasoning ya vitu ambavyo havi make sense ila watu tumeaminishwa Tu.

Huwezi amini hata Mimi nilisoma kuhusu Dunia Tufe linalozunguka kama wewe tu... sasa tatizo kuna vitu bado vina contradict theory ya Dunia Tufe...na akili inakataa.

Nitakuwekea concern moja ya kufikirisha:-

Hivi,.. Inawezekana vipi Ndege zina safiri milele horizontally over the earth's surface endapo kweli Dunia ni Tufe linalozunguka,? Kwa mfano kutoka Tanzania kwenda Australia utaona Ndege iki maintain it's altitude kwenye horizontal plane... kwanini inakua hivyo ikiwa kweli Dunia ni Tufe?
 
Ndo shida ya watu walioaminishwa kuwa Dunia ni flat 😄. Shida yenu Kubwa ni whatabotism. Sasa hujamaliza hoja za awali umeshaanzisha hoja nyingne😄.

Kwa akili ya kawaida tu kama unatumia akili mpaka hapo hoja yako ya Dunia kuwa flat Haina mashiko yoyote since haiwezi kuelezea vitu vingi sana hata ukijaribu kuelezea utaacha maswali zaidi.

Nachokushauri kaa chini soma zaidi kuhusu Dunia tufe utapata majibu ya maswali unayouliza humu. Then linganisha na hizo hoja zako utaona wapi ni sahihi ww kuamini maana nakuelezea vitu vingi ambavyo wewe huwezi kuvielezea Kwa flat earth lakn Bado huelew
 
Sio ww unaetumia observation kuamini unachokiona?. Yaani inapofika muda wa kutumia akili yako we unaifunga, seriously?? Embu jaribu kuangalia shadow below the clouds inathibitisha kabisa.
Fungua akili yako.
 
hateeb10 na Kuna maelezo nimekupa hapo juu, nimekuuliza sema wapi hujaelewa lakni HOLA!! Inaonesha wazi ni kiasi Gani hutaki kukubali ukweli Bali umechagua upande wa utofauti tu ili uonekane unamawazo ya tofaut.
 
Hivi Kwa akili yako tu kati ya hoja yako na hii ya Dunia tufe ni kipi kina contradict? Vingine ni ww tu umefungia ubongo wako.
Na sidhani kama naweza kukuelewesha maana nimeshajaribu vya kutosha na husemi wapi hujaelewa.
 
Dunia iki rotate ndo unapata usiku na mchana,
Dunia iki revolve ndo tunapata seasons of the year, ni nn huelewi?

Ndo maana nikakuuliza ni nn hukuelewa kwenye maelezo niliyokupa, lkn HOLA!!
Hoja yangu ni kwamba,. kwenye dunia ambayo ina revolve there's no way baadhi ya nchi zishindwe Ku experience certain seasons....

Ukiulizwa kwanini Dunia ina revolve lakini kuna nchi milele na milele hazijawahi Ku experience some seasons,..unadai ni Kwasababu ya Tilt mara angle n.k,.. wakati kiuhalisia unaona wazi kwamba ingekua nchi ambazo zipo karibu na Equator kama unavyodai na kwamba Nchi hizo zina face jua directly,.then hakuna namna nchi hizo zipate usiku since milele na milele zimelielekea Jua.


Yani concern yangu ni kwamba,... haijalishi ni Rotation/Evolution ikiwa Nchi zilizo karibu na Equator zinatazamana na Jua muda wote....basi nchi hizo hazitakiwi kupata USIKU...au imekaaje hii?
 
hateeb10 na Kuna maelezo nimekupa hapo juu, nimekuuliza sema wapi hujaelewa lakni HOLA!! Inaonesha wazi ni kiasi Gani hutaki kukubali ukweli Bali umechagua upande wa utofauti tu ili uonekane unamawazo ya tofaut.
Hapana haipo hivyo mkuu,.
 
Hivi Kwa akili yako tu kati ya hoja yako na hii ya Dunia tufe ni kipi kina contradict? Vingine ni ww tu umefungia ubongo wako.
Na sidhani kama naweza kukuelewesha maana nimeshajaribu vya kutosha na husemi wapi hujaelewa.
Nakuhakikishia,.ukinijibu hii hoja hapa chini nitabadili mtazamo wangu, Mtaalamu:- 👇🏼

Inawezekana vipi Ndege zina safiri milele horizontally over the earth's surface endapo kweli Dunia ni Tufe linalozunguka,? Kwa mfano kutoka Tanzania kwenda Australia utaona Ndege iki maintain it's altitude kwenye horizontal plane... kwanini inakua hivyo ikiwa kweli Dunia ni Tufe?
 
Nadhani haihitaji Mtu kuaminishwa kwamba Dunia ipo flat,.. Kwasababu clearly Inakua observed hivyo,.

Hata wewe apart from CGI'S hujawahi kuona utufe wa Dunia tokea uzaliwe.
 
Nadhani haihitaji Mtu kuaminishwa kwamba Dunia ipo flat,.. Kwasababu clearly Inakua observed hivyo,.

Hata wewe apart from CGI'S hujawahi kuona utufe wa Dunia tokea uzaliwe.
We hapo ulipo unaona ni flat? Kwann uone part ndogo useme ni flat? Nani alishawah kufika mwisho wa hiyo flat?.

Tumia akili yako japo kidg usifungwe na YouTubers na flat earthers tumia akili yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…