Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
wakati kiuhalisia unaona wazi kwamba ingekua nchi ambazo zipo karibu na Equator kama unavyodai na kwamba Nchi hizo zina face jua directly,.then hakuna namna nchi hizo zipate usiku since milele na milele zimelielekea Jua.
Tatizo lako ni uwezo mdogo wa kuelewa mambo na sijui nakusaidiaje😀.

Unaelewa nikisema earth rotation kweli ww?

Rotation ndio inasabisha day and night sehem zote za Dunia. Ni nn hapo huelewi?

Ninaposema kwenye equator Kunakuwa na direct sun, namaanisha during day, nchi zilizo karibu na equator zinapata direct sun, kutokana na umbo la Dunia kilivyo. Haimaniishi kwamba haitokei usiku no!! Usiku unatokea Kwa sabab ya rotation. Sijui unaelewa lakn?

file-20211217-23072-g37bxk~3.jpg

Sasa hapo 👆👆 imagine Dunia irotate yaan upande wa herufi "a" uende ulipo upande wa herufi "b" na herufi "b" uje ulipo upande wa herufi "a" huoni kuwa upande wa herufi "a" utakuwa usiku na upande wa herufi "b" utakuwa mchana?

Sasa sijui neno kuwa nchi zilizokaribu na equator zinapata direct sun we ukajua kuwa nilimaanisha kuwa zinapata Jua muda wote😀😀.

Ngoja nikusaidie kutofautisha👇👇

Near-equator countries receive more direct sunlight throughout the year because the equator receives the most direct sunlight due to the Earth's tilt.

This means these countries experience more consistent daylight hours and relatively less variation in day length throughout the year compared to regions farther from the equator.

Day and night occur due to the Earth's rotation on its axis. As the Earth rotates, different parts of the globe are exposed to sunlight, causing daytime in those areas, while the opposite side experiences nighttime. Near the equator, day and night durations are relatively consistent year-round, with each lasting approximately 12 hours. This is because the equator receives nearly perpendicular sunlight throughout the year, resulting in relatively even day and night lengths.

Note: In near-equator countries, daylight hours remain relatively equal throughout the year, typically around 12 hours of daylight and 12 hours of darkness each day.
While areas farther from the equator have more pronounced variations in daylight duration due to the Earth's tilt. These regions experience longer daylight hours during their respective summer seasons and shorter daylight hours during winter.

file-20211217-23072-g37bxk.jpg

Kitu nilichokuambia hakibadiliki ni earth tilt 👇👇

Earth's tilt, also known as axial tilt or obliquity, refers to the angle between the Earth's rotational axis and its orbital plane around the Sun. Earth's axis is tilted at an angle of approximately 23.5 degrees relative to its orbital plane. This tilt is responsible for the changing seasons as different parts of the Earth receive varying amounts of sunlight throughout the year.

seasons.en.jpg

Aisee usipoelewa hapa, BASI TENA!!!!
 
Attachments

  • file-20211217-23072-g37bxk.jpg
    file-20211217-23072-g37bxk.jpg
    39.5 KB · Views: 3
Nakuhakikishia,.ukinijibu hii hoja hapa chini nitabadili mtazamo wangu, Mtaalamu:- 👇🏼

Inawezekana vipi Ndege zina safiri milele horizontally over the earth's surface endapo kweli Dunia ni Tufe linalozunguka,? Kwa mfano kutoka Tanzania kwenda Australia utaona Ndege iki maintain it's altitude kwenye horizontal plane... kwanini inakua hivyo ikiwa kweli Dunia ni Tufe?
Soma hapa usipoelewa tena basi Sasa Baki na Imani yako ambayo huwezi kuielezea kivyovyote zaidi ya kutaka ww uelezewe na ukielezewa unakaza fuvu.

an airplane stays within the Earth's atmosphere and doesn't go into space when moving horizontally due to the combined effects of gravity, atmospheric pressure, and the propulsion system of the aircraft. These factors enable the airplane to maintain flight and remain within the Earth's gravitational field.

1. Gravity: Gravity is a force that attracts objects towards the center of the Earth. It is responsible for keeping the airplane, along with everything else on Earth's surface, grounded. The force of gravity acts vertically downward, pulling objects toward the Earth's center. As long as the airplane is within the Earth's gravitational field, it experiences this downward force.

2. Atmospheric Pressure: The Earth's atmosphere extends several kilometers above its surface. It is composed of a mixture of gases, primarily nitrogen and oxygen. The atmosphere exerts pressure on the Earth's surface, including the airplane. This atmospheric pressure pushes against the underside of the airplane's wings, generating lift, which is necessary for flight. The wings are designed in such a way that the airflow over them creates a pressure difference, with lower pressure on the top surface and higher pressure on the bottom surface. This pressure difference generates lift, allowing the airplane to remain airborne.

3. Propulsion: Airplanes are equipped with engines that generate thrust. This thrust is produced by burning fuel and expelling the exhaust gases at high speeds. The reaction force created by the expulsion of these gases propels the airplane forward. The forward motion generated by the engines, coupled with the lift created by the wings, enables the airplane to maintain flight and move horizontally within the Earth's atmosphere.

,
 
Na kwann iwe hiyo tu, nimejibu nyingi ambazo ww umeshindwa na kamwe huwezi, huo haukuwa uthibitisho tosha kwako?

Hata nikakuelezea vipi kama hujafungua ubongo wako sidhan kama utakubali.
 
Chukua hii

Airplanes maintain the same altitude relative to the Earth's surface by constantly adjusting their altitude to compensate for the curvature of the Earth. This is achieved through a combination of the aircraft's instruments, such as altimeters and autopilot systems, which help the pilots maintain a consistent altitude above the Earth's surface. The curvature of the Earth is taken into account in navigation and flight planning to ensure that aircraft maintain a safe and consistent altitude during flight.

Note:
An altimeter is a device used to measure altitude above a fixed level, usually the Earth's surface. It's commonly used in aircraft to determine altitude above sea level.

main-qimg-a2c6d9a18922b7a89e7ddb5b990367b4-lq.jpeg

Fig: an altimeter

An autopilot system is a device or system that automatically controls the trajectory of a vehicle, such as an aircraft, without constant manual control by a human operator. It helps maintain a steady course, altitude, and speed, often using a combination of sensors, computers, and actuators.

Kama ingekuwa Ina move horizontally sidhan kama ungeiona Ina maintain altitude.

Angalia hata flight routes zilivyo

main-qimg-c3e9510c40046824d42a6888f383a125-lq.jpeg

Fig: flight routes from LA
 
Nakuhakikishia,.ukinijibu hii hoja hapa chini nitabadili mtazamo wangu, Mtaalamu:- 👇🏼

Inawezekana vipi Ndege zina safiri milele horizontally over the earth's surface endapo kweli Dunia ni Tufe linalozunguka,? Kwa mfano kutoka Tanzania kwenda Australia utaona Ndege iki maintain it's altitude kwenye horizontal plane... kwanini inakua hivyo ikiwa kweli Dunia ni Tufe?
Sichoki kukufumbua akili yako:

aircraft zinatumia special type of navigation system ambayo Iko based on the curvature of the surface of the earth.

Sasa Ili iweze ku-maintain altitude, planes lazima i-adjust pitch angle na thrust.

Hii unafanya na computers ambazo zina-integrate sensors Ili kuweza ku-measure aircraft’s attitude (roll, pitch, and yaw), airspeed, altitude, and attitude rate into an algorithm ambayo Ina controls plane's climb rate na altitude.

Screenshot_20240313-231953~2.png

So plane ita-adjust angle yake, thrust na speed Ili ku-maintain the desired altitude.

Hii technology ndo inaitwa “autopilot” na inatumika na pilots around the world.

Ushauri soma soma soma.... Acha kusikiliza hadithi za vijiweni just reason yourself don't allow someone to reason for you!!!

Zaidi epuka kuamini Kila conspiracy, hata Mimi hii flat earth conspiracy nimeifatilia lakn ni wazi Ina hoja za kitoto sana ambazo zimeshajibiwa na sayansi, lakn flat earth Haina hoja yake inayojitegemea Ili ki support hoja zake.

Zingatia:
1. To roll the plane to the right or left, the ailerons are raised on one wing and lowered on the other. The wing with the lowered aileron rises while the wing with the raised aileron drops.

2. Pitch makes a plane descend or climb. The pilot adjusts the elevators on the tail to make a plane descend or climb. Lowering the elevators caused the airplane's nose to drop, sending the plane into a down. Raising the elevators causes the airplane to climb.

3. Yaw is the turning of a plane. When the rudder is turned to one side, the airplane moves left or right. The airplane's nose is pointed in the same direction as the direction of the rudder. The rudder and the ailerons are used together to make a turn

TUMIA AKILI............
 
hateeb10

Unatakiwa ujue mechanism ya aerodynamics. Always flights zinakuwa na four forces, ambazo ni THRUST, WEIGHT, DRAG na LIFT.

forces.jpg

1. Weight
Weight ni force ambayo always ipo directed toward the center of the earth. magnitude ya weight Ina depend na mass ya parts zote za airplane, plus amount ya fuel, pamoja na vitu vingine (people, baggage, etc.).

So hii weight inakuwa distributed throughout the airplane. Lakini tunaweza kusema kuwa hii weight yote imekuwa collected na ina-act through a single point inayoitwa the center of gravity. Kwenye flight, airplane hu-rotate about the center of gravity.

2. Lift
Ili ku-overcome weight force, airplanes ina-generate an opposing force inayoitwa lift. Lift inakuwa generated by the motion of the airplane through the air and is an aerodynamic force. “Aero” maana yakeni air, na “dynamic” inamaana ya motion.

Lift is directed perpendicular to the flight direction. The magnitude of the lift depends on several factors including the shape, size, and velocity of the aircraft. As with weight, each part of the aircraft contributes to the aircraft lift force.

3.Drag
As the airplane moves through the air, another aerodynamic force present. The air resists the motion of the aircraft and the resistance force is called drag. Drag is directed along and opposed to the flight direction.

4. Thrust
Ili kuweza ku overcome drag, airplanes zinatumia propulsion system ku-generate force iitwayo thrust. direction ya thrust force Ina-depend na how engines zipo attached kwenye aircraft.
 
hateeb10

An altimeter
An altimeter is a device that measures altitude, the distance of a point above sea level.

Na hizi altimeter zipo za aina mbali mbali. Takuelezea mbili hapa na zinavyofanya kazi.

1. Air Pressure/barometric altimeter:
Hizi zina determine altitude Kwa kumeasure air pressure. As altitude increases, air pressure decreases.

2. Radar and laser altimeter:
Hizi altimeters zina send radio au laser signal toward the surface na zina measure time it takes for the signal to bounce back. So time it takes for the signal to bounce back (or echo) to the aircraft is then translated to an elevation.

small.jpg

So we unaposema kuwa zina maintain altitude no sawa na siku zote tunaziona hazifiki nje ya atmosphere yetu.

Usiponielewa na hapa. Duuh!!!!! Basi Tenaa!!
 
Hahhh dah nimesoma posts zako zote umejitahidi kuelezea na umepambana haswa,..l 🙌🏼

Kimsingi unapaswa kutumia your own reasoning na sio kukariri...au Kucopy ideas za wengine,.since they're not absolute truth 💯... nyingine ni assumptions na nadharia tu. anthony_art
 
Soma hapa usipoelewa tena basi Sasa Baki na Imani yako ambayo huwezi kuielezea kivyovyote zaidi ya kutaka ww uelezewe na ukielezewa unakaza fuvu.

an airplane stays within the Earth's atmosphere and doesn't go into space when moving horizontally due to the combined effects of gravity, atmospheric pressure, and the propulsion system of the aircraft. These factors enable the airplane to maintain flight and remain within the Earth's gravitational field.

1. Gravity: Gravity is a force that attracts objects towards the center of the Earth. It is responsible for keeping the airplane, along with everything else on Earth's surface, grounded. The force of gravity acts vertically downward, pulling objects toward the Earth's center. As long as the airplane is within the Earth's gravitational field, it experiences this downward force.

2. Atmospheric Pressure: The Earth's atmosphere extends several kilometers above its surface. It is composed of a mixture of gases, primarily nitrogen and oxygen. The atmosphere exerts pressure on the Earth's surface, including the airplane. This atmospheric pressure pushes against the underside of the airplane's wings, generating lift, which is necessary for flight. The wings are designed in such a way that the airflow over them creates a pressure difference, with lower pressure on the top surface and higher pressure on the bottom surface. This pressure difference generates lift, allowing the airplane to remain airborne.

3. Propulsion: Airplanes are equipped with engines that generate thrust. This thrust is produced by burning fuel and expelling the exhaust gases at high speeds. The reaction force created by the expulsion of these gases propels the airplane forward. The forward motion generated by the engines, coupled with the lift created by the wings, enables the airplane to maintain flight and move horizontally within the Earth's atmosphere.

,
Kwahiyo umekubali kwamba Ndege zinasafiri horizontally over the earth's surface kuelekea upande wowote wa Dunia.

Tuanzie hapo tumalize utata.
 
hateeb10

An altimeter
An altimeter is a device that measures altitude, the distance of a point above sea level.

Na hizi altimeter zipo za aina mbali mbali. Takuelezea mbili hapa na zinavyofanya kazi.

1. Air Pressure/barometric altimeter:
Hizi zina determine altitude Kwa kumeasure air pressure. As altitude increases, air pressure decreases.

2. Radar and laser altimeter:
Hizi altimeters zina send radio au laser signal toward the surface na zina measure time it takes for the signal to bounce back. So time it takes for the signal to bounce back (or echo) to the aircraft is then translated to an elevation.

View attachment 2933851

So we unaposema kuwa zina maintain altitude ni sawa na siku zote tunaziona hazifiki nje ya atmosphere yetu.

Usiponielewa na hapa. Duuh!!!!! Basi Tenaa!!
Na haya maelezo yako pia yanakiri kwamba Ndege zina maintain horizontal altitude over the earth's surface...... Si ndiyo?

Twende mdogo mdogo tutafika Tu.
 
Sichoki kukufumbua akili yako:

aircraft zinatumia special type of navigation system ambayo Iko based on the curvature of the surface of the earth.

Sasa Ili iweze ku-maintain altitude, planes lazima i-adjust pitch angle na thrust.

Hii unafanya na computers ambazo zina-integrate sensors Ili kuweza ku-measure aircraft’s attitude (roll, pitch, and yaw), airspeed, altitude, and attitude rate into an algorithm ambayo Ina controls plane's climb rate na altitude.

View attachment 2933821

So plane ita-adjust angle yake, thrust na speed Ili ku-maintain the desired altitude.

Hii technology ndo inaitwa “autopilot” na inatumika na pilots around the world.

Ushauri soma soma soma.... Acha kusikiliza hadithi za vijiweni just reason yourself don't allow someone to reason for you!!!

Zaidi epuka kuamini Kila conspiracy, hata Mimi hii flat earth conspiracy nimeifatilia lakn ni wazi Ina hoja za kitoto sana ambazo zimeshajibiwa na sayansi, lakn flat earth Haina hoja yake inayojitegemea Ili ki support hoja zake.

Zingatia:
1. To roll the plane to the right or left, the ailerons are raised on one wing and lowered on the other. The wing with the lowered aileron rises while the wing with the raised aileron drops.

2. Pitch makes a plane descend or climb. The pilot adjusts the elevators on the tail to make a plane descend or climb. Lowering the elevators caused the airplane's nose to drop, sending the plane into a down. Raising the elevators causes the airplane to climb.

3. Yaw is the turning of a plane. When the rudder is turned to one side, the airplane moves left or right. The airplane's nose is pointed in the same direction as the direction of the rudder. The rudder and the ailerons are used together to make a turn

TUMIA AKILI............
Yap nimetumia akili kuuliza swali la Ndege kusafiri horizontally over the earth's surface,...na andiyo maana umekubali mwenyewe kwamba ni kweli zinasafiri horizontally na zina maintain altitude level kuhakikisha accuracy.

Hili swali sio la kijiweni,.ni swali la kimantiki na linaashiria kwamba There's no way Ndege zisafiri horizontally over the earth's surface ikiwa Dunia ni Tufe linalozunguka!!!💯

Fikiria zaidi.
 
Chukua hii

Airplanes maintain the same altitude relative to the Earth's surface by constantly adjusting their altitude to compensate for the curvature of the Earth. This is achieved through a combination of the aircraft's instruments, such as altimeters and autopilot systems, which help the pilots maintain a consistent altitude above the Earth's surface. The curvature of the Earth is taken into account in navigation and flight planning to ensure that aircraft maintain a safe and consistent altitude during flight.

Note:
An altimeter is a device used to measure altitude above a fixed level, usually the Earth's surface. It's commonly used in aircraft to determine altitude above sea level.

View attachment 2933819
Fig: an altimeter

An autopilot system is a device or system that automatically controls the trajectory of a vehicle, such as an aircraft, without constant manual control by a human operator. It helps maintain a steady course, altitude, and speed, often using a combination of sensors, computers, and actuators.

Kama ingekuwa Ina move horizontally sidhan kama ungeiona Ina maintain altitude.

Angalia hata flight routes zilivyo

View attachment 2933807
Fig: flight routes from LA
Hutoona Ndege ikienda Downward kufuata Nchi ambazo zipo upande wa pili wa Dunia Tufe,.. Kwasababu nchi zote zipo juu ya flat surfaced-plane.!!!

I appreciate umejitahidi kwa kila namna lakini naamini hata wewe Inakuwia ngumu kuelewa maelezo ambayo umeweka.
 
Na kwann iwe hiyo tu, nimejibu nyingi ambazo ww umeshindwa na kamwe huwezi, huo haukuwa uthibitisho tosha kwako?

Hata nikakuelezea vipi kama hujafungua ubongo wako sidhan kama utakubali.
Hii hoja moja inatosha kumfungua kila mtu akili humu.....tukikamilisha hoja hii niamini Mimi uzi huu na hoja hii itakua eye-opener Kwa kila Mwana JF atakaepitia as long as uzi utaendelea kuishi 🤝🏽.
 
Hutoona Ndege ikienda Downward kufuata Nchi ambazo zipo upande wa pili wa Dunia Tufe,.. Kwasababu nchi zote zipo juu ya flat surfaced-plane.!!!

I appreciate umejitahidi kwa kila namna lakini naamini hata wewe Inakuwia ngumu kuelewa maelezo ambayo umeweka.
Ndo maana nilisema hata nikikueleza vp Bado utakataa tu😀

we hapo hujaelewa nn? Ndege inamaintain level yake Ili isitoke nje ya atmosphere Kwa kutumia altimeter, wewe unataka ndege Ifanye hivo Kwa kufata curve huku ikitanguliza kichwa chako chini??😀😀

Hata ndege ikiwa inatua uwanjan huwa haitangulizi uso. Na ndo maana nikakupa hii demo..

forces.jpg

Sasa we kaza fuvu Sina Cha zaidi kukuelewesha zaidi..
 
Attachments

  • forces.jpg
    forces.jpg
    62.7 KB · Views: 1
Hutoona Ndege ikienda Downward kufuata Nchi ambazo zipo upande wa pili wa Dunia Tufe,.. Kwasababu nchi zote zipo juu ya flat surfaced-plane.!!!

I appreciate umejitahidi kwa kila namna lakini naamini hata wewe Inakuwia ngumu kuelewa maelezo ambayo umeweka.

Nakuelezea vitu ila unajitia upofu tu. Hii hukuziona?

An autopilot system is a device or system that automatically controls the trajectory of a vehicle, such as an aircraft, without constant manual control by a human operator. It helps maintain a steady course, altitude, and speed, often using a combination of sensors, computers, and actuators.
 
Yap nimetumia akili kuuliza swali la Ndege kusafiri horizontally over the earth's surface,...na andiyo maana umekubali mwenyewe kwamba ni kweli zinasafiri horizontally na zina maintain altitude level kuhakikisha accuracy.

Hili swali sio la kijiweni,.ni swali la kimantiki na linaashiria kwamba There's no way Ndege zisafiri horizontally over the earth's surface ikiwa Dunia ni Tufe linalozunguka!!!💯

Fikiria zaidi.

Me sijamaanisha zinasafiri horizontally bila kufuata curve, Bali zina maintain altitude yake. Kama zingekuwa zinasafiri horizontally bila kufanya adjustment basi zingetoka nje ya atmosphere yetu.

Shida yako unataka ndege uione imetanguliza kichwa chake chini kufuata curve kitu ambacho ndege haipo hivyo. Na nimeshakuelezea airplane aerodynamics lakn we huelewi.
 
Kwahiyo umekubali kwamba Ndege zinasafiri horizontally over the earth's surface kuelekea upande wowote wa Dunia.

Tuanzie hapo tumalize utata.
Horizontally Gani unaongelea ww? Nimekwambia zina maintain altitude kwahy automatically zinafata curvature ya dunia. Sijui huwa unaangalia ndege inavyopita mpka Inapotea kweli?
 
Hahhh dah nimesoma posts zako zote umejitahidi kuelezea na umepambana haswa,..l 🙌🏼

Kimsingi unapaswa kutumia your own reasoning na sio kukariri...au Kucopy ideas za wengine,.since they're not absolute truth 💯... nyingine ni assumptions na nadharia tu. anthony_art

Wewe unaumwa😀😀!! Sema wapi ni nadharia?
 
Back
Top Bottom