The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Kipi nimekuzushia kiseme? Maana ushahidi upo humu humu.Hahh vitu vingi Tu hapo umezusha... unadhani kwanini Mimi sikuzushii kitu?
Ni Kwasababu naamini kwenye ukweli....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipi nimekuzushia kiseme? Maana ushahidi upo humu humu.Hahh vitu vingi Tu hapo umezusha... unadhani kwanini Mimi sikuzushii kitu?
Ni Kwasababu naamini kwenye ukweli....
Wewe ndo huelewi,Hivi umeyaelewa hayo maelezo yako hapo juu?
Kwamba :-
1. Equator ina receive the same amount of sun,.. Kwasababu haiwi exposed kwenye Jua.
2. But it only receive direct sun.
Ulipanga uandike hivyo? Au ni error? Kama haiwi exposed kwenye inapokeaje Sun direct sasa?
Change of seasons haitakiwi kutumiwa kama uthibitisho wa Dunia Tufe linalozunguka,... Kwasababu kuna seasons milele na milele hazipatikani kwenye baadhi ya kanda...Sasa hapo hukuelewa nn? Si nimekupa sababu? Seasons of the year nimezielezea kupitia Dunia kuwa Duara na inazunguka Jua. Hujaelewa nn?
Air resistance pia ulichemsha,Hivi ni kwamba umesahau au?
Nilisema vitu vina fall down kutokana na combinations of factors,..nikataja.
a.Air resistance
b. Density ( ambapo hapa unahusisha uzito wa kitu,..& that's why vitu viwili venye uzito tofauti vikirushwa juu Kwa wakati mmoja...kile chenye uzito mkubwa Kita drop haraka zaidi na vice versa.
Kwa mfano,.unasema Air resistance imenishinda..Kipi nimekuzushia kiseme? Maana ushahidi upo humu humu.
Nimekuuliza kwenye maelezo hukuelewa nn? Maana nakupa majibu ww umengangana tuChange of seasons haitakiwi kutumiwa kama uthibitisho wa Dunia Tufe linalozunguka,... Kwasababu kuna seasons milele na milele hazipatikani kwenye baadhi ya kanda...
Ingekua seasons zinabadilika Dunia nzima atleast ingeingia akilini kuhusisha change of seasons na kuzunguka Kwa Dunia.
Kwa kuhitimisha,.. kwenye dunia inayozunguka constantly hukutakiwi kuwa na sehemu yoyote inayo experience Jua ndani ya kipindi cha saa24.
Ndio ilikushinda, kama haikukushinda jibu hili swali kuwa brake za gari zinaweza kufanya gari irudi nyuma?Kwa mfano,.unasema Air resistance imenishinda..
Si uongo huo.
Unauhakika?Kwa kuhitimisha,.. kwenye dunia inayozunguka constantly hukutakiwi kuwa na sehemu yoyote inayo experience Jua ndani ya kipindi cha saa24.
Wewe ndiyo unachemsha kama hujui,..Air resistance ni tofauti kabisa na breki za Gari...Air resistance ipo capable kusukuma objects vizuri tu...Air resistance pia ulichemsha,
Unasema mpira ukiwa unafall ni sababu unasukumwa na air resistance,
😁😁 Yaan opposing force, nilikupa mfano wa brake za gari au friction force je zinaweza kufanya kitu au gari imove nyuma?
Sio sawa kufananisha Air resistance na breki za Gari.Ndio ilikushinda, kama haikukushinda jibu hili swali kuwa brake za gari zinaweza kufanya gari irudi nyuma?
Hiyo ni air movement, air resistance inaresist motion ya object in opposite direction,Wewe ndiyo unachemsha kama hujui,..Air resistance ni tofauti kabisa na breki za Gari...Air resistance ipo capable kusukuma objects vizuri tu...
Sasa unapobisha kwamba Air resistance haina uwezo wa kufanya object imove unachekesha,.... objects zinavyosukumwa na hewa hata Kwa macho tu unaweza Ku observe,.sasa sijui nikusaidie vipi hapa uelewe.
Kwa akili yako ndo unaona irrelevant, hiyo ni friction force na Ina oppose motion ya gari.Sio sawa kufananisha Air resistance na breki za Gari.
Irrelevant comparison.
Ahsante.
Ndiyo uhakika ninao,..na logically hai make sense.Unauhakika?
Embu kwanza ww elezea kwenye Dunia ambayo haizunguki tuone
Jibu kwanza ww kwenye stationary earthNdiyo uhakika ninao,..na logically hai make sense.
Sasa hujui kama hewa constantly inafanya movement kwenye anga?Hiyo ni air movement, air resistance inaresist motion ya object in opposite direction,
Kwanza tukubaliane 24hrs Sun haiwezekani kwenye Tufe linalozunguka....kisha tutaendelea.Jibu kwanza ww kwenye stationary earth
Lakini kwenye equator always ita receive the same amount of sun Kwa sababu haiwi exposed kwenye Jua but it only receive direct sun.
Swali makini kabisa.shida ni kukataa jibu Kwa logic za kibishi tu.Kwahyo kuuliza kwanini mali haymwagiki ww unaona swali la kijinga??
Sawa kwanini maji hayamwagiki kwenye dunia Tufe linalozunguka 👉🏼🌍?Swali makini kabisa.shida ni kukataa jibu Kwa logic za kibishi tu.
Fikiria mtu huyu anadhani gravity imeletwa na binaadam kumbe binaadam ameipa jina tu,ipo Toka kuumbwa Kwa Dunia.
Hata hao wataalam walikuwa na mitizamo kama hiyo kabla hawajatafiti,ni muumba ndiye aliweka mambo kama ambavyo watu wanayaelezea hapa,sio swala la hisia.
We jamaa ni unaubishi wa kishamba sana.😂😂😂Kwamba nchi zilizopo karibu na Equator zina receive direct sun....how zina receive direct sun at the same time milele na milele constantly nchi hizo zina experience day & night?