Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kama Dunia ingekuwa flat ndege zisingekuwa zinatumia altimeter kuadjust altitude, sidhan kama unajua maana ya altitude
Sidhani kama mtafika unapopataka na huyu boss labda umrikodie aione kwenye video hiyo altitude.
 
@hateeb
Ukifungua ubongo wako fuatilia hivi vitu,

1. Great circle route
2. Vacuum chamber

Nilikuonesha Hadi route zilivyo lkn unakaza bichwa.

main-qimg-c3e9510c40046824d42a6888f383a125-lq.jpeg
 
Usiende mbali mkuu,..wewe fikiria mfano unataka uende Nairobi Tu hapo Kwa kutumia Helicopter ,... Na unajua kabisa Dunia inazunguka na Kwa teknolojia iliyopo unajua kabisa ukifanya mark time na Helicopter yako ndani ya saa kadhaa Nairobi itakua imefikia mahali ambapo ulikua unafanya mark time,...utakachotakiwa kufanya ni kutua tu as earth's rotation has freely brought the city of Nairobi to you, Hahh....🙌🏼
Hakikisha unakunywa dawa ya kimasai ya kuharisha na kutapika usije mpa mtu mimba na tope ulizo nazo kichwani nyie ndo mnaleta mazwazwa wa CcM
 
Kwahy unamajibu yako?😀😄 Na umeshindwa kujibu hoja zaidi ya saba😀😀.

Fungua fuvu lako utaelewa. Ndo maana unalazimisha mass iwe force,
Nchi zote zinaishi juu ya uso wa Dunia(over the flat-surface plane),..hata hili unashindwa kuelewa?,.tena unaweza ukatafiti na kuthibitisha mwenyewe......!
 
Kama Dunia ingekuwa flat ndege zisingekuwa zinatumia altimeter kuadjust altitude, sidhan kama unajua maana ya altitude
Kwahiyo akili yako Inakuambia Ndege iki adjust altitude ndiyo itaweza kutua nchi zilizo upande wa pili wa Tufe?

Inaonekana wewe ndiyo hujui altitude ni nini.....

Ndege iki adjust altitude itaongeza tu height yake Kwa mfano with reference to sea level,.sasa hiyo inafanya vipi Ndege kutua upande wa pili wa Tufe linalozunguka?
 
@hateeb
Ukifungua ubongo wako fuatilia hivi vitu,

1. Great circle route
2. Vacuum chamber

Nilikuonesha Hadi route zilivyo lkn unakaza bichwa.

View attachment 2935184
Hizo routes ndiyo haziwezekani kwenye dunia Tufe linalozunguka sasa......& that's why miongoni mwa assumptions muhimu kwenye Piloting ni:-
a. Non-rotating earth
b. Flat earth
 
Naomba Refence nikajifunze mkuu
Refence ndiyo nini mkuu?!

Dah watu wa Dunia Tufe linalozunguka hata kuandika kuna watatiza..... Nadhani ndiyo maana hata kufikiria critically imekua ngumu.
 
weka reference hapa,
It's a huge huge mistake kudhania kwamba ukweli unapatikana kwenye references.

ukweli ni ukweli hata ikiwa haupo documented.

Na uongo ni uongo hata ukiwa documented na kuaminika na kila mtu.
 
It's a huge huge mistake kudhania kwamba ukweli unapatikana kwenye references.

ukweli ni ukweli hata ikiwa haupo documented.

Na uongo ni uongo hata ukiwa documented na kuaminika na kila mtu.
wewe si unafahamu ukweli document watu tujifunze kaka, au na hii nayo hutaki? leo hii tunatumia jamii forums hapa watu wasingekua wanadocument unahisi kina melo wangeweza kuimplement jamiiforums? kwa kutumia language gani? resources zipi, flat earthers mnashida gani nyinyi na kudocument tafiti?
 
It's a huge huge mistake kudhania kwamba ukweli unapatikana kwenye references.

ukweli ni ukweli hata ikiwa haupo documented.

Na uongo ni uongo hata ukiwa documented na kuaminika na kila mtu.
weka reference hapa. kwanza jana elo kapost mambo ya mars hujaleta screenshot yake kwanini?
 
Kuna maswali alikimbia hadi leo alijua naenda kumuingiza mtegoni,

Kiufupi yeye na ukilaza ni damu damu.
Vitu kibao hua anakimbia, mfano wa fasta ni altitude, anthony_art kamuuliza hapo juu na hilo swali hata mimi nishawahi muuliza hajibu
 
Vitu kibao hua anakimbia, mfano wa fasta ni altitude, anthony_art kamuuliza hapo juu na hilo swali hata mimi nishawahi muuliza hajibu
Naona mnaupaka ujinga rangi nzuri hapa....kwamba wewe ushawahi kuniuliza swali la altitude? Lilete hapa la sivyo utakua mzushi..

Then, hilo swali la altitude ni la kitoto sana kisha halithibitishi Dunia Tufe linalozunguka 👉🏼🌍

Kimsingi mpaka sasa hakuna yoyote aliyeweka ushahidi usio na shaka kwamba Dunia ni Tufe, na mambo mengine mengi nikitulia nitaandika hapa.
 
Back
Top Bottom