hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Nimejichanganya vipi? Ninaposema Galaxy namaanisha hilo kundi la Nyota zinazounda shape ya Orion.....au hiyo pia ni ngumu kuelewa.?Orion galaxy ??
Ona sasa unavyojichanganya
1. Ndiyo Nyota zinafanya movement kwenye anga ..,..Nikikwambia ulete majibu ya maswali yangu yale, sidhani kama unaweza kuleta kwasababu ukweli ni kwamba ulikimbia na haukujibu....
Tuachane na haya... Mnasema nyota zinazunguka Dunia
Unaweza kunielezea nyota za Orions/Nyota zote zinavyoizunguka Dunia ?
View attachment 2936955
2. Kama nilivyokujibu awali kwamba elimu juu ya namna Nyota hizo zinavyoogelea kwenye anga,as it stands, bado hatuna.
Nadhani swala la Orion limeisha sasa,..