Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Na sehemu ya chini inaitwaje??

Maama inaonekana jua huenda juu angali kisha huingia chini ili kuibuka tena kesho asubuhi.
Chini ni earth's surface juu ni earth's sky.

NB:- Jua huwa haliendi chini wala juu...ni ujinga(sorry sanašŸ™šŸ¼) kusema Jua linaenda juu na chini, wakati hapo hapo unakubali NASA wanaposema lipo umbali wa 93 Million from earth.....sasa hujiulizi kama object iliyo umbali huo kwenda juu na chini ya Dunia ni impossi-ball??!
 
Wala sio theory yangu ni vile tu huna exposure,...Nenda kasome kitu kinaitwa "Mirage" ukirudi hapa utakua umeelimika.
Mirage ina namna yake kaka,huwezi kurupuka tu umeshiba viazi unaita chochote tu ni mirage.

Mfano hayo maelezo yako pale juu,hayawezi kuwa mirage labda kama umeamua kufupisha mada.
Wala sio theory yangu ni vile tu huna exposure,...Nenda kasome kitu kinaitwa "Mirage" ukirudi hapa utakua umeelimika.
 
Chini ni earth's surface juu ni earth's sky.
Ahaaaa.
NB:- Jua huwa haliendi chini wala juu...ni ujinga(sorry sanašŸ™šŸ¼) kusema Jua linaenda juu na chini, wakati hapo hapo unakubali NASA wanaposema lipo umbali wa 93 Million from earth.....sasa hujiulizi kama object iliyo umbali huo kwenda juu na chini ya Dunia ni impossi-ball??!
Ndio maana nikakuomba animation ya kunielewesha movement ya jua kuizunguka dunia,umegoma.

Haya yote wa kulaumiwa ni wewe,maana unaelezea kitu bila mifano,huu sio ualimu mzuri.
 
mkorinto .....mkuu hayo maneno hapo juu šŸ‘†šŸ¼ alisema Nani?

Umesahau kwamba tulikubaliana hivyo?
Ndio usome kwa umakini uone kama kuna neno "hakuna taasidi wala mtu anayesema hajui nyota zinajongeaje"

Huo ni msimamo wako na makubaliano na akili zako.
 
Chini ni earth's surface juu ni earth's sky.

NB:- Jua huwa haliendi chini wala juu...ni ujinga(sorry sanašŸ™šŸ¼) kusema Jua linaenda juu na chini, wakati hapo hapo unakubali NASA wanaposema lipo umbali wa 93 Million from earth.....sasa hujiulizi kama object iliyo umbali huo kwenda juu na chini ya Dunia ni impossi-ball??!
Sasa mbona unasema NASA wamesema 93Milliom from Earth halafu kwenye kujiuliza unasema kwenda juu? Kwani NASA walisema ni 93Mill from Earth North?
 
Ok. Hili rufu ni flat kama dunia?
Anga hatuwezi kusema specifically ina umbo gani since yenyewe as we know ipo intangible. We cannot hold or touch the sky in a solid way.
 
Sasa mbona unasema NASA wamesema 93Milliom from Earth halafu kwenye kujiuliza unasema kwenda juu? Kwani NASA walisema ni 93Mill from Earth North?
Labda nikuulize wewe NASA waliposema Jua lipo umbali wa Miles 93 Million,...walimaanisha from East, North,. South au West?

NB:- Niliyemuuliza ndiyo alisema Jua linaenda juu na chini,. ndiyo nikasema hiyo haiwezekani Kwa Jua lililopo umbali wa 93 million miles kutoka Duniani.
 
Sasa Mimi na wewe nani mpumbavu hapo?

Anaekiri kwamba elimu hiyo haipo anakuaje mpumbavu, wakati elimu hiyo ni kweli kabisa haipo?

Sasa nani asiejua kama Nyota zipo mbali,..au unamaanisha nini hapa?
Huwa mnasema nyota, Jua vipo karibu tu na ni ndani ya Dunia... kweli au si kweli ?
 
Kuruhusu wengine wafikirie on your behalf ndiyo imepelekea uione Dunia ni ndogo......kumbe ungeruhusu akili yako ifikirie on it's own ungejua kama Dunia ni kubwa kiasi ambacho hata Jua ni sehemu ya Dunia,...yaani Jua, Mwezi na Nyota nyingine ni lighting objects ambazo zipo ndani ya Anga la Dunia!

But,.Hii ni mpaka ufikirie kwa kutumia akili yako..
Hamtumii ufikiri,

Mnatumia hisia na Imani....Mfano Jua nyota na mwezi mmefikiri kivipi ??

Mmetumia macho kwakua mnaona ni vidogo kwa muonekano basi mkapata majibu kuwa Dunia ndio kubwa kuliko hivyo...

Tunaoshughulisha akili ni sisi ambao pamoja na mionekano wa hayo magimba huko juu kuwa midogo, haijatosha kutufanya tuamini kuwa ni size ndogo..

Nyinyi ni wavivu wa kushughulisha akili zeu mkuu, Hamtoki nje ya box ndio maana mnaamini hayo magimba yote yana size ndogo tu kama yanavyoonekana.
 
Anga hatuwezi kusema specifically ina umbo gani since yenyewe as we know ipo intangible. We cannot hold or touch the sky in a solid way.
Kwa hiyo hujui shape ya Anga? Okey, Anga ni sehemu ya dunia? Au dunia ni sehemu ya anga? Wakati unajibu usisahau kuwa umeshaniambia ni roof na hujui shape yake.
 
Labda nikuulize wewe NASA waliposema Jua lipo umbali wa Miles 93 Million,...walimaanisha from East, North,. South au West?

NB:- Niliyemuuliza ndiyo alisema Jua linaenda juu na chini,. ndiyo nikasema hiyo haiwezekani Kwa Jua lililopo umbali wa 93 million miles kutoka Duniani.
Kwenye space hakuna juu na chini. Kuna direction towards an object. Mfano, ukienda 93Mill Miles towards Sun utalifikia.
 
Kwa hiyo hujui shape ya Anga? Okey, Anga ni sehemu ya dunia? Au dunia ni sehemu ya anga? Wakati unajibu usisahau kuwa umeshaniambia ni roof na hujui shape yake.
Yes,Mimi sifahamu....wewe unavyofahamu anga ina shape gani?... Wakati unajibu kumbuka sio tangible object.

Anga ni sehemu ya Dunia...
 
Kwenye space hakuna juu na chini. Kuna direction towards an object. Mfano, ukienda 93Mill Miles towards Sun utalifikia.
Kwa mfano kuanzia saa 2:30 usiku nikiwa Tanzania,...ili niende towards sun natakiwa nielekee direction ipi?

Na, Je unajua kwamba Always Jua lipo above the earth's surface, and not otherwise? Yaani kimsingi Jua lipo juu ya uso wa Dunia.
 
Yes,Mimi sifahamu....wewe unavyofahamu anga ina shape gani?... Wakati unajibu kumbuka sio tangible object.

Anga ni sehemu ya Dunia...
Mm ndo sijui sasa nataka kuelewa logic yako hivyo nakuuliza.

Ok, Dunia ni flat, Anga ni sehemu ya dunia, hujui shape ya anga, sahihi?
 
Ndiyo Dunia ni flat,...anga haina shape as it's intangible object,. Au hujui maana ya intangible ndugu yangu?

Kitu ambacho hakiwezi kushikika utasema kina shape gani?
 
Kwa mfano kuanzia saa 2:30 usiku nikiwa Tanzania,...ili niende towards sun natakiwa nielekee direction ipi?
Direction ya Jua lilipo, the fact kwamba hulioni inamaana halipo? Ukitumia hesabu za flat earth theory, unalifikiaje jua iwapo una vifaa vya kulifikia? Unasubiri mchana ukiwa unaliona?
Na, Je unajua kwamba Always Jua lipo above the earth's surface, and not otherwise? Yaani kimsingi Jua lipo juu ya uso wa Dunia.
Jua ni sehemu ya anga au anga ni sehemu ya jua? Usisahau kwa anga kwako ni sehemu ya dunia na si dunia sehemu ya anga.
 
Presumably according to your hypothesis the Sun must absolutely set and rise right? And if it sets there will be darkness everywhere on earth (meaning all continents will go dark) and vice versa is true for the day light right?

Please enlighten me on this phenomenon called THE MIDNIGHT SUN (sun doesn’t set) based on your hypothesis..

And wait.. Earth is the center of Universe? Are you a scientist?
 
Back
Top Bottom