Unaiona kwasababu Dunia ipo flat.,..ingekua haipo flat na kwamba kuna curvature,. Basi hata ungepanda kwenye floor ya mwisho ya Jengo la Bandari there's no way ungeweza kuiona Zanzibar.
Kinachofanya ushindwe kuiona Zanzibar ukiwa chini ni kutokana na obstacles & limited vision ya macho au camera inapokutana na hewa+maji(bahari), ukishaenda floor ya juu kabisa maana yake ume escape effect ya maji kwenye uoni wako so you can see far zaidi kutegemea na uwezo wa camera....Mionzi ya mwanga inaweza kugongana na chembe ndogo za maji na molekuli za hewa, ikisababisha kuvunjika na kufyonzwa kwa sehemu ya mwanga. Hiyo inasababisha uoni wetu kupungua, haswa kwa distance kama Tz hadi Zanzibar.