Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Logo ya UN isikuchanganyeNatamani sana kuandika kuhusu hii thread lakini sitoweza. Kuna siri kubwa sana kuhusu ukweli wa hii dunia na siri yote ipo kwenye logo ya UN. Kwa mtu ambaye anataka kujua ukweli wa hii dunia tafuta kitabu cha “Eric Dubay” kwa kupata elimu mpya.
Wee jamaa kichwani ni box.Ndiyo Jua haliwezi kumulika Dunia nzima at once,...au na hili pia unataka ubishe?
Eti baada ya kwenda kuangalia sehemu daah we Jamaa bhana....kwamba nimereplace Dunia Kwa kuweka Jua? So wewe unaamini Jua lipo stationary? Dunia ndiyo ipo stationary kama unavyoiona.
(i) Lini umeiona Dunia iki move?
(ii) Lini ulihisi Dunia ina move?
(iii) Lini umepima ukagundua Dunia ina move?
(iv) Ulitumia kipimo gani?
Utakuta hakuna hata kimoja Kati ya hivyo hapo juu umefanya,..Then unashangaa watu kuhoji?
Wewe unaesema upo competent kwenye science ukiombwa ulete ushahidi wa kwamba Dunia inazunguka utaweza? au umeamua tu kuamini blindly? ....sio kama watu wanataka tu Ku challenge bali kila kitu kinachokua challenged kinapaswa kuwa challenged kutokana na ukweli kwamba still hakuna ushahidi ambao utazuia moja kwa moja watu kuhoji kitu au nadharia hiyo.
NB:- Mimi nipo open minded,..ukitaka uthibitishe hili lete ushahidi wa dunia tufe linalozunguka then nitabadili mtazamo wangu,... ukileta maneno utaonyesha wazi kwamba huna uthibitisho kitu ambacho kitafanya usistahili kuaminika 🤝🏼
Tuliza mapepe Kwanza ili ulete argument yako vizuri....Wee jamaa kichwani ni box.
Hivi unaweza kuchukua object kubwa mfano wa tufe let say lenye diameter ya 2m then umuweke sisimizi juu ya tufe, unadhani hilo tufe hata ukilizungusha huyo sisimizi atahisi kama tufe linazunguka?
Una prove mzunguuko/Movement kwa kuangalia object za nje.....Jua asubui linatoka mashariki na kuelekea Magharibi hii ni sawa na gari ikitembea mti utatoka mbele na kurudi nyuma hii inahitimisha DUNIA INA MOVE.Tuliza mapepe Kwanza ili ulete argument yako vizuri....
Kwahiyo kama sisimizi hawezi kuhisi kama Tufe linazunguka ndiyo ajitungie na kufanya assumption kwamba Tufe linazunguka bila kufanya kipimo chochote?
Yaani logically ni kwamba,..Kwa kuwa Sisimizi hawezi kuhisi mwendo wa Tufe, basi anapaswa atuambie ni mbinu gani ametumia apart from kuhisi(ambako hakuwezekani kutokana na udogo wake) mpaka akaja kuwaambia Sisimizi wengine kwamba hii Dunia inazunguka...
NB:- Sasa ukirudi hapa bila ya kutupa kipimo kilichotumika ili kujua kama Dunia inazunguka,...basi uta prove kwamba wewe ni kichwa box instead.
Kwahiyo dhana ya Dunia tufe ilitungwa tu ?Tuliza mapepe Kwanza ili ulete argument yako vizuri....
Kwahiyo kama sisimizi hawezi kuhisi kama Tufe linazunguka ndiyo ajitungie na kufanya assumption kwamba Tufe linazunguka bila kufanya kipimo chochote?
Yaani logically ni kwamba,..Kwa kuwa Sisimizi hawezi kuhisi mwendo wa Tufe, basi anapaswa atuambie ni mbinu gani ametumia apart from kuhisi(ambako hakuwezekani kutokana na udogo wake) mpaka akaja kuwaambia Sisimizi wengine kwamba hii Dunia inazunguka...
NB:- Sasa ukirudi hapa bila ya kutupa kipimo kilichotumika ili kujua kama Dunia inazunguka,...basi uta prove kwamba wewe ni kichwa box instead.
Utafiti wa kwanza nimegundua dunia ni gimba tuli ambalo limetulia sehemu moja. Linatingishika pale tu vitu vizito vikitembea juu yake na pindi ambapo miamba ya ndani ya dunia inapopata udhaifu fulani na kujongea kutoka nukta moja hadi nyingine kisha hutulia.Tuliambiwa
Tuliambiwa
Tuliambiwa
Ndio maana huwezi kuelewa kwasababu ya kuambiwa ambiwa, Usipende kuambiwa,
Jifunze, Elewa, jiulize maswali&Uliza maswali, Fanya tafiti mwenyewe zinazowezekana.
Sasa kati ya gari na miti kwenye mfano wako kipi ni dunia na kipi ni jua?🤣🤣🤣Una prove mzunguuko/Movement kwa kuangalia object za nje.....Jua asubui linatoka mashariki na kuelekea Magharibi hii ni sawa na gari ikitembea mti utatoka mbele na kurudi nyuma hii inahitimisha DUNIA INA MOVE.
Hahahal
Utafiti wa kwanza nimegundua dunia ni gimba tuli ambalo limetulia sehemu moja. Linatingishika pale tu vitu vizito vikitembea juu yake na pindi ambapo miamba ya ndani ya dunia inapopata udhaifu fulani na kujongea kutoka nukta moja hadi nyingine kisha hutulia.
Uthibitisho: Utulivu tulionao unatudhihirishia wazi kwamba dunia ni gimba lililotulia.
Pia, hatujawahi kukanyaga mwezini, hakuna binadamu mwenye uhai aliyewahi kukanyaga mwezini.
Sawa,.. kwahiyo Jua kutoka Mashariki kwenda Magharibi ndiyo proof ya kwamba Dunia inazunguka?Una prove mzunguuko/Movement kwa kuangalia object za nje.....Jua asubui linatoka mashariki na kuelekea Magharibi hii ni sawa na gari ikitembea mti utatoka mbele na kurudi nyuma hii inahitimisha DUNIA INA MOVE.
Tatizo upo negative sana., hiyo kwamba ilitungwa sio lengo la hoja yangu.... ninachotaka Mimi ni kujua criteria au kipimo gani kimetumika ili kujua kama Dunia inazunguka,....? Au ni vibaya kuuliza hivyo?Kwahiyo dhana ya Dunia tufe ilitungwa tu ?
[emoji28] We jamaa miyeyusho sana.
Kajichanganya hapo...Sasa kati ya gari na miti kwenye mfano wako kipi ni dunia na kipi ni jua?🤣🤣🤣
Kwahiyo hoja zako zinazosimama kwenye nadharia hizi ni kukosekana kwa ushahidi wa macho😄😄Tatizo upo negative sana., hiyo kwamba ilitungwa sio lengo la hoja yangu.... ninachotaka Mimi ni kujua criteria au kipimo gani kimetumika ili kujua kama Dunia inazunguka,....? Au ni vibaya kuuliza hivyo?
Kwasababu niwe mkweli kwamba Kwa sasahivi binafsi nikisema kwamba Dunia inazunguka nitakua sina kipimo au ushahidi wowote zaidi ya kusikia kwa watu wengine kwamba Dunia inazunguka....
Wapi ameshindwa kutoa ushahidi? Ushahidi ametoa vizuri tu labda kama kuna sehemu uliruka hukupasoma. Kazi imebaki kwa nyinyi mnaosema dunia ni tufe mtupe ushahidi wenye nguvu.Kwahiyo hoja zako zinazosimama kwenye nadharia hizi ni kukosekana kwa ushahidi wa macho😄😄
Sasa mbona hata tukikwambia kuna muo ekano wa mviringo kwenye maji ya bahari,unaibua dhana zako kichwani za kuchomelea na kubisha!!!
Sisi wote hapa tunaojadili nawewe,tumekupa nafasi ya kutupa ushahidi wa dunia tambarale,lakini sio tu umeshindwa,hujui hata unachokiamini.
Ulete hapa haichukui sent tano wewe kunukuu alipoandika.Wapi ameshindwa kutoa ushahidi? Ushahidi ametoa vizuri tu labda kama kuna sehemu uliruka hukupasoma. Kazi imebaki kwa nyinyi mnaosema dunia ni tufe mtupe ushahidi wenye nguvu.
Kuna sehemu nimesema uweke ushahidi wa macho?Kwahiyo hoja zako zinazosimama kwenye nadharia hizi ni kukosekana kwa ushahidi wa macho😄😄
Sasa mbona hata tukikwambia kuna muo ekano wa mviringo kwenye maji ya bahari,unaibua dhana zako kichwani za kuchomelea na kubisha!!!
Sisi wote hapa tunaojadili nawewe,tumekupa nafasi ya kutupa ushahidi wa dunia tambarale,lakini sio tu umeshindwa,hujui hata unachokiamini.
Every moving object moves horizontally over the Earth's surface. If this is not evidence, then I don't know what you are looking for...Ulete hapa haichukui sent tano wewe kunukuu alipoandika.
Sasa unapohoji ni nani amewahi kutoka nje kushuhudia dunia ikiwa rufe unakuaa umekusudia nini??,watu wanakuletea video za wanajimu unasema ni video za kuchonga.Kuna sehemu nimesema uweke ushahidi wa macho?
Kama ushahidi tunaokupa hauingii akilini hakuna mwingine wowote utakaoingia akilini kwako ndugu.Lete ushahidi wowote ule ili mradi unaingia akilini, basi...
😄😄mimi nikiamka naona anga lenye mawingu limeinama,nikisimama kigamboni zenji siioni naona tuta la maji,sijawahi kuona utambalale wa dunia zaidi tu nikiwa kwenye shamba langu la heka 2.Unaomba ushahidi wa dunia tambarare,...? kila siku ukiamka unaona Flatness ya Dunia sasa sijui unataka ushahidi gani tena.
Hizi ni story tu unaleta,....hoja uliyodakia ilikua inataka uthibitisho au namna ya kujua kama Dunia inazunguka,...Sasa unapohoji ni nani amewahi kutoka nje kushuhudia dunia ikiwa rufe unakuaa umekusudia nini??,watu wanakuletea video za wanajimu unasema ni video za kuchonga.
Kama ushahidi tunaokupa hauingii akilini hakuna mwingine wowote utakaoingia akilini kwako ndugu.
😄😄mimi nikiamka naona anga lenye mawingu limeinama,nikisimama kigamboni zenji siioni naona tuta la maji,sijawahi kuona utambalale wa dunia zaidi tu nikiwa kwenye shamba langu la heka 2.
wewe hakuna kitu unaweza kuelewa.Hizi ni story tu unaleta,....hoja uliyodakia ilikua inataka uthibitisho au namna ya kujua kama Dunia inazunguka,...
Sasa sijui umekuja kujibu nini hapo...
Kwamba Dunia inazunguka?wewe hakuna kitu unaweza kuelewa.
uthibitisho wote umepewa lakini hutaki,labda shida yako ni nyingine sio kujifunza.