Hakuna uthibitisho wa jambo lolote?
Yaani Kwa kuwa huwezi kuthibitisha kuzunguka Kwa Dunia,.unaamua kuhitimisha kwamba kila jambo halina uthibitisho?
Tulia mkuu usome maelezo vyema wacha papara,nimekwambia kila jambo linalodaiwa kufanyika ushahidi wake hutegemea dalili au matokeo(madhara) ya jambo husika.
Nikikwambia nje kuna upepo,halafu unauliza kama nauona,au laah basi hakuna,sababu siuoni,hizo ni bangi.
lakini tutegemee nini kwa mtu kama wewe unayeamini hakuna ushahidi????
Sasa chukulia huo mfano wako kisha linganisha na Dunia,.Je Dunia imekuonyesha vipi kama Inakua point tofauti tofauti? Huoni kama Dunia ipo static na ndiyo maana kila eneo la Dunia Lina hali yake ya hewa ambayo ipo fixed milele na milele? Kitu ambacho ni impossible kwenye ikiwa Dunia ni Tufe linalozunguka 👉🏼🌍?
Hakuna eneo la dunia lenye hali ya hewa fixed,hizi lumba umetoa wapi??mkuu embu tumia hata simu kupekua pekua uongeze ufahamu wako,usiishie kupigia picha tu.
Dunia tambarare inaonekana visionary &logically ina make sense,.hata ukija hapa tukiamua tufanye safari mpaka Uturuki kwa njia yoyote ile ya usafiri utaweza kujua kama dunia ni flat plane.
😁😁😁,futa hii kuna mtu atakuja asome miaka 25 ijayo atahusisha maisha duni ya watanzania wote na akili hizi.
Nikikuuliza kwanini futari kigoma inaliwa saa moja na madkk kwa kufuata mawiwo ya jua,na dsm inaliwa saa 06:00 una maelezo gani ya msingi??
Jua na Mwezi zinafanya movement na hicho ni kitu ambacho unaweza Ku observe through your own eyes, na Eclipses ni uthibitisho tosha kwamba Jua na mwezi zina move!!
Mimi sijakataa kwamba vinamove,ila kila kimoja kinamove na mission yake.
Jua linamove kuzunguka mzunguko wa jumla na sayari zake sio kuizunguka sayari yoyote,dunia inazunguka jua,na mwezi unazunguka dunia.