Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
hateeb10 Ndio hajui hata Dunia ni flat yenye umbo gani, Ila anabishana. [emoji28]

Ukimwambia akuonyeshe hata picha ya Dunia ikiwa flat namna inavyoonekana hawezi.
Inasikitisha sana kama kujua umbo la Dunia ni mpaka uone kwenye picha,na sishangai kwasababu ndiyo umeaminishwa hivyo.........

It's so sad.
 
Vyema.
Dalili kwamba dunia ina move utaiona kwa wewe kukaa nje ya dunia kabisa(relativity,humu ndani utaishia kuona matokeo tu.
Watu wameshatuma vifaa na vikathibitisha hilo.akina elon kila siku wanafanya project hii ngumu kabisa ya kurusha rockets kisha irejee kutua point ile ile,ni zoezi gumu sana sababu ya hii rotation.
Ni Nani huyo amewahi kwenda nje ya Dunia? Unasema vifaa vimethibitisha mbona huleti sasa huo uthibitisho,. unaleta hadithi tu?

In short huna uthibitisho unazunguka zunguka Tu.....
Ndio sababu wenzako tunajaribu kukuelekeza kwamba dunia ni duara sababu kuna,kuna maeneo kutokana na kukaa target flan panakuwa na jotoridi lenye wastani unaofanana,sio constant numbers daily.

Hata sudan ambayo mara nyingi inasoma 39°C huwa inashuka mpaka 36 wakati mwingine.inategemea dunia iko umbali upi kutoka jua lilipo ktk mzunguko wake wa mwaka.
Ndiyo nasemaje kuna nchi zinajulikana kabisa climatic conditions yake ni joto na nchi nyingine ni za baridi mpaka barafu kabisa miaka na miaka....Huu ni uthibitisho tosha kwamba Dunia ipo fixed haizunguki kama ulivyoaminishwa maana hiyo idea ya Dunia kuzunguka sio akili yako ni umeambiwa Tu.
Kila mtu na nani😆😆,sema wewe ndiye huoni,na sababu huoni haina maana mzunguko haupo,umeulizwa mdudu mdogo kama sisimizi akikaa juu ya baloon,anaweza kuhisi jambo gani baloon ikizungushwa kwa speed flani???

Unarudi pale pale,....nishasema kama Sisimizi hawezi kuhisi mwendo wa Dunia basi asije Tu hapa na kutuambia Dunia ipo kwenye mwendo.., Bali anatakiwa kutupa methodology na measurements alizotumia ili tuthibitishe kama kweli Dunia ipo kwenye mwendo......

Au pia na hiyo ni ngumu kuelewa!?
 
Ni Nani huyo amewahi kwenda nje ya Dunia? Unasema vifaa vimethibitisha mbona huleti sasa huo uthibitisho,. unaleta hadithi tu?
WEwe ndiye unatakiwa kuwa wa kwanza kwenda maana unabishana tu baada ya kushiba,kisha utatuletea uthibitisho tofauti sio madai hewa.
In short huna uthibitisho unazunguka zunguka Tu.....
Mimi nimekupa,wewe ndiye uko unaroli sarakasi tu na madai yako ya flat earth.
Ndiyo nasemaje kuna nchi zinajulikana kabisa climatic conditions yake ni joto na nchi nyingine ni za baridi mpaka barafu kabisa miaka na miaka....Huu ni uthibitisho tosha kwamba Dunia ipo fixed haizunguki kama ulivyoaminishwa maana hiyo idea ya Dunia kuzunguka sio akili yako ni umeambiwa Tu.
Hapana usiwe kiazi mkuu,sababu ya jambo ili ipo,ndio hii ya dunia tufe,tizama picha hapa chini maana una kichwa kizito sana.
images.jpeg-1.jpg

Hiyo mistari njano ndivyo namna miale inafika kwa namna tofauti katika uso wa dunia,huo mstari wa kati ndipo ukanda wa ikweta ulipo,milele joto la eneo hilp litakuwa juu kulinganisha na maeneo mengine ya dunia.
Isipokuwa pale ambapo dunia itakuaa mbali zaidi na jua ktk revolution,joto litakuwa linashuka namba kiasi,lakini bado litakuaa juu zaidi ya sehemu nyingine za dunia.

Ndop sababj kwenye poles mbili juu na chini ya dunia greenland na antactica kuna barafu sana,jua halifiki sawa sawa.
Unarudi pale pale,....nishasema kama Sisimizi hawezi kuhisi mwendo wa Dunia basi asije Tu hapa na kutuambia Dunia ipo kwenye mwendo..,
mkuu embu onea huruma hata ukoo wako basi,hujui unawahujumu kiasi gani kutumia ubini wao kwa akili hizi.
Sisimizi huyu na baloon akupe picha ya kinachoendelea duniani na sisi binaadam.
Bali anatakiwa kutupa methodology na measurements alizotumia ili tuthibitishe kama kweli Dunia ipo kwenye mwendo......
Kama atakupa halafu hutaki,hiyo ni kazi yake ama ya kwako kumthibitishia uongo???
Au pia na hiyo ni ngumu kuelewa!?
 
hateeb10 Ndio hajui hata Dunia ni flat yenye umbo gani, Ila anabishana. [emoji28]

Ukimwambia akuonyeshe hata picha ya Dunia ikiwa flat namna inavyoonekana hawezi.
Huyu mtu ni wa kuhurumiwa.

Uzuri sayansi ya unajibu haina hati miliki angani,wewe amka asubuhi umeshiba tangaza unaruka kwenda mwezini kuchunguza hamna shida,njoo na majibu asubuhi.

Watu wanachoma mahela,na kupoteza muda kufanya tafiti anakuja mtu kastarehe kwenye gogo la kijiweni kwake eti ni uongo😁😁,hata replica ya dunia yao ya flat hakuna,na wanataka kusikilizwa.
 
Sasa unapohoji ni nani amewahi kutoka nje kushuhudia dunia ikiwa rufe unakuaa umekusudia nini??,watu wanakuletea video za wanajimu unasema ni video za kuchonga.

Kama ushahidi tunaokupa hauingii akilini hakuna mwingine wowote utakaoingia akilini kwako ndugu.

😄😄mimi nikiamka naona anga lenye mawingu limeinama,nikisimama kigamboni zenji siioni naona tuta la maji,sijawahi kuona utambalale wa dunia zaidi tu nikiwa kwenye shamba langu la heka 2.
Ukisimama Kigamboni, kutoiona zenji haimaanishi dunia ndiyo tufe, pale ndiyo uwezo wako wa kuona unapoishia, na tuta la maji halimaanishi dunia ni tufe, kwani kutengeneza matuta shambani ndiyo kunafanya shamba tambarare liwe tufe? No.
 
Dunia ni tufe, Nimeshakutumia picha ambayo ni screenshot kutoka kwenye clip ya kurushwa kwa Starship.

Au wewe uliona tambarare pale ?

Mimi nlijua umeshaelewa na umekubali Dunia ni tufe,
Nlidhani point ambayo bado haujaelewa kwa sasa ni kuhusu Dunia kujizungusha

Kumbe bado unaiona Dunia kuwa tambarare( ndio kuwa open minded huko ? tumekuelekeza sana, Hadi na ushahidi wa wazi kabisa )

Kazi kweli kweli! [emoji28]
Una uhakika gani kwamba picha ulizowekewa gugo ni picha halisi na sio za kutengenezwa kwenye Software maalumu? Ko wewe ukiletewa vidio tu inayoonesha binadamu yuko mwezini basi unakubali kwamba binadamu amewahi kukanyaga mwezini, hizo picha ulizichunguza vizuri? Una utaalamu wa mambo ya picha?
 
Inasikitisha sana kama kujua umbo la Dunia ni mpaka uone kwenye picha,na sishangai kwasababu ndiyo umeaminishwa hivyo.........

It's so sad.
Umewahi kuiona Dunia tambarare ?

Au kuiona wilaya unayoishi ndio imekuaminisha kuwa hili gimba kubwa namna hii ni tambarare ?
 
Una uhakika gani kwamba picha ulizowekewa gugo ni picha hakisi na sio za kutengenezwa kwenye Software maalumu? Ko wewe ukiletewa vidio tu inayoonesha binadamu yuko mwezini basi unakubali kwamba binadamu amewahi kukanyaga mwezini, hizo picha ulizichunguza vizuri? Una utaalamu wa mambo ya picha?
Ficha ujinga wako, Starship imerushwa ikiwa live ni tukio la mwezi huu wa tatu.
 
Vyema.
Dalili kwamba dunia ina move utaiona kwa wewe kukaa nje ya dunia kabisa(relativity,humu ndani utaishia kuona matokeo tu.
Watu wameshatuma vifaa na vikathibitisha hilo.akina elon kila siku wanafanya project hii ngumu kabisa ya kurusha rockets kisha irejee kutua point ile ile,ni zoezi gumu sana sababu ya hii rotation.

matokeo ni majira ya mwaka,usiku na mchana na vipindi mbali mbali vya hali ya hewa.

si kufugia nywele mkuu,ndio maana huwezi kuta nabishana vitu vya ajabu kama wewe.

Ndio sababu wenzako tunajaribu kukuelekeza kwamba dunia ni duara sababu kuna,kuna maeneo kutokana na kukaa target flan panakuwa na jotoridi lenye wastani unaofanana,sio constant numbers daily.

Hata sudan ambayo mara nyingi inasoma 39°C huwa inashuka mpaka 36 wakati mwingine.inategemea dunia iko umbali upi kutoka jua lilipo ktk mzunguko wake wa mwaka.

nipo hapa.

Kila mtu na nani😆😆,sema wewe ndiye huoni,na sababu huoni haina maana mzunguko haupo,umeulizwa mdudu mdogo kama sisimizi akikaa juu ya baloon,anaweza kuhisi jambo gani baloon ikizungushwa kwa speed flani???
Ko wewe ukiwa ndani ya gari huwa hulisikia linavyotembea huwa unashtukia tu uko Chalinze?🤣🤣🤣 Ko kujua kwamba garo lina move ni mpaka mtu aliyeko nje ya gari ndiyo athibitishe, sio?🤣🤣🤣
 
WEwe ndiye unatakiwa kuwa wa kwanza kwenda maana unabishana tu baada ya kushiba,kisha utatuletea uthibitisho tofauti sio madai hewa.

Mimi nimekupa,wewe ndiye uko unaroli sarakasi tu na madai yako ya flat earth.

Hapana usiwe kiazi mkuu,sababu ya jambo ili ipo,ndio hii ya dunia tufe,tizama picha hapa chini maana una kichwa kizito sana.
View attachment 2948502

Hiyo mistari njano ndivyo namna miale inafika kwa namna tofauti katika uso wa dunia,huo mstari wa kati ndipo ukanda wa ikweta ulipo,milele joto la eneo hilp litakuwa juu kulinganisha na maeneo mengine ya dunia.
Isipokuwa pale ambapo dunia itakuaa mbali zaidi na jua ktk revolution,joto litakuwa linashuka namba kiasi,lakini bado litakuaa juu zaidi ya sehemu nyingine za dunia.

Ndop sababj kwenye poles mbili juu na chini ya dunia greenland na antactica kuna barafu sana,jua halifiki sawa sawa.

mkuu embu onea huruma hata ukoo wako basi,hujui unawahujumu kiasi gani kutumia ubini wao kwa akili hizi.
Sisimizi huyu na baloon akupe picha ya kinachoendelea duniani na sisi binaadam.

Kama atakupa halafu hutaki,hiyo ni kazi yake ama ya kwako kumthibitishia uongo???
Hiyo picha uliyoweka dunia tufe umeitoa wapi? Nani kakuambia kwamba dunia ndiyo iko hivyo? Una uhakika gani? Yani nataka unithibitishie kwamba dunia ni tufe halafu unanipa maelezo ya hali ya hewa yenye umbo la tufe tena? Uko serious kweli wewe? 😂😂😂😂 Nipe maelezo bila picha ya kuchorwa ndiyo mimi nifanye Conclusion kwamba ahaa hapa kwa ushahidi huu basi dunia ni tufe, sio unichoree tufe afu uanze kunielezea miale ya mwanga inavyotua kwenye uso wa dunia sasa, aa, that is not allowed!
 
Huyu mtu ni wa kuhurumiwa.

Uzuri sayansi ya unajibu haina hati miliki angani,wewe amka asubuhi umeshiba tangaza unaruka kwenda mwezini kuchunguza hamna shida,njoo na majibu asubuhi.

Watu wanachoma mahela,na kupoteza muda kufanya tafiti anakuja mtu kastarehe kwenye gogo la kijiweni kwake eti ni uongo😁😁,hata replica ya dunia yao ya flat hakuna,na wanataka kusikilizwa.
Kuna watu kudanganya dunia nzima ndiyo fahari yao, kudanganya %90 ya wanadamu na wakafuata uongo wako sio kitu kidogo 😂😂😂 Ko kuchoma kwao mahela kusikufanye ukubali kila unachoambiwa hata kama hakikuingii akilini.
 
Mkuu umetoa somo zuri, ila kwenye INTRO umenichanganya! Umewaponda wazungu na elimu waliyotuletea na wanavyoendelea kutudanganya na kutuficha mambo, wakati huo huo unatuelimisha kwa kutumia lugha, vyombo na elimu hiyo hiyo ya hao jamaa..!!
Utata
 
Kuna watu kudanganya dunia nzima ndiyo fahari yao, kudanganya %90 ya wanadamu na wakafuata uongo wako sio kitu kidogo 😂😂😂 Ko kuchoma kwao mahela kusikufanye ukubali kila unachoambiwa hata kama hakikuingii akilini.
Hivi mnadhani madai yenu ni mepesi namna hiyo??
 
Hiyo picha uliyoweka dunia tufe umeitoa wapi? Nani kakuambia kwamba dunia ndiyo iko hivyo? Una uhakika gani? Yani nataka unithibitishie kwamba dunia ni tufe halafu unanipa maelezo ya hali ya hewa yenye umbo la tufe tena? Uko serious kweli wewe? 😂😂😂😂 Nipe maelezo bila picha ya kuchorwa ndiyo mimi nifanye Conclusion kwamba ahaa hapa kwa ushahidi huu basi dunia ni tufe, sio unichoree tufe afu uanze kunielezea miale ya mwanga inavyotua kwenye uso wa dunia sasa, aa, that is not allowed!
Wewe umeambiwa na nani kwamba dunia ni tambarale??kama issue ni kuambiwa?una uhakika gani kama ni hivyo??umepima kwa kutumia nini??

Una picha ya dunia flat hata ya kuchonga kama hii??
 
Ko wewe ukiwa ndani ya gari huwa hulisikia linavyotembea huwa unashtukia tu uko Chalinze?🤣🤣🤣 Ko kujua kwamba garo lina move ni mpaka mtu aliyeko nje ya gari ndiyo athibitishe, sio?🤣🤣🤣
Kwahiyo akili zako zinakwambia ratio yako na gari ni sawa na ile ha sisimizi na baloon🤣🤣🤣???

Hata chawa akiwa kichwani kwako hawezi kujua kama unatembea sababu ratio yenu na ukubwa na uzito imepishana mbali sana.
 
Ukisimama Kigamboni, kutoiona zenji haimaanishi dunia ndiyo tufe, pale ndiyo uwezo wako wa kuona unapoishia, na tuta la maji halimaanishi dunia ni tufe, kwani kutengeneza matuta shambani ndiyo kunafanya shamba tambarare liwe tufe? No.
Wewe huna tofauti na mmakonde aliyeko mtwara,anayebisha kwamba dar hakuna mto kisa hajawahi kufika na kuuona.

Haya ukipanda juu ya TPA tower unaiona kwa sababu uwezo aa kuona kwako umeongezeka au TPA wanagawa mchicha getini???
 
WEwe ndiye unatakiwa kuwa wa kwanza kwenda maana unabishana tu baada ya kushiba,kisha utatuletea uthibitisho tofauti sio madai hewa.

Mimi nimekupa,wewe ndiye uko unaroli sarakasi tu na madai yako ya flat earth.

Hapana usiwe kiazi mkuu,sababu ya jambo ili ipo,ndio hii ya dunia tufe,tizama picha hapa chini maana una kichwa kizito sana.
View attachment 2948502
Kwahiyo huo ulioweka hapo juu ndiyo uthibitisho usio na shaka kwamba Dunia inazunguka?

Ukikubali kutumia akili yako ndiyo utajua kwamba kila nchi kuwa na hali yake ya hewa ni uthibitisho tosha kwamba Dunia ipo stationary,.. ingekua inazunguka kama ulivyodanganywa basi kusingekuwa na kitu kama climatic conditions .....hiyo pia ni ngumu kuelewa?
mkuu embu onea huruma hata ukoo wako basi,hujui unawahujumu kiasi gani kutumia ubini wao kwa akili hizi.
Sisimizi huyu na baloon akupe picha ya kinachoendelea duniani na sisi binaadam.
Hivi unafikiria unachokiandika kweli?....kwani huo mfano wa Sisimizi aliuleta nani kama si wewe?

Narudia tena,... Sisimizi (binadamu) Kwa kuwa hawezi kuona wala kuhisi mwendo wa Dunia basi hatakiwi tu kuwaambia Sisimizi wengine kwamba Dunia inazunguka,....Bali anatakiwa kuonyesha methodology na measurements alizotumia ili na Sisimizi(binadamu) wengine waweze kuthibitisha madai yake.
 
Umewahi kuiona Dunia tambarare ?

Au kuiona wilaya unayoishi ndio imekuaminisha kuwa hili gimba kubwa namna hii ni tambarare ?
Ndiyo nimewahi, ili uthibitishe hili safiri kisha tuambie kwenye safari yako umeona tambarare? Umeona curvature of the earth? umeona kwamba Nchi zote zipo kwenye uso tambarare wa Dunia?.....

wewe ndiyo hujawahi kuliona Dunia Tufe zaidi ya kwenye picha Tu..
 
Back
Top Bottom