Kaka wala hujui unachokitetea, we umekazania commercial flight, kuna ndege za private, research nk. Sasa hapo napokwambia tuchukulie (lets assume)
Kuna vitu vichache naomba unijibu
1: unaamini uwepo wa Latutude na Longitude?
2: kama unaamini, imani yako inasemaje kuhusu hizo line
3: kuna hili la kupatwa kwa jua na mwezi, kuaptwa kwa Jua tunaona mwezi unakuwa katikati ya Dunia na Jua na tunaona Duara la Mwezi linaloziba jua
Kupatwa kwa Mwezi tunaona DUARA LA DUNIA LINAUZIBA MWEZI, sasa hapa utasemaje Dunia Iko flat, maana yake tunheona shape ya Box ndio linaziba Mwezi
Unapomezesha vitu uwe unatumia na akili yako
kaka nadhani hujaelewa kabisa ramani ya dunia tambarare ,,,na maswali yako yote yamejibiwa ,,,jaribu kusoma kwa kina uzi wangu
this is how the sun revolve around the earth flat plane
Kaka unajua huyu
moudytunechi anaingia kwenye mitandao na kujaribu kutafuta vitu vilivyo kwenye Iman yake anashindwa kujua kuwa Vitabu vya Iman yake vilikosea kwenye hili, wako wengi wanaobishana na fact za round earth kwa sababu za kidini zisizokuwa na mashiko
Nilimuuliza swali hapo awali akashindwa kulijibu, nilimuuliza anakubali kuwa Sayari zingine zote ( Mercury, Venus, Mars nk.) na pia nyota kama Jua na mwezi kuwa vyote ni Sphere/round au kuna kimoja kati ya hivyo kiko flat? ATUELEZE HAPA KUWA SAYARI FULANI IKO TAMBARARE
Kama vyote viko na shape ya sphere iweje Dunia pekee ndio ina flat shape? Sayari ya Mars huwa inaonekana angani ikiwa na Shape ya Sphere/round lakini wakituma vyombo kwenye hiyo sayari, vyombo hivyo vinatua kwenye mazingira kama haya ya Dunia, kwa hiyo Kaka
moudytunechi angetua na chombo chake Mars angesema Mars iko flat
Kaka Moudy elewa kuwa Dunia ni kubwa sana kwa wewe kuliona Duara lake, ni kama umchukue Sisimizi na umuweke kwenye Mpira wa Basket, hataweza kamwe kuona Duara la mpira zaidi ya kuona flatness
Baba wa space ni Russia wao ndio waliokuwa watu wa kwanza kupeleka vyombo space (unmaned), kisha wakapeleka chombo na Mbwa (Laika) na ndio kisha NASA wakaanza na wao kupeleka vyombo space wakifuatiwa na mataifa mengine, KwA NINI WOTE WAKUBALIANE NA SPHERE EARTH? Ili weje na kwa faida ya nani? NA PIA KUMBUKA WANAPOPELEKA VITU SPACE AU KWENYE SAYARI ZINGINE HUWA WANAANGALIA MZUNGUKO WA HIZO SAYARI (shortest distances) NA PIA WANA CONSIDER SHAPE YA DUNIA
Kupatwa kwa Mwezi ndiko kunako prove kuwa Earth ni sphere kama Moon na Jua, kwani kivuli cha sphere earth kinaonekana kikiuziba moon na wala sio kivuli cha flat earth
ngoja kwanza nkutoe ujinga kidogo ,,,hizi sayari nyingine ulizo zitaja zamani zilijulikana kama woundering stars unajua kwasababu gani ??? kwanza kabisa naomba utambue kwamba picha zote za plannet nyingine unazoziona internet ni computer generated images(cgi) sio real images kwahiyo naweza kusema zile zenyewe ni fake images ,,,,me swali langu ni dogo sana kwanini na technologia ambayo tunayo leo hatuna picha halisi ya dunia lakin tunauwezo wa kwenda mars ,,,,maswali mengine mjiulize tu wenyewe sifa moja ya plannet kua plannet ni kwamba inatakiwa isiblink inabidi ing'ae tu through out lakin huo ni uongo ukiangalia venus ambayo inajulikana kama eavining star utagundua kwamba kuna mda ina blink embu nielezee kwanini,,,,,somethings we can observe with our own eyes ....alafu unanambia dunia ni kubwa sana siwezi kuona duara lake okay nmekubali na ni kweli dunia ni kubwa sana ,,haya vipi na ndege zinazo paa kila siku mbna hawaoni duara kumbuka the horizon always rise to the eye level ,,,,alafu huu uongo mataifa yote yanashirikiana kuificha ...ndo maana tunaiita global deception tangu dunia ianzishwe hatujawahi kuona planet yoyote inapita mbele ya jua kwa mocho yetu mawili,,,,na haiwezekani in real sance haiwezekani circles zote za planets zisi loops sehemu
this is how the sun revolve around the earth flat plane
alafu hili swala halihusiani na dini kwani we unajua dini yangu au unaongea tu kujifraisha..,.,.,.,
Wewe tatizo lako unataka kuskia fikra mpya hata kama ni za kipuuzi pasipo kutafakari ya unachosoma.
Internet imejaa mambo mengi na mengi ni crap watu wanapenda conspiracy theories.
Inabidi uchambue ipi pumba ipi mchele.
Kutumia elimu mtu aliyopata kwa kusoma shuleni kuchambua pumba na mchele sio kosa na ndiyo maana watu wanasoma na kwa hiyo elimu na hoja zenu dhaifu tunadiriki kusema hoja zenu ni pumba na mmeshindwa kuzitetea.
Hayo ma docs yako hata mimi nimeyasoma na nimeona ni pumba tu.
kama ungekuja na hoja za maana na point kunipinga ningekuelewa ....,unanidhihirishia kua umefikia mwisho wa kutafakari na unavojinadi unaelimu its a shame..
We unaongelea vitu gani si ulivyosoma mtandaoni na ambavyo hata unashindwa kuvitetea maana hakuna unachoongea ulichokiwaza mwenyewe vyote umekaririshwa na hao earth flat society pia.
Eti umefanya research sasa hivi unashindwa hata tetea hoja zako mwenyewe unabaki tu ooh kasome oooh unaonge vitu ulivyo karirishwa.
Na nilichogundua hakuna unalojua maana umeanza kupinga hoja nyingine hsiku wakati uliulizwa asubuhi ya jana ukakosa majibu ikakubidi urudi kugoogle udonoe donoe kwenye sources mbalimbali still bado umeshindwa kujibu hoja
hoja gani nmeshidwa kujibu,,,,,alafu usitegemee utapata majibu yote hapa,,,im just opening your mind to creatical thinking ndo maaana nliwaambia mtu anaetetea round earth aje na picha halisi ya dunia ya duara,,,,,najua hata ukishinda google hupati,,,lkn mimi i can prove the earth is flat na hamna sehemu kuna curveture na hata kama curvetureingekua baharini mbona nchi kavu hatuini kitu ,,,alafu try to explain to me jinsi maji yote ya bahari yanavyo weza kushikiliwa if the earth was round kumbuka water finds its ownlevel alafu water always maji yanafuata mkondo wake ,,,au nambie ndege inapaaje na kwenda accurate navyo sema nmefanya research nna maanisha
think about the diferences between falt earth and ball round earth
We jamaa kweli hata hujui unaongea nini. Dunia ina rotate na kurevolve pamoja na kole kilichomo plus its atmosphere.
So ndege ikiwa angani dunia haiwezi kuiacha ina rotate na kuivolve nayo so speed inayoset ndege ni plus ya speed on top of thw speed inayo rotate dunia.
Ndiyo maana hata ndege ikiganda angani dunia haiwezi kuiacha na wala haiwezi kujikuta kisa iliganda ikiwa tanzania ikajikuta iko panama ni kwakuwa earth rotates and revolves with everything in it plus its atmosphere.
Acha kusoma vitu nusu nusu pasipo kuvoelewa na ukajifanya umefanya research.
ulicho andika hapo huwezi kukiprove kwa njia yoyote hata ukilalal unasali kwasababu amna kitu kama icho..,.,the earth is stationary and everything above is revoving around us sema hatufundishwi darasani kama unajuan nyota inaitwa polaris i fatilia au nijibu inawezekanaje constilation zote ziwe zina izunguka polaris najua ufahamu kuhusu hili kwahiyo kajifunze kwanza ,,,,dunia haizunguki wala hain'gooki,,,its a flat plane
think about the word planet the source ni plane ...now do you knw the meaning of the word plane??????
Ukiona watu hawakubariani na wewe ina maana una hoja dhaifu ambazo umeshindwa kuzitetea unataka watu wakubari tu kibwege bwege.
Hata waliokuwa wanaamini dunia ni flat na waliokuwa ndiyo wengi kama wewe na hiyo society watu waliwapa facts and proves ndipo wakabadirika so acha kukurupuka.
usiseme ivo wewe me naweza kusema watu wanashidwa kuelewa kwasabbu bongo zimelala bado,,,,,, mpaka leo unaamini dunia ni kama kipira kipo angani na kunazungushwa na nguvu inaitwa gravity alafu kila siku tunaona jua llinatuzunguka vizuri tu ,,,,wewe ulishawai kuona wapi dunia inaizunguka jua au kila siku unaona jua ndo linapita ,,alafu kwanza nyota na anga ni lile lile akibadiliki kitu ,,alafu fikiria kupatwa kwa jua kungewezekanaje wakati jua ni kubwa sana kuliko mwezi '''''''
Scientists estimate that around 64.3 million moons would fit inside the sun. Earth's moon has a radius of around 1,080 miles and the sun has a radius close to 432,687 miles,,,,,, sasa how can this be possible....