Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia kuwa hakuna ndege za abiria inayoruhusiwa kupita juu ya anga la bara la antractic maana ndo kwenye kingo za dunia.Kama Dunia ni flat basi itakuwa Haina Mwisho.
Kwa hyo hilo bara la Antractica limezunguuka dunia nzima.. Maana kama ni duara ukingo hauwezi kuwa sehem moja ya dunia!Nasikia kuwa hakuna ndege za abiria inayoruhusiwa kupita juu ya anga la bara la antractic maana ndo kwenye kingo za dunia.
Hivi ukisimama kwa mfano pale feli Zanzibar utaiona hata kwa hadubini?Kwa hiyo wewe unataka kuniambia nyota mchana tunaziona kwa macho yetu , wakati gani nyota zibaonekana kwa macho yetu, ni kipi kinachozuia mchana tusione nyota .
Nimemjibu mwezako kuwa kuna mabonde, milima, mitelemko na miinuko misri hatuwezi tukaiona na kubaliana na wewe kabisa . Hakuna kitu chochote kilichopo katika kinachozuia Mars isionekane.
Alafu kingine uliwahi kujiuliza kwa Nini baadhi ya wanyama wakati wa usiku macho yao yanang'aa, Binadamu tunaweza kujificha usiku pasipo macho yako kuonekana. Ingekuwa vizuri ungekuwa una juwa jicho la Binadamu linatoa volt ngapi?
Huu ni mstali Wako "" Mwanga wa blue ni mwanga wa jua sio mwisho wa macho kuona"" hivi unapoambiwa Mwisho wa uwezo Wako wa kuona unajuwa tunamaanisha Nini.
Mkuu,nianze kusema tu kuwa nasikitika sana baada ya kusoma uzi huu kwa namna watu walivyochangia na wanavyochangia......
Mtoa mada amekuja na kuandika mambo mengi sana namna anavyosema juu ya umbo la dunia na ushahidi ameweka.Ameelezea kuwa yeye anaamini kuwa umbo la dunia ni flat,lakini akasema ni flat ya namna ipi anayoizungumzia.Shida ya kwanza ya watu inaanzia hapa...
Kuna watu wanapoona neno flat basi wanakimbilia kwenye fikra zao namna wanavyofikiria flat,wanafikiria flat kama ya meza tu,hapa ndipo panaponisikitisha kuliko mahala pengine popote pale.Mtoa mada ameelezea kuwa dunia ni flat duara yaani kama cd na michoro ameweka,watu wanakuja kujenga hoja kutoka na fikra za flat ya meza au umbo ambalo soyo duara kabisa.
Kwa kukuthibitishia hili angalia watu wanaojenga hoja kwa kuonesha kuwa mtu anaweza kutoka Dar hadi Sydney kisha akaenda Marekani kisha akarudi Accra na baadaye kurudi Dar.Ukiangalia hoja hii imelalia kwenye fikra za dunia isiyokuwa duara ya namna mleta mada aliyoizungumzia kwenye mada yake maana ukiangalia kwenye hoja za mtoa mada utaona kuwa mtoa mada naye anasema kuwa dunia ni duara lakini siyo mviringo kama tufe bali ni mviringo kama CD.Kwa mviringo huu unaweza kabisa kufanya safari hizo nilizotaja hapo juu bila kuhitajika kurudi nyuma.
Hoja ya watu kuzunguka dunia na kujikuta wamerudia pale pale,hoja hii nayo haishindikani kwenye hoja ya dunia duara ya kama sahani.Ukiangalia utaweza kuona kuwa inawezekana kabisa kuwa mtu akatoka Afrika ya kusini,akapitia Australia kisha akafika Amerika ya kusini kisha akarudi tena alipotoka maana atakuwa amezunguka duara inayosemwa na mtoa mada.Kwa maana hii bado hii haithibitishi kabisa kuwa dunia ni duara kwa maana ya tufe.....
Ameelezea mambo mengi sana pia,miongoni mwa mambo aliyozungumzia ni namna usiku na mchana unavyopatikana,watu hawasomi kabisa majibu na thread yote na unakuta mtu anakuja kurudia hoja ambazo zimeshajibiwa kwa uwazi kabisa na hili ni tatizo jingine,uviovu.Huwezi kujifunza mambo mazito kama haya huku ukiwa mvivu,huwezi na hutaweza kabisa kamwe......
Hoja nyingine ni route za ndege.Mtoa hoja amesema kuhusu hili,watu badala ya kujibu sababu ya ndege kutokuwa na rout hizi wameongeza swali kuwa vipi kuhusu ndege binafsi.Kwanza nafahamu kuwa kuna maswali ambayo ukiulizwa unaweza kuuliza aina fulani ya swali ambalo ukilijibu linaweza kukupa jibu la swali lako,lakini swali hili linaweza kujibu au kutokujibu swali kuu la mtoa mada kwasababu zifuatazo....
1;Hakuna uthibitisho ambao umetolewa hadi sasa wa uwepo wa ndege binafsi zinazokatiza north pole au south pole...
2;Kama kuna huo uwezekano wa ndege binasi kukatiza hapo,ni kwaninio ndege za kibiashara zisipite hapo ili kupunguza umbali mrefu? Kutoka South Afrika hadi Urusi kupitoa Siuth pole na kupitia katikati ya bara la Afrika hadi Geneva kisha Moscow wapi ni karibu?
Kimsingi hoja zote hizi ni mfu na zinaongeza maswali zaidi.Hakuna aliyejisumbua kujibu kuhusu ukweli wa binadamu kwenda mwezini.Hakuna ushahidi wa bibadamu kwenda mwezini....
Suala la meli kitoonekana kwa macho inapokuwa mbali ya macho yako hili mtoa mada amelijibu na ndiyo jibu bora kabisa linaloenezea suala hili.Watu walikuwa wanachukulia suala hili la meli kuzama kuwa ni moja ya ushahidi wa duara ya dunia,hii ikiwa na maana kuwa meli ile inakuwa imeshafika kwenye upande mwingine wa duara ya dunia.Mtoa mada amesema kuwa,kama inakuwa hivyo basi ukichukua kifaa maalum cha kuonea mbali usingeiona meli maana itakuwa iko kwenye upande mwingine wa duara ya dunia.
Mfano mzuri wa jambo hili ni kuchukua kijiti kifupi na ukakichoma kwenye chungwa kwenye upande mmoja kisha ukaligeuza chungwa lile upande mwingine kisha ukaanza kutazama,hutaweza kukiona kijiti kile kwakuwa kitakuwa kwenye upande ambao unazuiwa na muinuko wa chungwa lile hata kama utachukua kifaa cha kuonea mbali.Lakini ukichukua mti ukauchoma chini kwenye barabara iliyonyooka kisha ukaenda umbali wa kilomota 10 ukatazama mti ule hautauona bado lakini hii haimaanishi kuwa huuoni kwakuwa upo kwenye upande wa pili wa dunia bali ni kwasababu macho yako hayaoni tu,ukichukua kifaa utaweza kuuona mti huu.....
Kwa mfano huu ni dhahiri kuwa hoja za dunia duara bado zimegaragazwa kwenye mada hii,leteni nyingine......
Sisi tunajifunza na kuhoji pale ambapo tunaona kuna haja ya kufanya hivyo.......
Vizuri sana kupata watanzania wanaoongelea hili swala, huwezifika kwenye mwisho wa hizo kuta za barafu , kwanini the more unavyosogea kuelekea huko utakutana na upungufu wa oxygen mkubwa, shida za baridi kali na mengi kuwa na shida ya mawimbi makubwa kwa mfano kupata concept ya Flat earth kidogo angalia movie kama Jim Carry the tru man show, Under the dorm series na pia ka search under the dorm youtube utapata more info its interesting and wondering on the more unknowns we dont know in this earth.Wewe uliyefuatilia hebu nipe mwanga wa hili, jamaa amesema dunia ni tambarare na maji yamezuiliwa kwa mabonge makubwa ya barafu. Swali, mwisho wa hayo mabonge ya barafu ni wapi na baada ya hayo mabonge kuna nini!
Huo ndo uthibitisho mujarab kabisa kuwa dunia ni duara, kwenye flat duara hili linawezelana vipi??? Ningependa kujua wanaopanda ndege kwenda zenji huwa wanaexperiensi muono gani!Kama unakubali kuwa boat inatokea kwa chini inapotoka zanzibar, sifa kubwa ya mabonde, milima, mitelemko na miinuko. Ninapo pandisha mlimani mimi siwezi kuonekana wote.
Hata mtu aliyeko zanzibar atakuambia kuwa dar Ipo kwa chini, sababu gani boat ukitokea dar inaelekea zanzibar inatokea kwa chini kama inaibuka.
Utata unazidi kuongezeka kila mtu yeyote aliyeko pwana katika nchi yeyote Ile kitu chochote kitakaho tokea baharin kinaibuka.
Jana nimejikita ktk hii topic hususan North na South pole, inasemekana kuna flights toka Australia mpaka Argentina kupitia south pole.Nasikia kuwa hakuna ndege za abiria inayoruhusiwa kupita juu ya anga la bara la antractic maana ndo kwenye kingo za dunia.
Haya, tueleweshe, hapo south pole haionekani.View attachment 429476View attachment 429477View attachment 429478
Tujaribu kueleweshana kwa picha sasa
Unaweza hata ukasimama kwenye jengo jipya la tpa kule juu na darubini yako kali ila zenji hautoiona, pia zenji hili jengo refu la bara hawalioni hata kwa darubini sababu ya CURVE ya duara la dunia.Hivi ukisimama kwa mfano pale feli Zanzibar utaiona hata kwa hadubini?
Duara flat bado hai-make sense!ahsante sana ...Tatizo watu hawasomi facts na kutafakari ,,,,
Huwezi kuona, alafu hii dhana ya dunia tambarare haijaeleweka kwa baadhi ya watu , kwenye sakafu ya bahari Kuna sehemu imepanda, imeshuka. Kuna point 1 kuthibitisha dunia ni duara wametoa mfano wa meli alafu mtu anayethitisha yupo nchi kavu au beach. Kuna utata captain anayeongoza meli hawajamuhusisha, Captain yeye anaona flat kwenye bahari.Hivi ukisimama kwa mfano pale feli Zanzibar utaiona hata kwa hadubini?
Ndugu MI nitakubali dhana ya dunia ni duara, kama meli inayotoka South Africa kuja Tanzania itakuwa inapandisha ndo sifa ya duara, Captain wa meli yeye anaona flat hakuna kupanda wala kushuka.Huo ndo uthibitisho mujarab kabisa kuwa dunia ni duara, ni kama sisimizi umemuweka ktk mpira wa basketball.
Kwa maelezo yako, nadhani ni kwamba wewe watu waliopo south poles kama new zealand, australia etc watakuwa wanatembea "upside down", je unaamini ktk gravitational pull of the earth?? Kwa nini kila kitu ukikiachia kinadondoka kuelekea ardhini??Ndugu MI nitakubali dhana ya dunia ni duara, kama meli inayotoka South Africa kuja Tanzania itakuwa inapandisha ndo sifa ya duara, Captain wa meli yeye anaona flat hakuna kupanda wala kushuka.
Ajabu zaidi meli inayotoka bandarin Cape Town inashuka, meli hii ikiwa inaelekea Cape Town inaibuka kama inapanda, ikafika dar mchezo ule ule inaibuka kama inapanda ikitoka dar inashuka. what the meaning of the circle from the equator Toward South pole. Tutumie akili za kawaida chora duara lako mtu 1 akae kwenye ncha ya kaskazin na mwingine kusini watu wote waelekee kati yupi anaye pandisha na anayeshuka.
Tatizo lako linaakisi matatizo ya watu wengi sana.......Hapo kwenye meli na chungwa umejikanyaga sana. Unaongelea dunia kuwa flat ya cd alafu tena upande wa pili wa duara ambao unafanye meli isionekane??????!!!!! Hapa umechemka.
Hoja hii ni dhaifu sana kutetea dhana ya dunia duara na nafikiria labda mngeleta hoja nyingine kwa sisi ambao tunataka kujua ukweli......Ndugu MI nitakubali dhana ya dunia ni duara, kama meli inayotoka South Africa kuja Tanzania itakuwa inapandisha ndo sifa ya duara, Captain wa meli yeye anaona flat hakuna kupanda wala kushuka.
Ajabu zaidi meli inayotoka bandarin Cape Town inashuka, meli hii ikiwa inaelekea Cape Town inaibuka kama inapanda, ikafika dar mchezo ule ule inaibuka kama inapanda ikitoka dar inashuka. what the meaning of the circle from the equator Toward South pole. Tutumie akili za kawaida chora duara lako mtu 1 akae kwenye ncha ya kaskazin na mwingine kusini watu wote waelekee kati yupi anaye pandisha na anayeshuka.