Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
1- Hatuwezi kufeel movement kwasababu speed ipo constant,

2-Source ya energy inayofanya rotation ya Dunia iendelee....Nadhani ungejiuliza kwanza wewe kwa nadharia yako ni source ipi ya energy inafanya Jua kuzunguka kama mnavyosema ?

3-Jibu ni ndio, Source ya mwanga kwenye sayari ya Mars na Jupiter ni Jua.
Swali namba mbili 🤣🤣.

Na waseme pia kama mwezi unazinguka unatumia energy gani na source ni ipi, mimi ndo maana hua nawaambia wadocument vitu vyao ila hawataki kwa sababu hawana
 
Safi sana, wote tunajua kua jua ni source ya energy kwahio sio ajabu likiwa linazunguka ,lakini Dunia Haina source ya energy inayofanya izunguke
Alafu ,kwann Dunia iwe na double movement,kwamba Ina rotate alafu pia Ina revolve?
Umekubali kua jua ni source ya mwanga katika sayari nyingne kama mars , lakini unajua mars kiasili Ina moons ngap? na zote hizo moons Zina absorb mwanga wa jua na ku reflect kule wakat zipo stationary?
 
Swali namba mbili [emoji1787][emoji1787].

Na waseme pia kama mwezi unazinguka unatumia energy gani na source ni ipi, mimi ndo maana hua nawaambia wadocument vitu vyao ila hawataki kwa sababu hawana
Swali hilo namba 2 mmekosa jibu ,mm nmewapa jibu
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Kwa majibu haya maana yake ni kwamba HUJUI .........., Basi sawa tuendelee

Naamini unaujua vizuri “uongo” wa dunia duara
Sasa Tuanze na kipengele gani ili tukijadili unishawishi kuwa dunia ni flat?
Upinde wa mvua
 
Kwahiyo wewe unaona Jua, Mwezi na Dunia ni vitu ambavyo vina sifa sawa,..mpaka unafananisha?

Dunia ni tofauti kabisa na hizo objects mbili,...yani hapo ni sawa uangalie umbo la Tikiti maji kisha useme hata Ndizi pia ina umbo hilo hilo,... inaingia akilini kweli?
Haya tunakubaliana na wewe Dunia ipo tofauti, Basi tunaomba utuonyeshe hata picha ya kuchora Dunia inavyoonekana ikiwa na mabara yake yote 7
 
Kwa majibu haya maana yake ni kwamba HUJUI .........., Basi sawa tuendelee

Naamini unaujua vizuri “uongo” wa dunia duara
Sasa Tuanze na kipengele gani ili tukijadili unishawishi kuwa dunia ni flat?
Nielezee upinde wa mvua unatokeaje Kwa nadharia yako
 
Ndiyo uache kufananisha vitu visivyofanana....ukitaka usiwe challenged baki na ideas zako kwenye kichwa chako ukiweka kwenye public kubali tu kuhojiwa.
Umeulizwa swali badala ya kumjibu unakashifu, Alafu unaita ni challenge
 
Jua sio flat ni round kwasababu tunaliona hvo , mwezi una change shape ila mainly ni round ila Dunia hujawai kuiona .... Don't believe NASA wale ni waigizaji
Hapa nna swali, Mwezi mmoja uliopita walitutangazia kupatwa kwa Jua tarehe 8 na imetokea hivyo, Je hayo ni maigizo ?
 
Swali namba mbili [emoji1787][emoji1787].

Na waseme pia kama mwezi unazinguka unatumia energy gani na source ni ipi, mimi ndo maana hua nawaambia wadocument vitu vyao ila hawataki kwa sababu hawana
Ni mtego, Atajileta
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Safi sana, wote tunajua kua jua ni source ya energy kwahio sio ajabu likiwa linazunguka ,lakini Dunia Haina source ya energy inayofanya izunguke
Alafu ,kwann Dunia iwe na double movement,kwamba Ina rotate alafu pia Ina revolve?
Umekubali kua jua ni source ya mwanga katika sayari nyingne kama mars , lakini unajua mars kiasili Ina moons ngap? na zote hizo moons Zina absorb mwanga wa jua na ku reflect kule wakat zipo stationary?
Okay, Source ya Mwezi kuzunguka ni ipi ?
 
Nielezee upinde wa mvua unatokeaje Kwa nadharia yako
Naona unatoka nje ya mstari au mzizi wa mada, Ni kawaida yenu Flat Earth

Swala la upinde kwanza sio nadharia, Pili ni jambo ambalo unaweza kutengeneza hata wewe ukielekezwa
 
Umeulizwa swali badala ya kumjibu unakashifu, Alafu unaita ni challenge
Sio kashfa,...nimesema kweli kwamba ikiwa hutaki kuwa challenged ni bora ubaki na kile unachokiamini kwenye kichwa chako.

Ukileta hapa,..kubali changamoto.
 
Hapa nna swali, Mwezi mmoja uliopita walitutangazia kupatwa kwa Jua tarehe 8 na imetokea hivyo, Je hayo ni maigizo ?
Hapana ,sio maigizo ila swali lipo hapo .... Before na after eclipse mwezi haukuonekana ukilisogelea jua Wala kuondoka ..... Ulionekana tu exactly unavyoziba jua unahisi kwanini?
Alafu mwezi unakua distance gan kutoka kweny jua had kublock huo mwanga wa jua?
 
Hizo ni baadhi ya picha ambazo nmeona ni muhim ku share now
20240413_131915.jpg
20240413_131922.jpg
20240413_023828.jpg
 
Aliekua anataka ushahidi wa video ntampa muda si mrefu ngoja bundle likae sawa kidogo
20240413_132500.jpg
20240413_132537.jpg
20240413_132546.jpg
 
After hapo , mnajua ishu za apelihelion na Pelion ( spelling zimenitoka kidogo) ishu za jua kua mbali au karibu na Dunia ,na Kuna kipind usiku unakua mrefu na Kuna kipind usiku unakua mfupi na Kuna kipindi usiku na mchana vinafanana
Ukitaka nkuelezee Kwa idea ya flat earth nakuelezea ila pia andaa namna ya kuielezea wewe baada ya Mimi kuielezea ..... Alie tayar tuendelee
 
Back
Top Bottom