Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Swali namba mbili 🤣🤣.1- Hatuwezi kufeel movement kwasababu speed ipo constant,
2-Source ya energy inayofanya rotation ya Dunia iendelee....Nadhani ungejiuliza kwanza wewe kwa nadharia yako ni source ipi ya energy inafanya Jua kuzunguka kama mnavyosema ?
3-Jibu ni ndio, Source ya mwanga kwenye sayari ya Mars na Jupiter ni Jua.
Na waseme pia kama mwezi unazinguka unatumia energy gani na source ni ipi, mimi ndo maana hua nawaambia wadocument vitu vyao ila hawataki kwa sababu hawana