Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Basi hizo video zitakua ni zaid ya maelezo tosha, angalieni na muelewe..... Kukiwa na hoja nyingne basi mtu aanze kuielezea Kwa concept yake season na kipind Cha jua kua karibu /mbali na Dunia na kipindi ambacho usiku unakua mrefu kuzid mchana au mchana kua mrefu kuzid usiku
Your browser is not able to display this video.
View attachment 2962296
 
Uwe unafuatilia kwanza mambo ndio unaandika,


Naona upo kuandika kwa mawazo yanayokutoka tu muda huu.
 
Reactions: Lax
Nijibu hapa na utakua umeshinda
 
Hii video nayo hujaelewa au unachagua kinachokubeba
 
Nijibu hapa na utakua umeshinda

Kaa kwenye mada moja, Unauliza maswali mchanganyiko hayakai kwenye mpangilio huwezi kupata majibu kwa mtindo huu


Mara upinde wa mvua, Mara hiki mara kile , Maswali yako hauangalii mtiririko wa mada wewe unauliza ilimradi tu
 
Mwezi umeundwa na nn
[emoji28][emoji28] Ndio maana nakwambia uache kuandika mambo kwa mawazo yanayokutoka tu muda huu


Anyways jibu lako ni hili, Chunguzi zinaendelea ila Sampuli zilizochukuliwa kwenye mwezi vipimo vinaonyesha kuna 43% ya oksijeni, 20% ya silcon, 19% ya magnesium , 10% ya chuma, 3% ya calcium na 3% ya aluminium.
 
Hii kama inamaanisha usiku na mahana kwenye Dunia flat ni ujinga.

Hilo jua lingukuwa watu wanaluona masaa 24 siku zote za mwaka maana hapo imeoneshqa concept ya Jua kuto kumulika sehemu nyengine ila hao watu wa upande usiomulikwa bado wataliona jua tu...Kuina taa inayowaka usiku sio mpaka mwanga wake ukufikie na kukumulika.
 
Unamaanisha Aphelion na perihelion? Kwamba ndo zinasabisha usiku uwe mrefu kuliko mchana?

BTW: kama unaamini kwenye hizi concepts how come unaamini kwenye Dunia flat and stationary???😮

Maybe toa maelezo yako, otherwise unakubaliana na Dunia tufe inayozunguka that's why Kunakuwa na Aphelion na perihelion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…