The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Asante Kwa kuwa mkweli, na hivyo ndivyo Jua huoneka kama linamove wakati kiuhalisia Dunia ndio inamove.Asante..!! Nikianza na swali lako la mwisho ulilolisapoti kwa video... hapo kinachoonekana ni majengo yanamove... lakini kiuhalisia ni camera ndiyo inayotembea, na hilo mtu yeyote anaweza kulithibitisha kwakujaribu yeye mwenyewe kufanya hivyo.
Kama ambavyo uliona Yale majengo kama yanamove basi na Jua ndio ivyo hivyoIsipokua kwa kesi ya Jua, wewe binafsi unalionaje? je lina utoffauti na Mwezi katika muonekano wa mtembeo wake? Je mwezi nao usingekua unatembea ukabaki sehemu moja tungeendelea kuuona kama tuuonavyo?
Kwahy ulipaswa unambie kuwa Yale majengo yanamove kulingana na ulichokiona, maana ww unaamini kitu unavyokiona ndio kilivyo sio?Mwisho kabisa mimi kama mimi ninajua Jua ndio lina move kwasababu naliona kama ninavyouona mwezi ukimove bila kufeel hali yoyote tofauti katika mwili wangu iwe wakati naliona jua linatembea au wakati nauona mwezi ukitembea.
Kwa sababu sikuwa na elimu ya Anga na physics. Sasa hivi ninayo na Nina access ya kufatilia vitu Kwa kina na kuchanganua kipi kina ukweli na kipi hakina ukweli.SWALI LANGU KWAKO.!
Unadhani nikwanini kabla haujafundishwa kua jua limesimama Ulikua unaamini linatembea?
Jibu kwanza swali, ndio uniulize tena ntakujibu vzr tu🙃Hapa nimsaidie kidogo... Vipi Gari likifika kwenye Tuta hakuna utofauti utakao onekana kwa aliye siti ya mbele na wa siti ya nyuma..!!🙁😛😱
Kama huwezi kujibu maswali hapo sidhan kama tutaenda sawa Nina maana yangu nzuri, jibu maswali.Mifano sijui ya ukiwa katika usafiri utaona kama miti inarudi nyuma na blablabla nyinginezo, lakini mbona hamuulizi je wakati unaona miti inarudi nyuma unapokua katika hilo gari, mwili wako unakua unafeel vipi? Je kwenye kuona jua linatembea kumbe ni Dunia, Je Miili inapata hisia yeyote yakuwamo katika kitu kinachotembea kama ambavyo inakua katika gari?
Naomba na mfano mwingine wa Kipi kingine ambacho Tunavyokiona kifanyavyo ni tofauti na uhalisia wa macho yetu kama tunavyoona jua linatembea lakini tunaambiwa limesimama.
Miaka michache tu nadhani shule ya msingi sijui darasa la ngapi, na sekondari nadhani form one na four.Sorry, Hivi umetumia miaka mingapi kufundishwa tuu Umbo la Dunia? Na je Una Miaka mingapi tangu uanze kukataa Umbo la Dunia Tambarare.?
Kwa sabab camera sio Jua ni Dunia kwenye mfano wangu😀😀😀,Kwenye uhalisia Jua tunaliona.....Je, kwenye Video yako Camera tunaiona?
Sasa mzee saa si inafata mfumo wa Dunia kuzunguka Jua😀😀Mfano wa Jua kuzunguka Dunia unaupata hata katika saa ya Mshale, na Ujue tuu wazee wa zamani kutumia Jua kujua masaa ndio kulileta idea yakutengeneza saa ya mshale kwa kufuata hesabu za mzunguko wa Jua linapoizunguka dunia Masaa 24.
Kama tu utalazimisha camera iwe Jua basi utakosa mantiki, ila ukikubali camera ni Dunia utakuwa na mantiki.Huoni kama mfano wako unakosa mantiki
Mimi Sina nyenzo za kunifanya niendele space nikaone milky way Galaxy 😀. Wewe ambaye unasema Jua ni dogo kuliko Dunia na linazunguka Dunia, niletee video simple umeshindwa nini?Mbona wewe umesema Jua lina move na hujaleta video kutuonyesha Jua Lina move?
Tunatofautiana, Mimi nimesema Jua Lina orbit around the milky way Galaxy pamoja na sayari zake zote, na hiyo haisababishi usiku na mchana.Au sio wewe uliyesema Jua Lina move
Leta uthibitisho hapa, we unauhakika Gani Jua ndio linamove? Nimekupa mfano wa video kwani Yale majengo hayakuhama position? Kwann hukusema majengo yanamove? Tumia Akili.- Mimi ninaposema Jua lina move ni Kwasababu Jua utaliona kwenye point/ position tofauti tofauti kadri ya muda,....na kitu hicho kipo pia Kwa Mwezi au unataka uletewe picha ya mwezi pia?......sijui kwanini unashindwa kuelewa vitu simple hivi ambavyo ni uhalisia kabisa yaani kimsingi ni kwamba Dunia ipo stationary kama vile unavyoiona na kuhisi kwamba ipo fixed,..
Basi ndivyo hivyo hivyo hata Jua lipo stationary with respect to earth lkn Dunia ndio inamove. Simpleee!!Kwa kukusaidia ngoja nitolee maelezo hiyo video ya pili hapo.....
Ipo hivi 👉🏼 ukitazama hiyo video ndiyo itakupa uhalisia sasa wa Dunia ilivyo.....miti ipo attached na Dunia So miti ipo Stationary na let's say Camera iliyotumika kurekodi ndiyo inafanya movement kiasi ambacho kadri camera inavyosogea inaacha miti ikiwa kwenye position Ile Ile..... So,..jibu ni kwamba kwenye video hapo miti ipo Stationary na Camera ndiyo inapita na kuiacha miti(iliyo attached na Dunia) backward.
Point yangu hapo ni FRAME OF REFERENCESasa hapo kuna kipi cha kufanya niogope....au umesahau kama huo mfano tushaudiscuss humu., Nikijibu swali lako...."Dereva hato move away from the point uliyopo"
Sasa huo mfano unauhusianisha vipi na Dunia, Jua na Mwezi?
Mpk asemee😀Tunaomba uthibitisho kuwa Jua inazunguka Dunia
( Tafadhali usije na maelezo matupu, Unahitajika uthibitisho bila maneno wala maelezo kibao )
Uthibitisho Uthibitisho Uthibitisho. Hapa hatutaki NGANO na VIGANOUsiteseke mkuu,... unapaswa kuzingatia kwamba milango yako ya fahamu ipo sahihi.
1. Dunia sio tufe
2. Dunia haiifanyi movement yoyote.
3. Mwezi na Jua hufanya movement kwenye anga la Dunia.
Halafu tafadhali naomba nijibiwe video ya kwanza hateeb10hateeb10
Angalia hii clip nambie gari inamove au camera ndio inamove?
View attachment 2966897
Halafu angalia na hii nambie je hiyo miti inamove backward au ni nini?
View attachment 2966898