Mifano sijui ya ukiwa katika usafiri utaona kama miti inarudi nyuma na blablabla nyinginezo, lakini mbona hamuulizi je wakati unaona miti inarudi nyuma unapokua katika hilo gari, mwili wako unakua unafeel vipi? Je kwenye kuona jua linatembea kumbe ni Dunia, Je Miili inapata hisia yeyote yakuwamo katika kitu kinachotembea kama ambavyo inakua katika gari?
Naomba na mfano mwingine wa Kipi kingine ambacho Tunavyokiona kifanyavyo ni tofauti na uhalisia wa macho yetu kama tunavyoona jua linatembea lakini tunaambiwa limesimama.