The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Nimemwambia anambie Einstein alisema nn kuhusu gravity, hajajibu. Theory ya general relativity inaelezea kwann object zenye maumbo madogo kwenye space zinazunguka maumbo makubwa.Acha siasa wewe, Ungekua tayari kuelimishwa ungekua unauliza sehemu ambapo hujaelewa kwenye hii mifano inayotolewa, Na sio kuweka maana zako wewe
Nimekuuliza nimekudanganya wapi? Hujanambia, flight path always ni curve, na ndio sabab ya ndege ku adjust altitude. Ingekuwa flat kusingekuwa na sabab ya adjustmentKubali Kwanza kwamba ulikua unadanganya Kwa kudai eti Ndege zina adjust altitude Kwa ajili ya curvature,....kisha tutaendelea.
Nipe source ulipojifunzia hili la flight path kama hujachambua vya kuja kuleta hapaMaana nilkua natazama namna unavyodai eti Mimi sijui maana ya altitude,... Brother kitu kama sikijui siwezi kuongelea nitatulia nijifunze
Narudia,.ili mfano wako uwe relevant fananisha vehicles mbili zinazo move kisha jiulize inawezekana kusema vehicle mojawapo ni stationary with respect to the other?Hakuna Cha irrevant hapa, kipi ni irrelevant hapo? Basi? Dereva? Wewe uliekaa nyuma? Au nini?
Iwe captured upside down kivipi? Huyo anaecapture anakuwa wapi?Ushawahi kuona Ndege imekua captured upside down? Bila shaka jibu ni hapana kwasababu zinaenda horizontally!!!!
Iwe captured upside down kivipi? Huyo anaecapture anakuwa wapi?Ushawahi kuona Ndege imekua captured upside down? Bila shaka jibu ni hapana kwasababu zinaenda horizontally!!!!
Daah huu ubishi sasa,... nilikuuliza na Tai nae akiadjust altitude ni kwa ajili ya curvature?Nimekuuliza nimekudanganya wapi? Hujanambia, flight path always ni curve, na ndio sabab ya ndege ku adjust altitude. Ingekuwa flat kusingekuwa na sabab ya adjustment
Popote pale juu au chini,... kwasababu kote ni possible.Iwe captured upside down kivipi? Huyo anaecapture anakuwa wapi?
Usinipangie mfano, jibu mfano wangu sio kusema ni irrelevant. Irrelevant kivipi? Kipi kimefanya uwe irrelevant? Namm nikisema mfano wako ni irrelevant bila sabab si tutakuwa vichaa wote?Narudia,.ili mfano wako uwe relevant fananisha vehicles mbili zinazo move kisha jiulize inawezekana kusema vehicle mojawapo ni stationary with respect to the other?
Unapokesea ni kufananisha watu wawili waliopo kwenye vehicle moja (yaani Dereva na abiria).
Fananisha vehicles mbili zinazo move....maana wewe unasema Jua Lina move na Dunia pia ina move.....sasa chukulia Jua ni vehicle no.1 na Dunia ni vehicle no.2 kisha tuelezee kivipi vehicle mojawapo inaweza kuwa stationary with respect to the other?
Sasa tai anaruka umbali Gani? Kama ataruka kutoka Tanzania mpaka marekani basi itambidi aadjust.Daah huu ubishi sasa,... nilikuuliza na Tai abe akiadjust altitude ni kwa ajili ya curvature?
Can you prove the curvature? Kumbuka ni kitu imaginary Tu.
Hivi unasoma kweli kaka,.....nimekupa sababu kwanini mfano wako ni irrelevant soma vizuri usiwe na hasira relax.......sababu ya mfano wako kuwa irrelevant ni hii 👇🏼Usinipangie mfano, jibu mfano wangu sio kusema ni irrelevant. Irrelevant kivipi? Kipi kimefanya uwe irrelevant? Namm nikisema mfano wako ni irrelevant bila sabab si tutakuwa vichaa wote?
Nani kakwambia ni imaginary? Angalia anga, angalia mawingu huoni yanafata curvature? Nimekuonesha video kutoka ISS hujaona curvature?Can you prove the curvature? Kumbuka ni kitu imaginary Tu.
Kwahiyo akiruka DSM mpaka Kigoma hana sababu ya kuadjust altitude kwasababu hakuna curvature?Sasa tai anaruka umbali Gani? Kama ataruka kutoka Tanzania mpaka marekani basi itambidi aadjust.
Hakuna curvature kwenye uhalisia labda kwenye cartoon Tu.Nani kakwambia ni imaginary? Angalia anga, angalia mawingu huoni yanafata curvature? Nimekuonesha video kutoka ISS hujaona curvature?
Sijakosea kwani haiwezekani watu wawili kuwa kwenye gari Moja(dereva na abiria?)Unapokesea ni kufananisha watu wawili waliopo kwenye vehicle moja (yaani Dereva na abiria).
Fananisha vehicles mbili zinazo move....maana wewe unasema Jua Lina move na Dunia pia ina move.....sasa chukulia Jua ni vehicle no.1 na Dunia ni vehicle no.2 kisha tuelezee kivipi vehicle mojawapo inaweza kuwa stationary with respect to the other?
Kutakuwa na slight curve (Dunia ni Kubwa sana), so Kwasabu yupo angani anaweza asi adjust, ila Kwa case ya ndege ni lazima i-adjust hata kama curve ni ndogo.Kwahiyo akiruka DSM mpaka Kigoma hana sababu ya kuadjust altitude kwasababu hakuna curvature?
Bila fact, ukipinga kitu sema kwann? Wewe ukiangalia mawingu huoni yanafata curvature ya dunia???Hakuna curvature kwenye uhalisia labda kwenye cartoon Tu.
Sasa mfano huo si sahihi kufananishia Jua na Dunia.Sijakosea kwani haiwezekani watu wawili kuwa kwenye gari Moja(dereva na abiria?)
Una uhakika kuna slight curve?Kutakuwa na slight curve (Dunia ni Kubwa sana), so Kwasabu yupo angani anaweza asi adjust, ila Kwa case ya ndege ni lazima i-adjust hata kama curve ni ndogo.