Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Sio Kwa akili yangu bali ndiyo nadharia ya Dunia Tufe inavyosema....yani kwamba Jua kuna time linakua chini ya miguu yetu na muda mwingine linakua juu ya vichwa vyetu....

Usipindishe hoja husika tuiweke kama ilivyo... akilini mwako inaingia?
Lini? Nani? Alisema ivo?
 
Hiyo nadharia iliandika hivyo sehemu gani ? Unaweza kunionyesha ?

Maana hii nadharia haitambui juu na chini
 
Lini? Nani? Alisema ivo?
Tuliza akili soma vizuri hoja yangu....

Ni kwamba muda huu Jua lipo upande wa pili wa Dunia Tufe,......

Yaani kimsingi Jua lipo chini ya miguu yetu,...ukikataa utanishangaza hasa Kwa kuwa unaamini nadharia za Dunia Tufe.
 
Hiyo nadharia iliandika hivyo sehemu gani ? Unaweza kunionyesha ?

Maana hii nadharia haitambui juu na chini
Sio mpaka uandikiwe sehemu,....Mimi nimefikiria kisha nimekuletea ili akili yako itafakari huenda ukazinduka kutoka kwenye usingizi mzito.
 
Kweli bangi sio chai πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuliza akili soma vizuri hoja yangu....

Ni kwamba muda huu Jua lipo upande wa pili wa Dunia Tufe,......

Yaani kimsingi Jua lipo chini ya miguu yetu,...ukikataa utanishangaza hasa Kwa kuwa unaamini nadharia za Dunia Tufe.
Namm nimekwambia Jua halipo upande wa pili wa Dunia, lipo 93M km away ila mwanga wa Jua ndio unaonekana upande wa pili wa Jua,

Na unakosea kusema chini ya miguu yako,
 
Hahaha kuna kitu najifunza kuhusu nyinyi watu wa Flat Earth, nmeanza kubaini matatizo makubwa kwenu ni nini

Na ndio maana wengi wenu akili kama zinaendana hivi
Tuliza akili soma vizuri hoja yangu....

Ni kwamba muda huu Jua lipo upande wa pili wa Dunia Tufe,......

Yaani kimsingi Jua lipo chini ya miguu yetu,...ukikataa utanishangaza hasa Kwa kuwa unaamini nadharia za Dunia Tufe.
Hahaha kuna kitu najifunza kuhusu nyinyi watu wa Flat Earth, nmeanza kubaini matatizo makubwa kwenu ni nini

Na ndio maana wengi wenu namna yenu ya kufikiri inaendana hivi

Wote mna tatizo la aina moja kwenye upande wa kutumia upeo wenu wa kupambanua au kufikiria jambo kwa kina na kwa undani ili kubaini maana halisi na namna mambo yanavyofanya kazi
 
Sio mpaka uandikiwe sehemu,....Mimi nimefikiria kisha nimekuletea ili akili yako itafakari huenda ukazinduka kutoka kwenye usingizi mzito.
Una safari ndefu kaka, Pole sana kwa hii changamoto uliyonayo kwenye maisha yako,

Sio mbaya tutaendelea kuelimishana taratibu
 
Namm nimekwambia Jua halipo upande wa pili wa Dunia, lipo 93M km away ila mwanga wa Jua ndio unaonekana upande wa pili wa Jua,

Na unakosea kusema chini ya miguu yako,
Unaamini Dunia ni Tufe ?

Na,. Je unaamini kuna two sides of Tufe?

Na Je unaamini kwamba ikiwa usiku upande mmoja wa Tufe that means Jua limetizamana na the opposite side of Tufe?

Kama majibu ya hayo maswali hapo juu ni "NDIYO "......Basi hutakiwi kubisha ninachokisema.
 
Nimemwambia anambie Einstein alisema nn kuhusu gravity, hajajibu. Theory ya general relativity inaelezea kwann object zenye maumbo madogo kwenye space zinazunguka maumbo makubwa.
Mfano: sayari kuzunguka Jua, mwezi kuzunguka Dunia.
Gravity imevumbuliwa na Newton, uliza Newton alisema kitu gani kuhusu gravity, Einstein alovamia vumbuzi za watu tu japo naye ana zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…